Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

ni choice yako mwaya.....

wengi wetu watoto ni kama investment,lol

eti watakulea ukiwa mzee,

usiombee wote waje kuwa wavuta bangi,lol,

ila mkuu kuna mambo mawili,moja ni mvivu,kumu attend mtoto na kufua unaona kama unapoteza muda,(me too 😎)lol kingine selfishness ,life was given to you freely,why don't you too give it to someone else too?siku hizi za kidijitali unaweza kuzaa akakulelea mwingine kabisaa....sio kama zamani wazazi wetu walihangaika,anatoka kuchota maji mbaaali,akifika akizubaa tu mtoto kashatumbukiza kiatu kwenye ndoo lol.............again ni choice yako,nakuombea usije ukaona siku moja kwa nini ulifikia hio decision...............
Nimefurahi kwa kunielewa
 
Na bado ukizaa watoto wakakushinda kulea bado watakusakama hao wao. Ni mtu kufanya kile kinamfurahisha, cha msingi havunji sheria.
Ni kweli usiombee uzae alafu upate hasara utaishi maisha ya kusikitika,kujilaumu,kujuta na unaogopa kumlaumu mungu kwa kuogopa laana unabaki unavumilia tu..mtu unazaa ukitegemea mtoto atakupa furaha unashangaa anakupa furaha akiwa mchanga tu akikua anakua mtihani kwako unajuta
 
Habari,

Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;

Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.

Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?

Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.

____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.

Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.

It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.

Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.

Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?

Maasallam.
Umejuahe kuwa una uwezo wa kuzaa?? Ushawahi kutia mimba mwanamke?
 
Issue n kwamba hauna uwezo WA kufanya hvo hizo zngne mbwembwe tu,pole mkuu coz kua mzaz kuna raha yake.
 
Wana akili lakini akili zao ni bure hawazifanyii kazi kufkiria
........
Ktk miongoni mwa baraka mtu ambazo anaweza kubarikiwa basi ni kua na mtoto yaan u find your self in somebody else's body

U feel complete , you find deep happiness in ur childrens face

Si bure itakua huna uwezo wa kuzalisha ww unajiliwaza tu na hizi post zko
 
Habari,

Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;

Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.

Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?

Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.

____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.

Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.

It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.

Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.

Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?

Maasallam.
Hahahaha.... kwa hili povu mtu ameshajeruhiwa tayari. Yaani unaulizwa na mama yako kuhusu mjukuu unakasirika! kweli wewe hamnazo. Ila pole sana na nikutakie safari njema kwa maamuzi yako kama ya Nabii Tito. Any way huo ni mtizamo tu
 
Wana akili lakini akili zao ni bure hawazifanyii kazi kufkiria
........
Ktk miongoni mwa baraka mtu ambazo anaweza kubarikiwa basi ni kua na mtoto yaan u find your self in somebody else's body

U feel complete , you find deep happiness in ur childrens face

Si bure itakua huna uwezo wa kuzalisha ww unajiliwaza tu na hizi post zko
hahaha hichi ni kichekesho,mtoto mnaweza mkafanana pua tu lakini akawa ana tabia tofauti tena za ajabu kuliko wewe.mtoto kuna kupata na kukosa,mtoto anaweza akaja na baraka au laana pia.na kila navozidi kukua ndo nazidi kupambanua hii bahati nasibu.
 
Baba yangu amezaa kaka yangu ambaye ni shoga,hana jinsi anatamani amuue.

Mimi nimeongelea upande wangu na kuhusu baba yangu yeye alinizaa kwa sababu zake mkuu mimi sikutaka au kuomba kuzaliwa katika dunia hii bali ilikua mipango yake yeye na mkewe kua wapate mtoto na walikua tayari washakubali changamoto zote za kulea mtoto..mimi kama mimi sina mpango huo wakuleta kiumbe duniani nina kosa gani?

Mkuu.
naona ckutenda vyema.
tafadhal naomba unisameh kwa kutumia lugha isiyokuwa ya kiungwana ktk comment yang.
SAMAHANI SANA
 
ssa na mkeo kalipokeaje jambo hli?
Mke wangu na yeye ana msimamo kama huu japo yeye umechangiwa na family history yao ya kua na sickle cell..karibia kila ndugu yake wa damu amezaa mtoto mmoja wapo mwenye ugonjwa huu mbaya wa kurithi.odds za mtoto wetu kuupata huu ugonjwa ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom