Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

mim nimetumia sana iphone,,,tuu much.. bt naoana most of them ni kama show off tuu..na kufata mkumbo ingali wengi wao hawainjoy coz iphone mahadhi yake ni kutumiwa na watu ambao wanaweza kua na access ya most of its futures..mfano imessege, facetime, podcast, health, ni baadh ya apps zilizopo kwa ios nyingi ambapo ni wachache sana wanatumia,,so unakuta mtu anamiliki iphone bt anaitumia only 40%..iphone ina limitation kibao na nyingi kuna baadhi ya apps kwenye appstore hutaweza kuzipata eti mpka wifi...bluetooth sharing,,kupata media kutoka katika tovuti,,ni ngumu ukilinganisha na android,,, interaction yake na pc inahitaji third app kwenye pc ambayo ni itune,,, swala la chaji pia inaubaguzi so inakupasa ubebe chaji pale unapokua mbali au inapokaribia kuisha na unatoka it's so bored ..pia ina faida zake sanasana security,,pia unaonekana na hadhi fulani hivi (nafikiri hii ndo sababu ya wengi kumiliki iphone) ni maoni yangu tuuu😛😛
 
Baki kwenye Tecno mzee,hii Dunia ina machaguo mengi sana hauwezi kuyafanya yote lazima utofautiane na wenzio tu.
Kwangu mimi iPhone ni tafsiri sahihi ya neno simu nina-enjoy kuliko unavyodhania kama vile matumizi ya simu yanavyotaka tatizo watu wengi ambao ni Android addict wanataka kugeuza simu kila kitu walale umo umo,simu ipike pilau,simu abandike maji ya kuoga yaani vurumai tupu ndio maana mnalalama kua iOS sio friendly ni mazoe yenu ya kuzoazoa.

🤣🤣🤣
 
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Kuna toleo linazinduliwa tarehe 21.09.2018.
Ni IPhone XMacs hii itakuwa ina SIM Card ya double. Nadhani atauza balaaaa,
 
Mtoa mada usije ukajaribu kuitumia ata i phone 5s achana na 8 plus uko..maana ata kama ni mwakani lazma utaichambua hii thread yako uizike..mm nimetumia simu zote kali ila i phone haina mpinzani..
Yaani ni sawa na kulinganisha Benz vs Toyota
 
Bro ukiacha ushabiki wa Marketing campaigns na celeb quips, ni watanzania asilimia ngapi wanaweza kimbizana na Apple "as the Luxury brand" na sio ile iliyowapa iPhone 6 - 8s? Na kama hujui tu, kuna clone nyingi sana za iPhones Bongo. So sio mtu ukute unatumia clone ya 300k af unakuja flaunt yourself as if na wewe unamiliki genuine thing!

Na tunakoelekea huko kwenye luxury brand, clone zitakuwa mingi tu...so happy cloning kwa majority, na kwa wale wachache genuine, diehard Apple fanboys happy spending!

(Na kila mtu abaki kwenye mapendeleo yake. Ninayozungumza ni mawazo yangu tu. Na hayana uamuzi juu ya Personal preference. Hapa ni kuelimishana, kujuzana, kujaribiana uwezo wa kufikiri na kuwasilisha hoja, na kusukuma mjadala!)

Sent from my MI 5 using JamiiForums mobile app
Sijui chochote kuhusu uwepo wa clones za iphones.

Ila nnachojua kwamba, apple wana wateja wao na wanajitambua. Ukihangaika na hizo clones wewe sio mteja wao.
 
Sijui chochote kuhusu uwepo wa clones za iphones.

Ila nnachojua kwamba, apple wana wateja wao na wanajitambua. Ukihangaika na hizo clones wewe sio mteja wao.
Zipo tu bro! Wateja OG wa long time wanajua tofauti ila wale wafuata mkumbo na mifuko hairuhusu ndo wanakamataga sana clones.
 
Kuna kitu Kimoja inabidi uzoee ili ulewe hapa.. iPhone ni simu au  ni company yenye mfumo wa uendeshaji wa vifaa vyao wa tofauti sana na ndo mana inabakia kua simu unique yenye feature zake na ni nzuri Ila ukitaka kutumia iPhone ni kwamba uwe umejipanga na kama jipanga naona hamna shida yyt ya utumiaj wake
 
Ni sawa na tuseme iOs ni mfungwa ktk gereza lenye ulinzi mkali na ndani anapata malazi mavazi na chakula kizurih tatizo kutoka nje ndio msala.
Na android ni raia walio uraiani wakipambana kula kuvaa na kulala vizuri huku wakiwa huru kwa sehemu kubwa kwenda wanapotaka.

Sasa kwa mfano huo utajua nani anayafurahia matumizi ya simu janja hizi.
Dunia ni kubwa kama kuna nchi kama kuna nchi 232 ktk nchi izo ziwe na viongozi muhimu wakinunua na watu wengine kama wafanyabihashara maarufu wakinunua tayari ni Market Target. Na wengine wanaonunua kwa wingi ni majambazi, drugs dealers, magaidi, watu maarufu ndio market Target, wazungu na waarabu wananunua sana iPhone kwa ajili ulinzi wa ishu zao
 
  1. Android kweli wana free app nyingi kwenye playstore lakini ulishajiuliza best game apps zinaangukia iOS
  2. iOS 11.4.3 : inaingia kwenye 89.82% ya iphones ila umeshajiuliza ni simu ngapi za android zinatumia latest Android 8.0 Oreo ni 0.8% tuu.
  3. FaceTime na iMessage zinakuja tayari ziko installed na ni rahisi kutumia na kukuunganisha na familia na marafiki.
  4. Simu za Android ni rahisi sana kudukuliwa (hacked) na jamaa kama Heartbleed na Stagefright but Apple even went to war with the FBI to guarantee your right to encryption. It’s hard to beat that kind of dedication. There’s no denying that iOS is the most secure platform and the one that best protects user privacy. If you care about your privacy and security, go with an iPhone.
 
Haya makelele ya watu wanaotumia apple yamezidi. Ngoja na mimi nitafute iphone nione hiyo ladha yake. But kwa sasa mimi ni team samsung.
 


Seriously, Apple? Seriously?. XR screen resolution same as the ancient iPhone 4?!?

iSheeps, I call on you to watch that video and come explain the logic behind such a jerk of a move!
 
Nikipata pesa iPhone ✓>nokia✓>samsung✓ kwa sasa natumia Wiko kwasababu ya uchumi mmbovu
 
Wakuu naomba msaada hii simu ni note 3 lakini nikitaka kuupdate inaandika namna hii je nifanyaje
Screenshot_2018-09-21-10-10-42.jpeg
 
kwahiyo ndo basi tena mkuu?
Kwa nijuavyo mimi device ikishakuwa disco'ed basi hakuna tena namna nyingine. Na sio tu kwa device updates, hata pia kwa Android versions. Leo hii simu za 2013 zina kikomo kwa Android gani ndo mwisho wake kuna zingine mwisho wao ni Android KitKat, zingine Lolipop, etc.
 
pouwa mkuu
Kwa nijuavyo mimi device ikishakuwa disco'ed basi hakuna tena namna nyingine. Na sio tu kwa device updates, hata pia kwa Android versions. Leo hii simu za 2013 zina kikomo kwa Android gani ndo mwisho wake kuna zingine mwisho wao ni Android KitKat, zingine Lolipop, etc.
 
Back
Top Bottom