Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

Habari

Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.

Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.

Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?

Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu

____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.

Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.

It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.

Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.

Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?

Maasallam.

Waliokuleta walijua uwepo wa mashoga,wezi, na ubaya wa aina hiyo,je wewe umekuwa hao wabaya unaowakataa? Hautalazimishwa kuleta kiumbe katika dunia hii,ila kama uko siriazi na jambo hili uje PM tuka kuhasi ili tukurahisishie jambo lako.
 
Mara nyingine watoto hawapendi watoto wenzao, sijawahi kuona mtoto akitaka kuwe na mtoto mwenziwe ndani, ukikua utaacha, watoto ni furaha na zawadi kutoka kwa Mungu.
 
Hongera, mie ni kipato tu ndo kitanifanya kuwa na watoto wachache....
 
Mara nyingine watoto hawapendi watoto wenzao, sijawahi kuona mtoto akitaka kuwe na mtoto mwenziwe ndani, ukikua utaacha, watoto ni furaha na zawadi kutoka kwa Mungu.
Nimekua,nimeyaona.
 
kikwetu mtoto km wewe ni kijana wa kiume ukifa bila mtoto wala make,unazikwa na kaa LA moto makalioni wanasokomeza! ni laana!
 
mimi mwenyewe nimemuelewa mnooo..
nachukia mnoo kuwa na familia kisha ukashindwa kuipa huduma bora zote ambazo walipaswa kuzipata..mwisho wasiku watoto wanakutana na maisha yenye hali ngumu inayoambatana na majuto yliyopitiliza mpka wanaanza kulaani kwanini wazazi hamkutumia condom
Kweli kabisa, kuna mambo tunayacomplicate wenyewe tu vichwani na kwa kuangalia watu au jamii itanionaje wakati sio wao watakaoyaishi hayo maisha.
 
Habari,

Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;

Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.

Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?

Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.

____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.

Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.

It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.

Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.

Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?

Maasallam.
Ukapimwe vyoteee...
1. AKILI
2. UZAZI

Usikute unajidai hutaki, kumbe kizazi huna.....

Usikute unajidai hutaki, kumbe akili huna.....
 
kikwetu mtoto km wewe ni kijana wa kiume ukifa bila mtoto wala make,unazikwa na kaa LA moto makalioni wanasokomeza! ni laana!
Mke kuoa lazima,ila mtoto sio lazma kuzaa.kwahiyo hata ningekua kwenu huko nisingefanyiwa hivo sababu si nimeoa
 
Back
Top Bottom