Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Siyo tu upungufu wa wanywaji kwenye mabaa hata msongamano wa magari umepungua sana Jijini Dar es Salaam!

Maisha ya watanzania wengi yanafanana...! Wakiwa na pesa wote wanakuwa nazo...Wakiishiwa wote wanaishiwa...!
 
Wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama Rozlsi Garden,Corner bar, Break point, Igo bar watu , Uhuru Peak bar,Masai club, Jakalanda pub,.MK bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi Dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia Mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.

Mkuu,
Ile deal ya EPA iliwapitia watanzania wengi,hivyo watuwengi walipata mgao,ila hii ya ESCROW akaunti imegusa fammilia nne tu!

Lazima watu waache kwenda baa!
 
Mkuu iyo ni ppint kabisa bilion mia tatu kutoka kwenye mzunguko si jambo dogo tena nasikia zimepelekwa nje ya nchi
 
pamoja na hayo pia kuna mapinduzi yamefanyika. Siku hizi kuna vipub vidogo vizuri vimetapakaa vya kuacomodate watu kama ishirini full kiyoyozi na wahudumu wa ukweli so zile bar za zamani zinazokutanisha watu alfu moja utadhani mkutano wa kijiji lazima zijipange lasivyo zitabaki kufanya vikao vya harus. Kwanza hazina privacy.
 
Wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama Rozlsi Garden,Corner bar, Break point, Igo bar watu , Uhuru Peak bar,Masai club, Jakalanda pub,.MK bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi Dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia Mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.

Kama kilabaa ulizozitaja ukienda unakuta hamna watu basindioujue chapombe umebakiwewetu.
 
hata huko baa kunaweza kuwepo wacha Mungu wachache ambao ni wanywaji tu.

Unajifariji kwa mafundisho manyonge na ya uongo kutoka kwa viongozi wako wa dini ambao milango ya mbinguni kwao imefungwa ee?
 
pamoja na hayo pia kuna mapinduzi yamefanyika. Siku hizi kuna vipub vidogo vizuri vimetapakaa vya kuacomodate watu kama ishirini full kiyoyozi na wahudumu wa ukweli so zile bar za zamani zinazokutanisha watu alfu moja utadhani mkutano wa kijiji lazima zijipange lasivyo zitabaki kufanya vikao vya harus. Kwanza hazina privacy.
kweli kabisa, mibaa mikubwa sikuhizi naona ushamba. vipub ndo mpango kwanza hakuna kurusha chupa ovyo, watu mnakuwa wengi mnafahamiana hivyo story kunoga, unaweza omba nyimbo naa ukapigiwa. labda kama unatafuta malaya.
 
Kweli mkuu mambo digital
 
Back
Top Bottom