makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,631
- 109,036
Sasa we unaonaje, tulipofikia si kwenye uzezeta sheikh wangu? 🤣Aisee mpaka kwenye uzezeta sheikh 🤣🤣🤣
Sasa we unaonaje, tulipofikia si kwenye uzezeta sheikh wangu? 🤣Aisee mpaka kwenye uzezeta sheikh 🤣🤣🤣
Sasa we unaonaje, tulipofikia si kwenye uzezeta sheikh wangu? 🤣
Umaskini ni ugonjwa mbaya sana. Mimi nafikiri Umaskini nao unachangia.Tangu lini kapuku akawa na furaha ya uhakika?Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Tung'oe mafisadi wetuNatumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Umeona wapi MTU mnafiki akawa na amani?Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Anza kutuonyesha mfanoWatu wafanye kazi.
Mnataka furaha eh?
Wanajitengenezea fursha binafsiWabongo wanaichukia serikali lkn hawawezi kuwatoa viongoz wanaowaangusha. Wanaishia kukosa furaha
Wanamidanganyeni,tuende huko tuone tunspata nini na tutawezaje kujisaidia baada ya veta.Kumbuka hata huko upo Utanzania,uchawa na ukanjanja vile vile.Huu nijuavyo ni msimu wa kuelekea kwenye chafuzi,hivyo kampeni potoshi za wana siihasaa zimejaa na zitajaa pomoni.fursha zenyewe zipo bashi, zimekosha wameshema twenda VETA 🙂
CCM ndiyo chanzo cha haya yote. Siku ikitoka/ikitolewa tu madarakani, kila mwananchi atakuwa na furaha mara dufu.Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Amka tzzCCM ndiyo chanzo cha haya yote. Siku ikitoka/ikitolewa tu madarakani, kila mwananchi atakuwa na furaha mara dufu.
sana tu CCM ni kitendawili kwa miaka60+ wameshindwa kuboresha, deni linazidi kuongezeka, umeme afya maji ni kizungumkuti wawape nafasi vyama vingine tujue nao watafanya nini hii sio nchi ya monoparty chama kimoja kinang'ang'ania miaka yote.CCM ndiyo chanzo cha haya yote. Siku ikitoka/ikitolewa tu madarakani, kila mwananchi atakuwa na furaha mara dufu.