Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

Na bahati nzuri ni kuwa kila mtu anawaza kivyake na ana maamuzi yake binafsi.
Yeah ndio kwa misingi hiyo hiyo ya kua tofauti ndio inayofanya dunia izidi kuendelea
 
Kweli kabisa, kuna mambo tunayacomplicate wenyewe tu vichwani na kwa kuangalia watu au jamii itanionaje wakati sio wao watakaoyaishi hayo maisha.
hapo sasa neno maisha linaanza na mtu binafsi kabla halijajitafsiri kwa kuwahusisha watu wengine ...ukipata janga wewe atakayeumia zaidi nakuathirika kwakiwango kikubwa niwewe tu..hvyo basi hata maisha yako ili yaweze kuwa ktk namna Fulani yanategemea kwakiasi kikubwa mnoo na maamuzi yko binafsi
 
ni choice yako mwaya.....

wengi wetu watoto ni kama investment,lol

eti watakulea ukiwa mzee,

usiombee wote waje kuwa wavuta bangi,lol,

ila mkuu kuna mambo mawili,moja ni mvivu,kumu attend mtoto na kufua unaona kama unapoteza muda,(me too 😎)lol kingine selfishness ,life was given to you freely,why don't you too give it to someone else too?siku hizi za kidijitali unaweza kuzaa akakulelea mwingine kabisaa....sio kama zamani wazazi wetu walihangaika,anatoka kuchota maji mbaaali,akifika akizubaa tu mtoto kashatumbukiza kiatu kwenye ndoo lol.............again ni choice yako,nakuombea usije ukaona siku moja kwa nini ulifikia hio decision...............
 
hapo sasa neno maisha linaanza na mtu binafsi kabla halijajitafsiri kwa kuwahusisha watu wengine ...ukipata janga wewe atakayeumia zaidi nakuathirika kwakiwango kikubwa niwewe tu..hvyo basi hata maisha yako ili yaweze kuwa ktk namna Fulani yanategemea kwakiasi kikubwa mnoo na maamuzi yko binafsi
Na bado ukizaa watoto wakakushinda kulea bado watakusakama hao wao. Ni mtu kufanya kile kinamfurahisha, cha msingi havunji sheria.
 
Na bado ukizaa watoto wakakushinda kulea bado watakusakama hao wao. Ni mtu kufanya kile kinamfurahisha, cha msingi havunji sheria.

Huu upande wa pili wa matunzo hawakuangalia, halafu wa kwanza kumsema mtu kama watoto wake watachemsha.
 
Hivi mbona mtu akichagua kuwa daktari,mwingine Padri,wingine seremala......nk hatushangai? Ila ktk hili sijui tumejengewa nini vichwani hata watu waone ni kitu cha ajabu sanaaa.

Teh!, acha tu mamie, as you said, "Kukariri"

Tumeshaeleweshwa kuwa kila mtoto na rizki yake basi wote tufate hivyo hivyo.
Marufuku kuamua tofauti...lol
 
Ukiwa tikiti maji huwezi kujua wala kupenda mambo ya watoto. Muda wote tikiti maji linawaza kuliwa tu. Likibahatika kufika uzeeni tikiti maji huwa na kazi moja tu ya kuombaomba na kulaumu watoto wa wengine kuwa hawaliangalii.
 
Back
Top Bottom