Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 246
- 316
Umevurugwa mkuu si bure
Maisha hayatabiriki,wazazi wetu walipotuzaa waliexpect vingi kutoka kwetu mwisho wa siku tumekua ndivyo sivyo,unaweza ukazaa ukapata hasara tu na ukajuta kuzaa..mtoto anatia faraja akiwa mchanga tu sababu kinaonekana cute lakini kadri anavyokua unategemea bahati tu atakuaje.
Kwa mimi najiona siwezi kua baba sahihi nimeamua bora yaishe
Friend ask for my change I say *** youHabari,
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?
Maasallam.