Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Kutafuta furaha ni c
Kwanza kabisa, serikali inadanganya wananchi, na wananchi wanaidanganya serikali.

Serikali inawadanganya wafanyakazi wake kwamba inawalipa mishahara, na wafanyakazi wa serikali wanaidangaya serikali kuwa wanafanya kazi.

Hapo furaha itakuja vipi?
Uongo barani Afrika upo na utaendelea kuwepo maana hatutaki kubadilika. Plus unafiki mwingi na sasa umekuja uchawa.
 
Kuhusu kwenda veta ni personal issue
It's no longer personal, PM amelifanya kuwa agenda ya taifa.
Screenshot_20250317-092458.jpg

Bongonyoso hata uchawa pia ni agenda ya taifa.
 
Kodi zinatolewa na wananchi ila wajanja wanafaidi, ni huzuni kuwa na mtaro mchafu unaosambaza magonjwa na kodi zinatolewa. Ni huzuni kuona waziri anapanda ndege daraja la kwanza kwenda kusaini mkataba fake huko nje. Kila kitu ni huzuni, huzuni kusikia mdogo anakaripiwa "unanijua mimi ni nani?" Ili huzuni ipungue tunahitaji viongozi wazalendo na wenye maono. JPM alituletea raha ila kwa mda mfupi RIP.
 
Inchi inayoongozwa na kiongozi mkuu asiye na uwezo(incompetent), aliyepata nafasi hiyo kwa ngekewa tu unategemea tuwe na furaha?
Ni mwaka muafaka wa kutafuta competent leader.
 
Kuhusu kwenda veta ni personal issue
Uko sahihi Red black tatizo kauli ilitolewa na mwanasiasa baada ya walimu kucharuka. Pia ukienda SIDO kuna masomo mengi tu ya ujasiriamali kwa vitendo. Tatizo wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi. Wako wasomi wengi tu wamejiongeza, wako wanaoendesha bajaji na boda boda pia. Tatizo ni siasa inapotumika kutatua tatizo la kiufundi.
 
1. Vikoba
2. Kausha damu
3. Usaliti
4. Ccm
5. Ajira
6. Kamari
7. Uraibu

Huwezi pata furaha, kwa kila mtanzania Kimoja kati ya hivyo kinamsumbua
sina kinachonisumbua kwa hiyo orodha ya kero, na CCM ni mkombozi wangu, I am happy always, rember the World is Living SUFFERING is your CHOICE :CaptFailFish:
 
Kwa Tanzania mechi Kati ya Simba na Yanga afu timu moja ipate ushindi bila Shaka kuna watanzania lazima watakuwa na furaha
 
Back
Top Bottom