Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Nakumbuka mwaka jana watu wali diss sana iPhone X , Face ID na top notch .. Tukawaeleza hawakuelewa sasa mpaka mwaka unaisha iPhone X imekuwa game changer , Face ID imekuwa successful sana including feature yake ya animoji ambayo mpaka Samsung wameiga wakafeli . Top notch simu kibao zimeweka, tumeona Face ID au face unlock inaelekea wapi baada ya iPhone X kufanya mapinduzi makubwa ..

Nawaambieni acheni apple aitwe apple jamaa wanajua wanachokifanya na wakifanya kitu jua wamejiridhisha nje ndani ...! Ndo kampuni pekee ya electronics inayojua exactly inapoelekea acheni hawa wengine makanjanja!
 
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh

Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.

Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.

Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari

1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu

Naomba ushirikiano
Alaaaa kumbe!!! Umenifumbua macho, nilikua najichanga nichukue iPhone 6 lakini kwa vitu hivi nilivyoviona nimeghairi
 
Which video?


Unaweza ukatoa milioni mbili na simu ikakuripukia. Make your expectation reasonable according to the pace of technology moving forward. Saiv unasema ivo kwa sababu kuna Carbon water cooling (kama sijakosea jina) kwenye samsung, ila hapo before ulikuwa unaspend the same amount for normal phone with no such tech sio?


Vyvyote iwavyo, ikiwa 8Gb ram itaperform sawa na 6GB ram, kwanini sasa Sam ameamua kuweka 8GB? na ikiwa inaperform better, kwanini Sam asiwe na 8GB kwe S series yake since there is a technology to make it possible?



Intel is not a small company mkuu. Sifikirii kama Apple kutumia modem za intel ilikuwa ni kwa sababu they opt to go for low quality. In everyone belief intel anatengeza vitu vizuri. Ni kama BMW au Merc, sote tunajua kuwa magari yao mazuri, luxury na yanapeerfomr vizuri. Kwa kuamini ivo, ukipata pesa unaenda kununua hio gari. Baada ya muda unaanza kurealise kuwa haikufai, maana mara ichi kimekufa kizembe, mara engine hivi au vile. Hakuna mtu atakesema ah you went for low quality.

Ukisema low quality aluminium mi nafahamu kuwa hio Aluminium haikuwa pure ilikuwa chafu. Ila ukinambia hio ilikuwa design flaw nitaelewa maana aluminium. Kwa mfano kama lile jengo liloporomoka pale posta kipindi kile, hatuwezi kusema Saruji ilotumika ni low quality, bali ilikuwa ni engineering error.

The Antenna gate was solved by software means and not hardware. the hardware was just fine, they needed to work on their algorithm.

How can you say Apple decided to go for cheaper option and chose Apple Maps? Google maps ni bure! how can you say apple went for cheaper option on this one?


Mkuu tukizungumzia Apple, hatuzungumzii jina, tunazungumzia team nzima ndani ya Apple. Tim akiamua kuiua iPhone, halafu tumekaa miaka tunaona there is no sign for the iphone to come back, hatusemi Tim kaua iphone, tunasema Apple wameua iphone. Na hivo ndivo ilivokuwa kwa Nokia, mnapenda kumbebesha msala Elop, kwani kampuni haikuwa na board yake?

Nokia wamekubali kuachwa nyuma, wakati watumiaji simu wameanza kubadilisha OS choice, yeye ameshikilia Symbian yenye old UI comparing to Android na iOS. Nafikiri katika kukeep up ndio wakaja na Meego ikabuma nayo. Bring the best Symbian Phone of the time, halafu mpe mtu choice achague between Nokia na S2 au Nokia na iphone 4 uone atachagua ipi.

Halafu hio simu uloileta kwenye pic. User base wake ni wapi? Unafikiri kwa sababu tu OS yake ni inferior imeweza kuuza 30 Million maanake Symbian nayo ingeuza more than that? Ivi kweli simu ya elfu 80 au laki moja unaishindanisha na simu ya milioni 2 au moja ipi inauza sana? Nokia akirudi na symbian yake, atauza sana kwa simu za bei ya laki laki lakini kwenye high end phones ameachwa sana, na sijui comeback yake afanye nini. Mana uwanja si mdogo, hata kina Samsung wamejaribu kuja na Tizen lakini thubutu aweke Tizen kwenye Galaxy S10 aone, kaganda na android kwanza.

Always nakwambia be realistic. Unaweza ukajisifia umeuza simu nyingi kuliko mwenzako, lakini ni simu ipi?


Nakumbuka hukusema kuwa Milioni moja as money you spent to buy shares. Kwao both side of math ni sawa.

If you go back further when Nokia was seriously dominating the phone industries, like tuanze 2004?

Share price was $9 for Nokia and for Apple was $2 for Apple..... miaka imekwenda mbele, Nokia is no $5 and Apple is now $185.

Spend that 1 Million Back then kununua shares and see who earns more.

My point here is that Apple, despite you saying it is not innovative, it copies etc, is way more high than the company you praise. Why?

Sorry nimechelewa kureply.... niko occupied nakosa mda wa long replies

Mkuu unapoteza mda kubishana na chief Mkwawa, jamaa ana mapenzi na nokia (very sad ) utabishana nae mpaka Kesho bado atakwambia Nokia is fat better than iPhone wakati inajulikana kabisa kifo cha nokia kilianzishwa na apple android wakamalizia kama ambavyo apple ameua high end zote za Android .. Ni ukweli Mchungu lakini jamaa anamrushia mzigo Ceo me naita kutafuta comfort zone.

Nokia zilikuwa simu kali lakini iphone ilikuwa magic ..
 
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Hata ukisimuliwa inatosha mkuu sio lazima uimiliki
 
Nani Kasema lazima uwe na Itunes?


Kwa Ajili ya nini Bluetooth? kurushiana picha na video? Hizo mambo ni old fashion mkuu. Tangu nianze kutumia iphone sijawahi kuona kitu kwa mtu akisha nkakiomba kurushiwa kwa bluetooth.


Msala wake ni upi? kama local developer hajatengeza app, hilo ni kosa la Apple?


Use another Browser if you cant donwload via Safari


Hii na 12 naona zinagongana, how can you say Poor documents perusing and management, halafu unasema NO file management app?


Buy one with 256 GB tatizo liko wapi mkuu?


Kivipi?


IOS ni Poor ecosystem? 😱 Bado huna uhakika na unachoongea ndugu yangu.


How is it poor? Android wanafollow the same Back button. Hakuna tofauti ya app navigation kwenye ios na Android. Insta , whatsapp n.k navigation ipo ivo ivo.


Zile simu fake tangu miaka 2005 ivi i think dual sim zilikuwepo. How is it an issue? Samsung S series kwani ni dual sim cards? Au SONY Xperia? Dual sim unakuta kwenye vitecno na wenzake tu.


Kama ni mtumiaje wa iphone hasa, huwezi kusema ichi kitu. File explorer zipo nyingi tu.


Safari is called a default browser kwa sababu ios inakuja na hio browser ikiwa tayari pre installed. Options zipo nyingi tu mbona.



Mfano kama zipi?

Samsung alimcheka Apple alivoweka Notch kwenye simu. Sasa anaetengeza Android ametoa tolea la OS kwa ajili ya simu zenye notch, na sasa Android nyingi zinafuata njia hio....

APPLE anawaburuta bado.

Ikiwa wewe sio power user, kazi yako ni kupiga na kupokea simu, apple wanaona haina haja ya kuwa na simu ambayo huwezi kuitumia power yake in full.

Samsung na wenzake simu unazikuta zina specs kubwa mara 8GB ram, processor octa cores, lakini ukitizama perfomance unakuta hata iphone 4s inawakimbiza
Upande wa Bluetooth sio kwa ajili ya kurushiana videos tu mkuu. Kuna kustream music na hometheatre system via bluetooth, pia magari kibao infotainment system zake ni more bluetooth compatible than other connections
 
Hamna simu ya tecno ambayo inaweza fikia simu yoyote hapo. Kama unataka legue pia njoo
😂😂mimi hapana mkuu, ila kuna nyuzi zao hapa jukwaani wanatetea kila itwapo leo!
 
Mkuu unapoteza mda kubishana na chief Mkwawa, jamaa ana mapenzi na nokia (very sad ) utabishana nae mpaka Kesho bado atakwambia Nokia is fat better than iPhone wakati inajulikana kabisa kifo cha nokia kilianzishwa na apple android wakamalizia kama ambavyo apple ameua high end zote za Android .. Ni ukweli Mchungu lakini jamaa anamrushia mzigo Ceo me naita kutafuta comfort zone.

Nokia zilikuwa simu kali lakini iphone ilikuwa magic ..
Nimekuwa nikisoma michango ya kimawazo ya Chief, sidhani kama anatetea kuwa "Nokia ni bora kuliko iPhone/Apple". Naona anajaribu kueleza jinsi Nokia alivyokuwa Mama wa Ubunifu huku Apple akijikita zaidi kama "Luxury" brand.

Nimeweka baadhi ya links kwa video zinazoonesha baadhi ya mapungufu ya hizi iPhone mpya nasubiria wafuasi wa Apple (ambao mnaamini sana kuwa kampuni yenu haina mapungufu) mnieleze juu ya hili.

Inakuwaje mtu ulipe over $1300 af simu ije ikutoe selfi kama mdoli au ucharge ikiwa idle afu isipokee charge hadi u'activate the screen?!
 
Iphone inaweza screen kuwa splitted sehemu mbili na kufanya kazi kila upande tofauti. Mfano, youtube unaangalia mpira na wkt huohuo unaendelea na mambo mengine kama kuchat, kusoma/kuchangia jf nk! Mfano km hapo picha inavyoonesha!
Screenshot_2018-09-30-14-19-54-80.jpeg
 
Iphone inaweza screen kuwa splitted sehemu mbili na kufanya kazi kila upande tofauti. Mfano, youtube unaangalia mpira na wkt huohuo unaendelea na mambo mengine kama kuchat, kusoma/kuchangia jf nk! Mfano km hapo picha inavyoonesha! View attachment 882257
Sasa hicho ni kitu cha ajabu?? Mbona hata Infinix zinafanya?
 
Nimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
kwahiyo mkuu unakubaliana na mtoa mada hapo
 
Mimi tangu nilipoanza kutumia apple devices sijawahi kujutia mwanzoni nlikuwa nawashangaa watu wanaozisifia nawaona hawajui kitu lkn nlipoingia nmeelewa vzr
ndo utueleze hapa imeelewa nini au ndo mnajipa moyo tuu sababu mmeshanunua
 
Upande wa Bluetooth sio kwa ajili ya kurushiana videos tu mkuu. Kuna kustream music na hometheatre system via bluetooth, pia magari kibao infotainment system zake ni more bluetooth compatible than other connections
Serious!? Kustream huwezi kwa kutumia iPhone!? Upo wapi nije kukufundisha bure kabisa
 
Nakumbuka mwaka jana watu wali diss sana iPhone X , Face ID na top notch .. Tukawaeleza hawakuelewa sasa mpaka mwaka unaisha iPhone X imekuwa game changer , Face ID imekuwa successful sana including feature yake ya animoji ambayo mpaka Samsung wameiga wakafeli . Top notch simu kibao zimeweka, tumeona Face ID au face unlock inaelekea wapi baada ya iPhone X kufanya mapinduzi makubwa ..

Nawaambieni acheni apple aitwe apple jamaa wanajua wanachokifanya na wakifanya kitu jua wamejiridhisha nje ndani ...! Ndo kampuni pekee ya electronics inayojua exactly inapoelekea acheni hawa wengine makanjanja!
Nyie hamkuiga top notch? Unaongea as if iphone x ndio simu ya kwanza kuwa na notch
 
Iphone inaweza screen kuwa splitted sehemu mbili na kufanya kazi kila upande tofauti. Mfano, youtube unaangalia mpira na wkt huohuo unaendelea na mambo mengine kama kuchat, kusoma/kuchangia jf nk! Mfano km hapo picha inavyoonesha! View attachment 882257
Hii feature nimetumia kwenye s3 ya mwaka 2012. Miaka 6 baadae anakuja fan wa Apple na kuona ni innovation kubwa Apple wamefanya.
 
Back
Top Bottom