Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Video ya juu ilikuwa ina compare s9 na iphone x right? Ovious hiyo tarehe s9 ilikuwa haijatoka
Which video?

Mtu umetoa milioni 2 ama 3 umenunua simu halafu tena zianze excuse kama hizo? Nategemea simu ya bei hio iwe na cooling nzuri, hata isipokua best angalau wajitahidi.
Unaweza ukatoa milioni mbili na simu ikakuripukia. Make your expectation reasonable according to the pace of technology moving forward. Saiv unasema ivo kwa sababu kuna Carbon water cooling (kama sijakosea jina) kwenye samsung, ila hapo before ulikuwa unaspend the same amount for normal phone with no such tech sio?

Huwezi ku judge mpaka uangalie reviews za kitaalamu, kama note 9 ina achieve same speed kama 6gb ram ya s9 ama ikiwa na speend nzuri zaidi basi hio ni quality.

Ila kama note 9 ina speed ndogo then ni quantity
Vyvyote iwavyo, ikiwa 8Gb ram itaperform sawa na 6GB ram, kwanini sasa Sam ameamua kuweka 8GB? na ikiwa inaperform better, kwanini Sam asiwe na 8GB kwe S series yake since there is a technology to make it possible?

Na apple ana historia ya kutumia vifaa vya quality ndogo. Mfano
-ili kupunguza bei ya modem Apple alianza kutumia modem za intel zenye quality ndogo badala ya za qualcomm zenye quality kubwa. qualcomm alikuwa ni supplier wa zamani wa Apple. Ukiangalia hii move inamfaidisha Apple kama kampuni na kumkandamiza mtumiaji.
Intel iPhone 7 modem suffers slower LTE speeds than Qualcomm version
-bendgate sababu ya kutumia alluminium low quality
-Antenna gate
-Apple maps etc

Intel is not a small company mkuu. Sifikirii kama Apple kutumia modem za intel ilikuwa ni kwa sababu they opt to go for low quality. In everyone belief intel anatengeza vitu vizuri. Ni kama BMW au Merc, sote tunajua kuwa magari yao mazuri, luxury na yanapeerfomr vizuri. Kwa kuamini ivo, ukipata pesa unaenda kununua hio gari. Baada ya muda unaanza kurealise kuwa haikufai, maana mara ichi kimekufa kizembe, mara engine hivi au vile. Hakuna mtu atakesema ah you went for low quality.

Ukisema low quality aluminium mi nafahamu kuwa hio Aluminium haikuwa pure ilikuwa chafu. Ila ukinambia hio ilikuwa design flaw nitaelewa maana aluminium. Kwa mfano kama lile jengo liloporomoka pale posta kipindi kile, hatuwezi kusema Saruji ilotumika ni low quality, bali ilikuwa ni engineering error.

The Antenna gate was solved by software means and not hardware. the hardware was just fine, they needed to work on their algorithm.

How can you say Apple decided to go for cheaper option and chose Apple Maps? Google maps ni bure! how can you say apple went for cheaper option on this one?

Just to clarify Nokia ameiua symbian kabla Android na ios hazija take over. Wakati Elop anatoa burning memo 2010, Nokia alikuwa anauza simu nyingi kuliko samsung na Apple combined. Decision ya Elop kuiacha symbian 2010 na kutengeneza exclusive windows phone ndio iliosababisha. Naamini symbian ingekuwepo leo still ingeuza mamia ya mamilioni ya simu.

Kai os ni smart feature phone. Naitumia hapa compare na symbian ni inferior ila india tu imeuza simu zaidi ya milioni 30.
nokia-8110-4g-1.jpg

Ndio maana symbian imefungiwa na wamekataa kurelease source code.
Mkuu tukizungumzia Apple, hatuzungumzii jina, tunazungumzia team nzima ndani ya Apple. Tim akiamua kuiua iPhone, halafu tumekaa miaka tunaona there is no sign for the iphone to come back, hatusemi Tim kaua iphone, tunasema Apple wameua iphone. Na hivo ndivo ilivokuwa kwa Nokia, mnapenda kumbebesha msala Elop, kwani kampuni haikuwa na board yake?

Nokia wamekubali kuachwa nyuma, wakati watumiaji simu wameanza kubadilisha OS choice, yeye ameshikilia Symbian yenye old UI comparing to Android na iOS. Nafikiri katika kukeep up ndio wakaja na Meego ikabuma nayo. Bring the best Symbian Phone of the time, halafu mpe mtu choice achague between Nokia na S2 au Nokia na iphone 4 uone atachagua ipi.

Halafu hio simu uloileta kwenye pic. User base wake ni wapi? Unafikiri kwa sababu tu OS yake ni inferior imeweza kuuza 30 Million maanake Symbian nayo ingeuza more than that? Ivi kweli simu ya elfu 80 au laki moja unaishindanisha na simu ya milioni 2 au moja ipi inauza sana? Nokia akirudi na symbian yake, atauza sana kwa simu za bei ya laki laki lakini kwenye high end phones ameachwa sana, na sijui comeback yake afanye nini. Mana uwanja si mdogo, hata kina Samsung wamejaribu kuja na Tizen lakini thubutu aweke Tizen kwenye Galaxy S10 aone, kaganda na android kwanza.

Always nakwambia be realistic. Unaweza ukajisifia umeuza simu nyingi kuliko mwenzako, lakini ni simu ipi?

Hii pia si hesabu sahihi.

Nimetoa milioni 1 kununua hisa za nokia na kila hisa ni dola 2.11

1,000,000 gawanya 2.11 inamaana nitapata vipande 473,709

Milioni moja kununua hisa za Apple kila hisa ni dola 83

1,000,000 gawanya kwa 83 nitapata vipande 12,048

Sasa chukua

473709 mara stock ya sasa ya 5.5

Na

12048 mara stock ya sasa ya 223
Nakumbuka hukusema kuwa Milioni moja as money you spent to buy shares. Kwao both side of math ni sawa.

If you go back further when Nokia was seriously dominating the phone industries, like tuanze 2004?

Share price was $9 for Nokia and for Apple was $2 for Apple..... miaka imekwenda mbele, Nokia is no $5 and Apple is now $185.

Spend that 1 Million Back then kununua shares and see who earns more.

My point here is that Apple, despite you saying it is not innovative, it copies etc, is way more high than the company you praise. Why?

Sorry nimechelewa kureply.... niko occupied nakosa mda wa long replies
 
Nilikua nawatamani wanaotumia iphone kiasi kwamba niliamua kuchukua i6+. Hakika sikumaliza nayo wiki. Inaboa sana.

Nimerudi samsung kwakweli.

Kimtazamo huku kwetu ni kwamba mtu anayetumia iphone, anaonekana ni mwenye hadhi. Nimesema kimtazamo tena kwa watu tuliokosa elimu na kukaa na watu wengi tukajua dunia ilivyo.

Kwa upande wangu, iphone haina lolote kwakweli kumzidi samsung
Hahah I phone ndo nzuri kuuzia indicators.... sorry kama itakuwa nimekufananisha.
 
Which video?
Video ya kwanza kabisa kutoka EverythingApplepro ambayo alicompare s9 na iphone x. S9 ni simu ya 2018 na iphone x imetoka 2017 mwishoni. Hivyo ukileta link iwe ndani ya hio timeline na sio kuleta link ya 2014 ama 2017 kabla ya hizo simu hazijatoka ni pointless.

Unaweza ukatoa milioni mbili na simu ikakuripukia. Make your expectation reasonable according to the pace of technology moving forward. Saiv unasema ivo kwa sababu kuna Carbon water cooling (kama sijakosea jina) kwenye samsung, ila hapo before ulikuwa unaspend the same amount for normal phone with no such tech sio?
Usikariri mkuu kwamba hio milioni inanunua nini. Technology inabadilika. Miaka 100 iliopita milioni ilikuwa inanunua simu ya mezani pengine. Ila sasa hivi nikitoa hio hela nitataka latest technology kutokana na tarehe yangu. Kama miaka miwili iliopita hakukuwa na hio cooling nilipata lastest ya huo mwaka mfano 2015/2016 vitu hot vilikuwa kama liquid cooling, Quad HD display, 4GB ram etc na ndio ulikuwa unavipata.

Vyvyote iwavyo, ikiwa 8Gb ram itaperform sawa na 6GB ram, kwanini sasa Sam ameamua kuweka 8GB? na ikiwa inaperform better, kwanini Sam asiwe na 8GB kwe S series yake since there is a technology to make it possible?

hakuna kampuni yoyote duniani inayoweza shindana na samsung linapokuja suala la memory iwe ram ama storage ya ndani. Hivyo unapoipinga choice yake inabidi uwe na reasoning za uhakika.

Miezi 6 baina ya s na note ni mikubwa sana kitechnology, inawezekana tech ilikuwepo ila hakukuwa na supply ya kutosha ama ikawa 8gb ram miezi 6 iliopita haikuwa na speed kama 6gb ram. Ukumbuke hapa unaongelea ram tofauti moja ya 3gb ram na nyengine 4gb ambazo zikiwekwa kama dual chanell ndio zinakuwa 6gb na 8gb. Unless una ushahidi hapa kutetea kauli yako utakuwa huna point.

Intel is not a small company mkuu. Sifikirii kama Apple kutumia modem za intel ilikuwa ni kwa sababu they opt to go for low quality. In everyone belief intel anatengeza vitu vizuri. Ni kama BMW au Merc, sote tunajua kuwa magari yao mazuri, luxury na yanapeerfomr vizuri. Kwa kuamini ivo, ukipata pesa unaenda kununua hio gari. Baada ya muda unaanza kurealise kuwa haikufai, maana mara ichi kimekufa kizembe, mara engine hivi au vile. Hakuna mtu atakesema ah you went for low quality.

Again unamtetea Apple kwa kitu alichokiri, unaifuatilia kampuni yako kweli? Apple anaacha kutumia Qualcomm sababu anasema bei zao zipo juu na amemchagua intel sababu bei ni rahisi na test kibao zinaonesha modem za intel ni inferior kwa qualcomm.
Android Phones Obliterate iPhone on 4G Speed Tests
Sasa jiulize mwenyewe simu ya Dola 1000 ili Apple kusave dola 1 ama 2 anasacrifice speed ya internet ya iphone. Ukiangalia hizo test unaona simu za Android ni almost twice the speed compare na iphone.

Ukisema low quality aluminium mi nafahamu kuwa hio Aluminium haikuwa pure ilikuwa chafu. Ila ukinambia hio ilikuwa design flaw nitaelewa maana aluminium. Kwa mfano kama lile jengo liloporomoka pale posta kipindi kile, hatuwezi kusema Saruji ilotumika ni low quality, bali ilikuwa ni engineering error.
Mbona sasa iphone mpya zinatoka na grade ya 7 ya alluminium badala ya 6 waliotumia zamani? Kama ni engineering error kama unavyotaka kutuaminisha why wabadili material? Si wangetumia tu yaleyale?

The Antenna gate was solved by software means and not hardware. the hardware was just fine, they needed to work on their algorithm.
antenna gate imekuwa solved kwa kuambiwa usishike simu yako vibaya, kanunue iphone 4 leo Aggrey pale kisha ziba kwa nyuma kwenye Antenna uone kama signal hazidrop. Ile simu inafaa uivae kama cheni kifuani maana ukiiziba ziba na network inadrop.

Na hili jipya mkuu nalisikia. Antenna ni hardware na Apple waliieka nje ya simu kabisa ambayo ukishika simu unaiziba,unasolve vipi na software?
iPhone_4_antenna_issue.jpg

How can you say Apple decided to go for cheaper option and chose Apple Maps? Google maps ni bure! how can you say apple went for cheaper option on this one?
Mkuu ramani sio kitu unakaa ndani na kukitengeneza. Bali ramani inahitaji magari na vifaa vizunguke mamilioni ya kilomita kutengeneza hio mitaa.

Apple kuwa cheap ni kutaka ndani ya mwaka na wao wawe na Ramani kama Nokia na Google. Wakatia ramani zao ambazo zilipigwa marufuku nchi kibao kwa kupoteza watu na kusababisha madhara makubwa.

Kampuni kubwa kama Apple inayosifika kuwa na hela kuliko wote kutoa service kama hio bado unawatetea hawakuwa cheap?
slide_251885_1548020_free.jpg

Mkuu tukizungumzia Apple, hatuzungumzii jina, tunazungumzia team nzima ndani ya Apple. Tim akiamua kuiua iPhone, halafu tumekaa miaka tunaona there is no sign for the iphone to come back, hatusemi Tim kaua iphone, tunasema Apple wameua iphone. Na hivo ndivo ilivokuwa kwa Nokia, mnapenda kumbebesha msala Elop, kwani kampuni haikuwa na board yake?
Board na investors wapo After money unajua hilo? Mtu ambaye yupo after money ukimwambia nipo uwezo wa Ceo na nitaiuza hii department kwa trilioni kadhaa unafikiri watakataa? Na ndio maana baada ya ile buyout serikali ya Finland ikaingiza hela zake ili kuprevent kitu kama kile kutokea tena.

Nokia wamekubali kuachwa nyuma, wakati watumiaji simu wameanza kubadilisha OS choice, yeye ameshikilia Symbian yenye old UI comparing to Android na iOS. Nafikiri katika kukeep up ndio wakaja na Meego ikabuma nayo. Bring the best Symbian Phone of the time, halafu mpe mtu choice achague between Nokia na S2 au Nokia na iphone 4 uone atachagua ipi.
Kipindi s2 na iphone 4 zinatoka tayari burning memo imeshatolewa hivyo usifananishe simu za mbele, compare 3gs na s tupu na flagship za kipindi kile za Nokia. Na nimekupa data at that time kabla ya memo Nokia alikuwa anauza zaidi kuliko samsung na Apple combined. Hivyo symbian ilikuwa inauza.

Na pia Nokia alikuwa na os ya meego kwa ajili ya highend,Nokia N9 ilikuwa discontinued kabla haijatoka, japo ilikuwa discontinued iliuza simu zaidi ya milioni 5 hebu. Kati ya s2 na iphone 4 ipi inamzidi Nokia N9?
Three-Colors-of-Nokia-N9.jpg

Hizi baadhi ya sifa za N9
-simu ya kwanza duniani kutumia polycarbonate material bora zaidi ya kutengenezea simu kuanzia signal, kutoscratch sana, rangi zinazovutia etc
-true multitasking ya mamia ya apps
-curved display
-uwezo wa kuboot operating system nyingi. Kawaida kwa N9 kurun Android ama Meego au nemo kwa kipindi chake.
-haikuwa na button kila kitu ni gestures. Hata iphone x ilicopy humu.
-simu ya kwanza duniani kuwa na double tap to awake. List ya walio copy ni kubwa
-storage kubwa kipindi chake 64GB na ram kubwa 1gb
-integration ya social media zako sehemu moja. Angalia picha ya juu ulikuwa unaweka feed za twitter, fb etc kwenye timeline moja ukiamka asubuhi huna haja ya kuvisit kila app kivyake
-integration ya cloud system kwenye gallery, vitu kama dropbox, google drive, onedrive etc mambo haya ni common sasa ila kipindi hicho unayakuta kwa Nokia tu.
-smooth and efficient kukuta lag ni nadra.

Halafu hio simu uloileta kwenye pic. User base wake ni wapi? Unafikiri kwa sababu tu OS yake ni inferior imeweza kuuza 30 Million maanake Symbian nayo ingeuza more than that? Ivi kweli simu ya elfu 80 au laki moja unaishindanisha na simu ya milioni 2 au moja ipi inauza sana? Nokia akirudi na symbian yake, atauza sana kwa simu za bei ya laki laki lakini kwenye high end phones ameachwa sana, na sijui comeback yake afanye nini. Mana uwanja si mdogo, hata kina Samsung wamejaribu kuja na Tizen lakini thubutu aweke Tizen kwenye Galaxy S10 aone, kaganda na android kwanza.
Simu zote za Nokia ya tochi series ziliuza unit milioni 100 mpaka 250. Hebu fanya mahesabu madogo tu.
Kitochi bei dola 16 vikiuza 250m ni dola 4 billion
Galaxy s10 fanya inauzwa dola 1000 wakiuza unit 10m ni sawa na 10b

Hivyo unaona kisimu cha tochi tu inawezekana kufikia 40% ya mauzo ya s10, hapo bado kuna sijui E seris, N series, C series etc ambazo bei zake nyingi ni chini ya dola 100 hivyo zinauza kwa units nyingi zaidi.

angalia mapato ya Nokia ya zamani utaona you dont need simu ya dola 1000 kupata hela nyingi.

Na ukumbuke kitochi hakihitaji matangazo mengi, kampuni kama samsung inaspend zaidi ya budget ya Tanzania kwa mwaka kwa ajili ya matangazo tu,

Always nakwambia be realistic. Unaweza ukajisifia umeuza simu nyingi kuliko mwenzako, lakini ni simu ipi?

Nakumbuka hukusema kuwa Milioni moja as money you spent to buy shares. Kwao both side of math ni sawa.

If you go back further when Nokia was seriously dominating the phone industries, like tuanze 2004?

Share price was $9 for Nokia and for Apple was $2 for Apple..... miaka imekwenda mbele, Nokia is no $5 and Apple is now $185.

Spend that 1 Million Back then kununua shares and see who earns more.

My point here is that Apple, despite you saying it is not innovative, it copies etc, is way more high than the company you praise. Why?

Sorry nimechelewa kureply.... niko occupied nakosa mda wa long replies
Hakuna aliekukatalia kuwa Apple ana hela, ila ukweli utabaki pale pale biashara na uwezo wa Technology ni vitu tofauti. Kumaliza mjadala huu wa hela.

-Waarabu wana hela sana hizi ni baadhi ya investment zao, vevo kwenye muziki na global foundry kwenye processor hii inamaanisha hivi

Kwenye kila mziki unaoangalia wewe youtube umetumia bidhaa za waarabu,au kila game console unayonunua kama ps4 na xbone umewaingiza hela wao.

Kampuni zao kama Saudi Aramco zina hela mara mbili ya Apple,

Swali la msingi linakuja sasa, je waarabu wana Technology kushinda wajapani ama USA? Wana hata maabara kubwa ya technology? Jibu nafikiri unalo.

Kuwa na hela si kigezo kwamba una technology kubwa,unaweza ukawa na hela sababu unafanya bishara vizuri. Unafanya matangazo sana,serikali yako inakupa support kubwa, unapungiziwa kodi etc.
 
Video ya kwanza kabisa kutoka EverythingApplepro ambayo alicompare s9 na iphone x. S9 ni simu ya 2018 na iphone x imetoka 2017 mwishoni. Hivyo ukileta link iwe ndani ya hio timeline na sio kuleta link ya 2014 ama 2017 kabla ya hizo simu hazijatoka ni pointless.

Usikariri mkuu kwamba hio milioni inanunua nini. Technology inabadilika. Miaka 100 iliopita milioni ilikuwa inanunua simu ya mezani pengine. Ila sasa hivi nikitoa hio hela nitataka latest technology kutokana na tarehe yangu. Kama miaka miwili iliopita hakukuwa na hio cooling nilipata lastest ya huo mwaka mfano 2015/2016 vitu hot vilikuwa kama liquid cooling, Quad HD display, 4GB ram etc na ndio ulikuwa unavipata.

hakuna kampuni yoyote duniani inayoweza shindana na samsung linapokuja suala la memory iwe ram ama storage ya ndani. Hivyo unapoipinga choice yake inabidi uwe na reasoning za uhakika.

Miezi 6 baina ya s na note ni mikubwa sana kitechnology, inawezekana tech ilikuwepo ila hakukuwa na supply ya kutosha ama ikawa 8gb ram miezi 6 iliopita haikuwa na speed kama 6gb ram. Ukumbuke hapa unaongelea ram tofauti moja ya 3gb ram na nyengine 4gb ambazo zikiwekwa kama dual chanell ndio zinakuwa 6gb na 8gb. Unless una ushahidi hapa kutetea kauli yako utakuwa huna point.

Again unamtetea Apple kwa kitu alichokiri, unaifuatilia kampuni yako kweli? Apple anaacha kutumia Qualcomm sababu anasema bei zao zipo juu na amemchagua intel sababu bei ni rahisi na test kibao zinaonesha modem za intel ni inferior kwa qualcomm.
Android Phones Obliterate iPhone on 4G Speed Tests
Sasa jiulize mwenyewe simu ya Dola 1000 ili Apple kusave dola 1 ama 2 anasacrifice speed ya internet ya iphone. Ukiangalia hizo test unaona simu za Android ni almost twice the speed compare na iphone.

Mbona sasa iphone mpya zinatoka na grade ya 7 ya alluminium badala ya 6 waliotumia zamani? Kama ni engineering error kama unavyotaka kutuaminisha why wabadili material? Si wangetumia tu yaleyale?

antenna gate imekuwa solved kwa kuambiwa usishike simu yako vibaya, kanunue iphone 4 leo Aggrey pale kisha ziba kwa nyuma kwenye Antenna uone kama signal hazidrop. Ile simu inafaa uivae kama cheni kifuani maana ukiiziba ziba na network inadrop.

Na hili jipya mkuu nalisikia. Antenna ni hardware na Apple waliieka nje ya simu kabisa ambayo ukishika simu unaiziba,unasolve vipi na software?
iPhone_4_antenna_issue.jpg

Mkuu ramani sio kitu unakaa ndani na kukitengeneza. Bali ramani inahitaji magari na vifaa vizunguke mamilioni ya kilomita kutengeneza hio mitaa.

Apple kuwa cheap ni kutaka ndani ya mwaka na wao wawe na Ramani kama Nokia na Google. Wakatia ramani zao ambazo zilipigwa marufuku nchi kibao kwa kupoteza watu na kusababisha madhara makubwa.

Kampuni kubwa kama Apple inayosifika kuwa na hela kuliko wote kutoa service kama hio bado unawatetea hawakuwa cheap?
slide_251885_1548020_free.jpg

Board na investors wapo After money unajua hilo? Mtu ambaye yupo after money ukimwambia nipo uwezo wa Ceo na nitaiuza hii department kwa trilioni kadhaa unafikiri watakataa? Na ndio maana baada ya ile buyout serikali ya Finland ikaingiza hela zake ili kuprevent kitu kama kile kutokea tena.

Kipindi s2 na iphone 4 zinatoka tayari burning memo imeshatolewa hivyo usifananishe simu za mbele, compare 3gs na s tupu na flagship za kipindi kile za Nokia. Na nimekupa data at that time kabla ya memo Nokia alikuwa anauza zaidi kuliko samsung na Apple combined. Hivyo symbian ilikuwa inauza.

Na pia Nokia alikuwa na os ya meego kwa ajili ya highend,Nokia N9 ilikuwa discontinued kabla haijatoka, japo ilikuwa discontinued iliuza simu zaidi ya milioni 5 hebu. Kati ya s2 na iphone 4 ipi inamzidi Nokia N9?
Three-Colors-of-Nokia-N9.jpg

Hizi baadhi ya sifa za N9
-simu ya kwanza duniani kutumia polycarbonate material bora zaidi ya kutengenezea simu kuanzia signal, kutoscratch sana, rangi zinazovutia etc
-true multitasking ya mamia ya apps
-curved display
-uwezo wa kuboot operating system nyingi. Kawaida kwa N9 kurun Android ama Meego au nemo kwa kipindi chake.
-haikuwa na button kila kitu ni gestures. Hata iphone x ilicopy humu.
-simu ya kwanza duniani kuwa na double tap to awake. List ya walio copy ni kubwa
-storage kubwa kipindi chake 64GB na ram kubwa 1gb
-integration ya social media zako sehemu moja. Angalia picha ya juu ulikuwa unaweka feed za twitter, fb etc kwenye timeline moja ukiamka asubuhi huna haja ya kuvisit kila app kivyake
-integration ya cloud system kwenye gallery, vitu kama dropbox, google drive, onedrive etc mambo haya ni common sasa ila kipindi hicho unayakuta kwa Nokia tu.
-smooth and efficient kukuta lag ni nadra.

Simu zote za Nokia ya tochi series ziliuza unit milioni 100 mpaka 250. Hebu fanya mahesabu madogo tu.
Kitochi bei dola 16 vikiuza 250m ni dola 4 billion
Galaxy s10 fanya inauzwa dola 1000 wakiuza unit 10m ni sawa na 10b

Hivyo unaona kisimu cha tochi tu inawezekana kufikia 40% ya mauzo ya s10, hapo bado kuna sijui E seris, N series, C series etc ambazo bei zake nyingi ni chini ya dola 100 hivyo zinauza kwa units nyingi zaidi.

angalia mapato ya Nokia ya zamani utaona you dont need simu ya dola 1000 kupata hela nyingi.

Na ukumbuke kitochi hakihitaji matangazo mengi, kampuni kama samsung inaspend zaidi ya budget ya Tanzania kwa mwaka kwa ajili ya matangazo tu,

Hakuna aliekukatalia kuwa Apple ana hela, ila ukweli utabaki pale pale biashara na uwezo wa Technology ni vitu tofauti. Kumaliza mjadala huu wa hela.

-Waarabu wana hela sana hizi ni baadhi ya investment zao, vevo kwenye muziki na global foundry kwenye processor hii inamaanisha hivi

Kwenye kila mziki unaoangalia wewe youtube umetumia bidhaa za waarabu,au kila game console unayonunua kama ps4 na xbone umewaingiza hela wao.

Kampuni zao kama Saudi Aramco zina hela mara mbili ya Apple,

Swali la msingi linakuja sasa, je waarabu wana Technology kushinda wajapani ama USA? Wana hata maabara kubwa ya technology? Jibu nafikiri unalo.

Kuwa na hela si kigezo kwamba una technology kubwa,unaweza ukawa na hela sababu unafanya bishara vizuri. Unafanya matangazo sana,serikali yako inakupa support kubwa, unapungiziwa kodi etc.
I like this! Fact to counter a mere point!
 
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
WACHOYO:D:D WAAMBIE HAWAZIKWI NAZO:cool::cool:
 
  1. Android kweli wana free app nyingi kwenye playstore lakini ulishajiuliza best game apps zinaangukia iOS
  2. iOS 11.4.3 : inaingia kwenye 89.82% ya iphones ila umeshajiuliza ni simu ngapi za android zinatumia latest Android 8.0 Oreo ni 0.8% tuu.
  3. FaceTime na iMessage zinakuja tayari ziko installed na ni rahisi kutumia na kukuunganisha na familia na marafiki.
  4. Simu za Android ni rahisi sana kudukuliwa (hacked) na jamaa kama Heartbleed na Stagefright but Apple even went to war with the FBI to guarantee your right to encryption. It’s hard to beat that kind of dedication. There’s no denying that iOS is the most secure platform and the one that best protects user privacy. If you care about your privacy and security, go with an iPhone.

Appo ndo waliponishika
Kwenye facetime na imessage bila kusahau find iphone
 
Utupe maelezo sasa,hiyo apecha pecha lololo,ipi kubwa na ipi ndogo,
Aperture ni ule uwezo wa jicho kuona katika mazingira tofauti mfano usiku nitakuapa mfano wa DSLR i.e Canon 7D Mark II, mfano ukiwa na lens i.e 50mm f1.8 maana yake kwenye giza picha inatoka vizuri pia ukiwa 50mm f1.4 maana yake pia inatoka vizuri zaidi ya f1.8 kwaio yenye ndogo ndo inaona vizuri mkuu....
 
Hata akihongwa ila hana sifa ya ukilaza.
Sasa mtu anahongwa utasema huyo sio kilaza? FB manzi alikua anazingua kutoa tarakimu nikamzingua akataka Iphone 7 hahahaha yani kila kitu na appointment mtu akaliwe kisa iphone 7 na ukimuona huwezi kutegemea kama anaweza kuliwa na mtu asiemjua kisa simu....
 
Mkuu sawa ulihonga ila hoja ipo kwenye matumiz kwamba hawatumii vilaza. Regardless umeipataje lakn lazma ubongo uwe active kidogo.
 
Welcome to the "Beauty-gate", dear iPhone fans!.
Angalia hiyo video, then pitia pia Reddit kuona wanavyosema wenye hizo XS na Max.
Are you really paying over $1000 to be forced to look like a doll every time you take a selfie?
What is happening, Apple?
Kuna comment hapo inachekesha ila kuna namna...

"Finally, Apple got inspired by VIVO (some Android smartphone brand that I'm sure not many people here know about!)"

Emb ndugu yangu Watery tusaidie hapa!
 
Okay... anaetaka iphone 6 yenye 64GB alete 500k na mwenye kuhitaji note 5 32GB aje na 450k

Iphone 6 plus yenye 64GB nahitaj 400k sababu body na glass yake v imechakaa...
 
Ngoja waje wakushambulie kuwa ni low quality bora tecno
 
Back
Top Bottom