kibobori.1
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 167
- 21
Mbona viroba vipo mpaka bar
Mtaani ni rahisi hamna usumbufu wala majaribu unabaki njia kuu
Mbona viroba vipo mpaka bar
Mtaani ni rahisi hamna usumbufu wala majaribu unabaki njia kuu
mtaani kwangu vinauzwa buku,mkopo ruksa hapa kwamangi bar masimango mengiMbona viroba vipo mpaka bar
Wana jamii mm ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lkn cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa, anzia bar kubwa kama rozi gaden, kona bar brek point, igo bar watu , uhuru peak bar masai clabu jakalanda pub, mk bar, kote huko watu hamna,na bar nyingine nyingi dar, swali je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi? Swali la pili ni watu wameamua kuokoka na kumedia mungu? Wana jamii naombeni tusaidiane maoni
Hili tatizo limesababishwa na foleni za hapa jijini,unakunywa bia halafu unakaa kwenye foleni masaa 3 unapofika nyumbani pombe yote imekata,hatimaye watu wakaona suluhu ni baa za karibu na nyumbani,hasara ni kuwa ukifika bia ya pili wife huyu kakufuata anataka urudi nyumbani au anaanzisha zali akikuta umekaa na barmaid,kuepusha shari watu wameamua kunywea majumbani mwao.Wana jamii mm ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lkn cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa, anzia bar kubwa kama rozi gaden, kona bar brek point, igo bar watu , uhuru peak bar masai clabu jakalanda pub, mk bar, kote huko watu hamna,na bar nyingine nyingi dar, swali je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi? Swali la pili ni watu wameamua kuokoka na kumedia mungu? Wana jamii naombeni tusaidiane maoni
Wana jamii mm ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lkn cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa, anzia bar kubwa kama rozi gaden, kona bar brek point, igo bar watu , uhuru peak bar masai clabu jakalanda pub, mk bar, kote huko watu hamna,na bar nyingine nyingi dar, swali je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi? Swali la pili ni watu wameamua kuokoka na kumedia mungu? Wana jamii naombeni tusaidiane maoni
Mmmh! watu wengi ni wagonjwa wa maradhi mbalimbali kuanzia malaria, pressure, figo, uhanithi, kisukari, HIV na ugumba. Hivyo, baadhi ya masharti wanayopewa na madaktari wao kutibu maradhi yao ni kuacha kunywa pombe, hence low attendance.
Dah mimi sijui nimekua? Nina mwezi sijagusa kinywaji na hata hapo awali ilikua nakunywa mwenyewe. Kwa sasa yani idea ya kwenda bar imentoka kabisaaaa! Imekua pointless kiaina. Sijui mamii kanipiga pingu kijanja. sababu ni job, gym, home. Fullu stopu! Weekend kucheki miradi na kutulia tu.
Wana jamii mm ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lkn cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa, anzia bar kubwa kama rozi gaden, kona bar brek point, igo bar watu , uhuru peak bar masai clabu jakalanda pub, mk bar, kote huko watu hamna,na bar nyingine nyingi dar, swali je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi? Swali la pili ni watu wameamua kuokoka na kumedia mungu? Wana jamii naombeni tusaidiane maoni
Wewe unakunwa bar kumbe siku hizi bar nayo inanyweka.Mmmh! watu wengi ni wagonjwa wa maradhi mbalimbali kuanzia malaria, pressure, figo, uhanithi, kisukari, HIV na ugumba. Hivyo, baadhi ya masharti wanayopewa na madaktari wao kutibu maradhi yao ni kuacha kunywa pombe, hence low attendance. Acha mwenyewe leo kunywa pombe kabla hujaambiwa na dk. wako uache kunywa pombe. Watu wamegeukia kunywa Tanga fresh na mlonge, na kula matunda tu.
Ninakuombea umrudie Mungu,maana mwisho wa yote utapotea milele.