Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

Nimekuelewa mkuu,ila mpaka nimefikia uamuzi huu nakua nishajua ntafanya kitu gani zikitokea situation kama hizo.

Najua umuhimu wa watoto ila kwangu sio lazima i can handle this fragile fucked up life.

Anyway asante kwa mchango wako mkuu
Its your life man. Mwisho wa siku ni maamuzi yako. We need people like in the society, ili tuwe tunawatumia kama live examples tunapofundisha vizazi vinavyokuja.
 
Ukijua kwamba Jaydee na Wema wanapitia kipindi gani katika maisha. Utaona umuhimu wa kuwa fertile. Kuwa na mipesa na mimali sio lolote kama huna family.
 
sa unamwambia nani, hayo ni matatizo yako binafsi mkuu hayatuhusu. usituletee frastresheni zako asubuhi asubuhi hapa.
 
Habari,

Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;

Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.

Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?

Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.

____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.

Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.

It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.

Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.

Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?

Maasallam.
Sawa sawa. Ni mawazo mazuri sana.
 
Ukijua kwamba Jaydee na Wema wanapitia kipindi gani katika maisha. Utaona umuhimu wa kuwa fertile. Kuwa na mipesa na mimali sio lolote kama huna family.
Mimi ni fertile,umuhimu wa kua fertile wajulikana,ila sio kila mtu lazma azae,sio kila mtu mwenye uwezo wa kuzaa azae,ukijiona hufit kulea haina haja ya kuzaa
 
Y

Wasted Sperm
 
Back
Top Bottom