sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,854
- 11,458
Point yako ni ipi?wanaCCM ni sisi wenyewe, zaidi ya 60% ni wanaCCM nchini.
Point yako ni ipi?wanaCCM ni sisi wenyewe, zaidi ya 60% ni wanaCCM nchini.
Ni tabu tupu furaha ni zero na hata ikipatikana ni ya muda mfupi sana.Mwaka juzi nilikwenda pale hospitali ya Amana, Ilala, nikakuta wanatoa jengo jipya kwa mbele. Kilichonishangaza wale mafundi pale wanafunga nondo wengine wanatwanga zege lakini miguuni wamevaa kandambili, sasa wale furaha wataitoa wapi?
Ukosefu wa UZALENDOTuanze kwanza kwa kuvijua kisha tujue chanzo,kisha tutafute suluhisho la kubadili/kuondoa...
Tatizo wanahoji wana Chadema, wawahoji wana CCM uone tutakuwa namba moja duniani kwa kuwa na furaha.Kwanini iko hivi karibu kila mwaka?
Mmh mbona hatariTanzania(136)
Sote au wengiwetu wanajua tatizo ni nini, lakini wanaogopa kusema au kujitoa ufahamuNatumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Ndani ya haohao wanaCCM kuna wasio na furaha walioshikilia ukweli wakiamini kuna mambo hayako sawa ila tu sababu ya kulinda maslahi ya kazi na vyeo wameamua kutulia.Tatizo wanahoji wana Chadema, wawahoji wana CCM uone tutakuwa namba moja duniani kwa kuwa na furaha.
Kwa matukio yanayoendelea ya utekaji na uuaji bora kutulia tu risk ya kumalizwa ipo nje nje! na kwa nature yetu watanzania hatuna roho za kujitoa muhanga kwa maslahi ya kesho iliyobora.Sote au wengiwetu wanajua tatizo ni nini, lakini wanaogopa kusema au kujitoa ufahamu
Hii chawaclass Nini kifanyikePoint yangu ni kwamba sisi wenyewe ndio wahusika, kwa kuwachagua hao viongozi, au kuruhusu CCM iendelee kushika dola.
Siasa ni mchezo mchafu. Jiepushe na mambo ya kisiasa kadri uwezavyo bro.. Huko siasani ndiko chimbuko la utekaji, kuwekeana sumu, kuzushiwa kesi za uhujumu, kuwekwa kizuizini bila maelezo, Kuwekewa mitego ili upatikane na Kashfa nzito tena ya aibu(Ulawiti, ubakaji na uchafu wa aina hiyo) n.k. vimeshamiri. Ukipona bahati yako.Inasikitisha sana na kuongeza huzuni kwa watanzania, hasa hio na.3 nimesikia kuna mwananchi aitwae Pendo walitaka kumtumia kama mercenary akammalize Mpina! ili sijui iweje sasa!
Hahaha Dah! naona taifa liko kasi kuwekeza kwenye ubashiri na kamari kuliko kutafuta suluhisho la ajira/kazi, sio redio,TV, wala mitandaoni kote mwendo ni mchezosupa, pakua mkwanja, bet bet bet bet bet bet! na probability ya kushindwa ni 99% lazima tu tukose furaha!Unapataje furaha wkt umempa mazima france na kakandwa 2 mtungi
Tokea young siikubali siasa kinoma ni mchezo wa kinafiki na uongo mwingi, 2010 kiongozi anadanganya wananchi mradi utakamilika 2015 mda unafika hola! anarudi tena kuwaongeza uongo nichagueni kuna process ndio tulikuwa tunamalizia mradi uanze anachaguliwa 2020 inafika hola!Siasa ni mchezo mchafu. Jiepushe na mambo ya kisiasa kadri uwezavyo bro.. Huko siasani ndiko chimbuko la utekaji, kuwekeana sumu, kuzushiwa kesi za uhujumu, kuwekwa kizuizini bila maelezo, Kuwekewa mitego ili upatikane na Kashfa nzito tena ya aibu n.k. vimeshamiri. Ukipona bahati yako.
Hao uliowaona ni WAZEMBE. Kama mtu unajijua na kuijali Afya yako katika kazi unazofanya, walau unahitaji kutenga fedha kutoka malipo yako ili ununue kifaa cha kukusitiri uwapo kazini -buti, ovaroli, miwani, gloves hata kofia. Kuzembea katika kuilinda Afya yako uwapo kazini (kutafuta rizki)e.g. unavaa ndala huku unajua sementi sio rafiki miguuni kwako unajihatarisha mwenyewe -kesho na kesho kutwa utaugua na kazi hutoweza tena kuifanya lakini Tajiri atatafuta fundi mwingine na wewe anakutelekeza hapo ukomae na hali yako.Mwaka juzi nilikwenda pale hospitali ya Amana, Ilala, nikakuta wanatoa jengo jipya kwa mbele. Kilichonishangaza wale mafundi pale wanafunga nondo wengine wanatwanga zege lakini miguuni wamevaa kandambili, sasa wale furaha wataitoa wapi?
Mada ifungwe , umemalizaKwa matukio yanayoendelea ya utekaji na uuaji bora kutulia tu risk ya kumalizwa ipo nje nje! na kwa nature yetu watanzania hatuna roho za kujitoa muhanga kwa maslahi ya kesho iliyobora.
Yap! Tunakosa furaha halafu bado tumebaki kushangaaaa.Hahaha Dah! naona taifa liko kasi kuwekeza kwenye ubashiri na kamari kuliko kutafuta suluhisho la ajira/kazi, sio redio,TV, wala mitandaoni kote mwendo ni mchezosupa, pakua mkwanja, bet bet bet bet bet bet! na probability ya kushindwa ni 99% lazima tu tukose furaha!
Hatujakopa hovyo mkuu; ila Tulishakopa tayari. Kwa hiyo kwakuwa tulishafanya kosa la kukopa (tulishakopa i.e. tunamadeni tunadaiwa) tusahau kupata Furaha sio? Kama ndo hivyo; basi duniani hakutakaa kuwe na Furaha kwani kila Taifa duniani hukopa na kukopesha. Kila familia hukopa na kukopesha; hata ndugu na ndugu hukopa na kukopesha. Mwanamme na mwanamke nao pia hukopa na kukopesha.Acheni kukopa hovyo na lizikeni na mnachopata furaha ipo