Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

Hivi umesoma vizuri huu uzi?au umekurupuka tu kujibu?
Nimeisoma vizuri sana, na nnaelewa vizuri tu. Unavoplan vitu vyako jaribu kuangalia mbali, mfano 20 years from today, au 30. Af jiulize ikifika kipindi hicho utakua una mawazo gani. Kuna kipindi nilikua nafanya kaz ambayo ilikua inadeal na funds za wafadhili kutoka nje. Wale wazungu wanakua wazee, wana mali nyingi lakini hawana watoto, wanajutia sana coz wanajua maisha yao yote wamefanya kazi lakin hawana wa kumrithisha mali zao. As a man one of the proudest moments ni kuona mwanao amekua na anjielewa na anaweza kumake something in this world. Kuoa ndo sio lazima na hamna umuhimu. Lakini watoto ni kitu kingine kabisa.
Ndo maana nkakuambia uki mature utaelewa.
 
umetoa ushauri mzuri akitulia atauelewa MAWAZO NA MISIMAMO UNAYOWAZA ukiwa 30 SIO SAWA NA UTAKAYOWAZA UKIWA 50 AU 60.

haka katabia kameenea sana kwa mabinti wa kizungu wakishazeeka ndo wanakumbuka kuzaaa hawaja zaa kuolewa hawajaolewa. vinaishia kuja africa kutafuta mboo. wanaadopt watoto wanakuja kua pasua kichwa.

mleta mada pia tibu ugonjwa wa ubinafsi utaona mabadiliko.
 
Wazazi wako wangekua na mawazo kama yako, leo hii usingekuwepo duniani...

Acha ubinafsi...

Cc: mahondaw
 
Nimekuelewa mkuu,ila mpaka nimefikia uamuzi huu nakua nishajua ntafanya kitu gani zikitokea situation kama hizo.

Najua umuhimu wa watoto ila kwangu sio lazima i can handle this fragile fucked up life.

Anyway asante kwa mchango wako mkuu
 
umetoa ushauri mzuri akitulia atauelewa MAWAZO NA MISIMAMO UNAYOWAZA ukiwa 30 SIO SAWA NA UTAKAYOWAZA UKIWA 50 AU 60.

haka katabia kameenea sana kwa mabinti wa kizungu wakishazeeka ndo wanakumbuka kuzaaa hawaja zaa kuolewa hawajaolewa. vinaishia kuja africa kutafuta mboo. wanaadopt watoto wanakuja kua pasua kichwa.

mleta mada pia tibu ugonjwa wa ubinafsi utaona mabadiliko.
Haya maisha kila mtu mbinafsi kwa maslahi yake na familia yake,hata nkiwa na watoto ntakua mbinafsi kwa kwa jamii ili familia na watoto wangu wafaidike..

Ubinafsi upo na hauepukiki,huoni mwenye nacho anaongezewa,huoni hata watu wakipata nafasi wanavofaidi wao na familia zao huku walio kwenye jamii wengine wakitaabika
 
Watoa comments wengi watakuponda ila mm nimekuelewa, sometimes hata mimi naona kumleta mtoto duniani ni kumleta huyo mtoto kwenye mateso ya hii dunia flamini
Shukran mkuu kwa kunielewa,imegine dunia hii kuna watoto wengi sana wanaishi maisha mabovu sana tena sana,wanatia huruma.
 
Haya maisha kila mtu mbinafsi kwa maslahi yake na familia yake,hata nkiwa na watoto ntakua mbinafsi kwa kwa jamii ili familia na watoto wangu wafaidike..

Ubinafsi upo na hauepukiki,huoni mwenye nacho anaongezewa,huoni hata watu wakipata nafasi wanavofaidi wao na familia zao huku walio kwenye jamii wengine wakitaabika

hayaa ila shughulikia iloo Tatizo la ubinafsi.
 
Vipi kama akitumia mindset ya kutafuta kama ana familia? Je ? Hatafanikiwa kuwa tajiri mkubwa?
Amini nakuambia; hizo pesa anazosema atazisaka vizuri ukiwa hauna mtoto hautoweza kuzipata kama hitaji la moyo wako linavyosema kama hauna wategemezi.
Familia ndio wategemezi wako wa kwanza na kuwapa huduma hakuepukiki hivyo lazima utafanya kazi kwa bidii ili waishi vizuri na kupitia wao maisha yako yatazidi kunawili.
Msela hulizika na kidogo anachopata kwakuwa kinakidhi mahitaji yake tofauti na mtu mwenye majukumu ya kifamilia.
Itafika wakati utajiuliza hizi mali namtafutia nani na watoto sina? Tayari nguvu ya kutafuta itapungua.
 
Hakuna guarantee kwamba watoto wako watakusaidia uzeeni so acheni kukariri.
mmmh nahisi utakuwa na tatizo mkuu.Watoto ni faraja watoto ni balaka.unaona tabu kupoteza muda wako kulea mtoto eti mpaka afike miaka ishirini ndio aanze kujitegemea.

Je wewe una mkataba na mungu,unajua utaishi miaka mingapi.Sikia mkuu maisha ya ujamaa yalishapita tangu enzi za nyerere ambao nyumba moja mnaishi ukoo mzima au mtoto wa kaka yako au Dada yako atakuheshimu sawa na mzazi wake .Sasa hivi kila MTU na mtoto wake mtoto wa kaka yako wa Dada yako ajisikie kukusaidia kama hajisikii huna cha kumfanya kzazi hiki kimevurugwa.

Ushafikilia una Mali zako una mihera ya kutosha alafu umezeeka na unahitaji msaada je nani wakukusaidia uzeeni zaidi ya watoto wako muda ambao huna nguvu Tena za kufanya lolote.
 
Kwanini usimwambie mama yako ulichokiandika hapa kama response ya swali lake ?
IMG_20190115_123329_535~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom