Ndiyo. Kama wataweza kuzisimamia fedha hizo vizuri na kuwe na performance appraisal kwa wasimamizi katika kuleta matokeo chanya. Uvumbuzi huo unaweza kuwekewa mifumo ya kisheria ya patent, ili muwekezaji anayetaka kutumia uvumbuzi huo sharti atenge kiasi cha pesa kumlipa huyo aliyevumbua.
Mbona kuna Mtanzania yule aliyevumbua gauge ya kusoma mtungi wa gesi, jina nimesahau, baada ya kuvumbua ile gauge akaona bongo miyeyusho mingi, akaenda Kenya, muwekezaji alimlipa pesa nzuri tu.(Billions ladhaa) Hiyo stori mpaka ikatolewa kwenye magazeti.