BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,988
Hongerasina kinachonisumbua kwa hiyo orodha ya kero, na CCM ni mkombozi wangu, I am happy always, rember the World is Living SUFFERING is your CHOICE![]()
Hongerasina kinachonisumbua kwa hiyo orodha ya kero, na CCM ni mkombozi wangu, I am happy always, rember the World is Living SUFFERING is your CHOICE![]()
0%-Huduma bora za maji,umeme,afya. Je wananchi wanaridhika nazo?
25%-Utawala. Wananchi wanaukubali kwa kiasi gani?
80%-Mazingira na hewa safi.
40%-Usawa wa kibinadamu na kijinsia na nyinginezo...
HahahaIt's no longer personal, PM amelifanya kuwa agenda ya taifa.
View attachment 3278419
Bongonyoso hata uchawa pia ni agenda ya taifa.
👊Uko sahihi Red black tatizo kauli ilitolewa na mwanasiasa baada ya walimu kucharuka. Pia ukienda SIDO kuna masomo mengi tu ya ujasiriamali kwa vitendo. Tatizo wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi. Wako wasomi wengi tu wamejiongeza, wako wanaoendesha bajaji na boda boda pia. Tatizo ni siasa inapotumika kutatua tatizo la kiufundi.
Umeongea ukweli kabisa mzizi wa fitina uko hapo tu.Furaha ni kuwa na uwezo wa ku-solve kila changamoto inayoweza kuja mbele yako.
Kama huo uwezo haupo, sahau kuhusu furaha.
Kama upo umepanga tu sehemu umeme ukiisha kuweka hadi mtoke nje kukaa kikao. Mara muanze kuzozana, wakati unakuta ni 10k tu. Furaha haiwezi kuwepo.
Wife ameona kagauni kazuri kanauzwa 35k tu, hiyo hela ina-overtake mfuko. Furaha haiwezi kuwepo.
Parachichi la 500 tu likiwa dogo, furaha haiwezi kuwepo.
Hospital unamgonjwa anahitaji upasuaji unaogharimu 1M, furaha haiwezi kuwepo.
Hiyo ni kweli hususan ukizingatia yanayojitokeza:Hio ni quick hypothetical analysis mkuu ila kiuhalisia ukitembelea Tanzania nzima huenda ukapata asilimia zitakazokuacha mdomo wazi!
Tuondoe/tubadili chochote kinachotukosesha furaha!Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Inasikitisha sana na kuongeza huzuni kwa watanzania, hasa hio na.3 nimesikia kuna mwananchi aitwae Pendo walitaka kumtumia kama mercenary akammalize Mpina! ili sijui iweje sasa!Hiyo ni kweli hususan ukizingatia yanayojitokeza:
3. Utekaji na mauaji ya raia vimekuwa kama ni vitu personal. Vyombo husika vya Dola havijajikita kutafuta suluhisho au kuwabaini wahusika bali siku zote wanasema ni "Wasiojulikana"