Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

Easy,kila kitu kinaanza na akili. Na on average sisi uwezo wetu kiakili upo chini kidogo kulinganisha na wasia na wazungu
IMG_20260208_200609_631.jpg
 
Tupatie maelezo kidogo
Mpemba Effect = maji ya moto wakati mwingine huganda kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji ya baridi 😱

Inaitwa hivyo baada ya mwanafunzi wa Tanzania Erasto Mpemba 1963. Alikuwa akitengeneza ice cream shuleni Morogoro na kugundua hili.

Inafanyaje kazi? Hakuna jibu 1 kamili, ni mchanganyiko wa vitu 5:

1. KUPOZA KWA KASI "Evaporation"
Maji ya moto yana mvuke mwingi. Yanapowaka yanapoteza maji mengi hewani.
Mfano: lita 1 ya moto inaweza kubaki lita 0.9. Ni maji kidogo sasa ya kugandisha, hivyo inachukua muda mfupi.

2. TOFAUTI KUBWA YA JOTO "Convection"
Maji ya moto na friza ni tofauti kubwa sana. Hii inafanya maji yatembee ndani kwa ndani kwa nguvu.
Maji ya moto chini yanapanda juu, ya baridi yanashuka. Hii inasambaza joto haraka sana.

3. GESI ZILIZOYEYUKA ZINATOKA
Maji ya baridi yana hewa nyingi ndani yake. Hewa hiyo inafanya iwe "insulator" - inazuia kupoza.
Maji ya moto yakichemka, hewa hiyo yote inatoka. Sasa maji yanapata mawasiliano moja kwa moja na friza na kupoza haraka.

4. SUPERCOOLING - "Kusita kuganda"
Maji ya baridi wakati mwingine "yanasita" kuganda hata chini ya 0°C. Yanangoja chembe ndogo ya vumbi ili kuanza kuganda.
Maji ya moto hayana uchafu huo, hivyo yanaanza kuganda moja kwa moja.

5. FRIZA INAFANYA KAZI NGUVU ZAIDI
Ukiweka bakuli la moto kwenye friza, friza inasikia joto na compressor yake inaanza kufanya kazi nguvu.
Hii inabaridisha sehemu yote ya friza haraka, na hivyo inabaridisha na yale maji ya moto haraka pia.

Muhimu kujua:
Mpemba Effect HAITOKI KILA MUDA. Inategemea na:
1. Chombo unachotumia - chuma au plastiki
2. Kiasi cha maji
3. Joto la friza yako
4. Kama maji yana klorini au la

Wanasayansi bado wanapigana kuhusu ni sababu ipi ndio kubwa zaidi.

Jaribio rahisi nyumbani:
Chukua vikombe 2 sawa. Weka kikombe 1 maji ya moto ∼80°C. Kikombe 2 maji ya bomba ∼25°C. Weka kwenye friza pamoja. Angalia ni ipi inaganda kwanza. Mara nyingi ya moto inashinda.

Unataka nikupe video fupi ya jaribio hili au tujaribu kuelezea kwa mlinganyo?
 
''kwa ujumla wao(Population cognitive ability) wapo smart kutuzidi...'' kwa nini wao wako hivyo na si huku kwetu?
Wazungu wanakula vizuri sana,Mazingira yao,.pia na utamaduni wao wa kupenda kujifunza na kudadisi,kusoma vitabu

Wazungu mbali, kama umefatilia historia ya elimu Tanzania Miaka ya 60,watoto wa Kaskazini walikua wanafaulu sana kuzidi sehemu zingine za Tanzania,serikali ikaona wasomi nchi nzima watajaa watu wa huko,so wakaongeza Pass mark kwa shule za Arusha,Moshi,Kagera,..

Wakashusha Pass marks kwa shule za Pwani,Nyanda za Juu kusini,..
 
Iko vizuri, inasaidia nini katika utengenezaji wa vitu mfano drone, mabomu, cement, vifaru, uchimbaji madini, magari, ndege, madawa n.k?​
 
Wazungu wanakula vizuri sana,Mazingira yao,.pia na utamaduni wao wa kupenda kujifunza na kudadisi,kusoma vitabu

Wazungu mbali, kama umefatilia historia ya elimu Tanzania Miaka ya 60,watoto wa Kaskazini walikua wanafaulu sana kuzidi sehemu zingine za Tanzania,serikali ikaona wasomi nchi nzima watajaa watu wa huko,so wakaongeza Pass mark kwa shule za Arusha,Moshi,Kagera,..

Wakashusha Pass marks kwa shule za Pwani,Nyanda za Juu kusini,..
Uvumbuzi ni akili ya shuleni au akili ya kuzaliwa nayo?
 
Bora wewe umekuja na data, ni kitu gani kinasababisha hiyo hali?
Mawazo yangu binafsi juu ya hii hali ni kua inasababishwa na mambo makubwa mawili;
1: Uumbaji wa mungu mwenyewe,yani kuwa hivi ndo the way tulivyoumbwa. DNA zetu ndo zipo hivi.
2: Mazingira,kwa waafrika(maana ndio asili ya weusi) huku Afrika ni bata sana. Hatuhitaji kufikirisha akili zetu kusurvive.
yani ardhi ambayo komba anaweza akaangusha embe hlf miaka kadhaa ukaota muembe hatuwezi fanana na watu ambao toka enzi akili zao zipo on survival mode
 
Uvumbuzi ni akili ya shuleni au akili ya kuzaliwa nayo?
Swali Zuri,ukizaliwa na uwezo mkubwa wa kufikiria or uvumbuzi,but usipokua exposed na mazingira mazuri iwe elimu nzuri or unapoishi uwezo wako utakua Stagnant,,as they say

"You can't be successful more than your exposure"

Jiulize kwanini wenye vipaji wanakimbilia vyuo bora duniani??au why top scientist wa China 80% wamesoma marekani??
 
Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
  • Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo​
  • Upeo wetu ni mdogo​
  • Hatujakamilika kuwa binadamu kamili​
  • Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu​
  • Tumekata tamaa​
  • Hatujastaarabika​
  • Imani za dini imetuzidi​
  • Si jukumu letu kuvumbua​
  • Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe​
  • Elimu zetu​
  • Bado tupo gizani​
  • Tumelogwa​
  • n.k​
Tuanze kwanza na RECORD YA KITABU CHA GUINNESS KWANZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom