Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Yale Ma- pyramid walijenga wazungu !? Ukajifunze kuhusu civilization from kemet utaelewa zaidi
Hivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?

Ni sawa pyramids were built by Africans. But the question is why are we not inventing anything nowadays?
Research and Development. Nchi inatakiwa kuwezesha mazingira ya mtoto kuendeleza kile alichojifunza shuleni. Tunasomesha watoto shule za sayansi lakini akimaliza shule, ni wapi ataweza ku apply kile alichosoma? Ilitakiwa kuwe na labs, karakana, mashamba darasa nk.
Watoto wanasoma science au historia ya science ?
 
Tunagundua mengi tu tatizo ni kuyaendeleza

1. Gobole/bunduki
2. Baiskeli ya miti, ingeendelezwa ingeweza kuwa pikipiki
3. Toroli/kilikuu
4. Gari la udongo/vijiti
5. Sufuria za udongo/kufinyanga

Vipo vingi tu shida ni muendelezo hata aliyegundua ndege sio alieindeleza hadi ikawa kama hizi tunazopanda sasa
Kwa nini hatufiki mbele, tatizo ni nini?
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Mbona no wagunduzi wazuri wa style za kungonoka
 
Wazungu wanakula vizuri sana,Mazingira yao,.pia na utamaduni wao wa kupenda kujifunza na kudadisi,kusoma vitabu

Wazungu mbali, kama umefatilia historia ya elimu Tanzania Miaka ya 60,watoto wa Kaskazini walikua wanafaulu sana kuzidi sehemu zingine za Tanzania,serikali ikaona wasomi nchi nzima watajaa watu wa huko,so wakaongeza Pass mark kwa shule za Arusha,Moshi,Kagera,..

Wakashusha Pass marks kwa shule za Pwani,Nyanda za Juu kusini,..
Hao wa kaskazini waliokuwa wanafaulu sana walifanya ugunduzi upi wa maana ambao hao wa waliokuja kupendelewa baadaye hawawezi kuufanya?
 
Watu weusi wamevumbua vitu vingi sana tena tunavitumia kwenye maisha ya kila siku. Nilitaka kuandika hii mada lakini gunduzi zilikuwa nyingi nikaona uvivu kuandika.
Lakini waty weusi wapiogundua vitu wengi wao ni Black Americans, so inaonekana tatizo sio kuwa mweusi, bali mazingira unayoishi

Pia usisahau, haijalishi Africa iligundua vingapi before, history yetu ilikuwa erased na watu weupe, ila historians wanadai kulikuwa na a lot if civilizations in Africa lakini white supremacy ndio chanzo cha kuifukia isijulikane na dunia
Kama wazungu walituwahi na hawakutaka sisi tujulikane kwenye vumbuzi, kwa nini sisi tusingewawahi wao kuwafanyia hizo fitina?
 
Tunagundua mengi tu tatizo ni kuyaendeleza

1. Gobole/bunduki
2. Baiskeli ya miti, ingeendelezwa ingeweza kuwa pikipiki
3. Toroli/kilikuu
4. Gari la udongo/vijiti
5. Sufuria za udongo/kufinyanga

Vipo vingi tu shida ni muendelezo hata aliyegundua ndege sio alieindeleza hadi ikawa kama hizi tunazopanda sasa
Hizo ulizotaja na kuita gunduzi ni ujinga mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom