Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Wenzako wamestuka kuwa pombe na kulewa hakuna faida, ni hasara tu.
 
Tatizo pesa zote zimeibiwa na kina pinda na kundi lake
Na afadhali zile za Epa walipiga zikaingia kwenye mzunguko lakini hizi za Pinda na Werema wameenda kuzichimbia nje
Ndio maana unaona hata serekali haina pesa za kununua dawa,sasa kama dawa hamna nchi nzima hizo bia zinanyweka vipi?
Tusubiri subiri uchaguzi ukaribie waende kwenye machimbo yao walipoziifadhi hizo pesa walete mtaani kuhonga watu hapo utaona bar zote tanzania zinajaa na watu wanaongea siasa!!

Na hivi mmenyimwa msaada mtaminywaje manake parking system naiona mpaka huku tanesco mikocheni ni shida mpaka nyumbani watakuja.
 
Ila kuna ukweli coz kiwanja changu "masai ya kino karbia na uhuru peak" watu wamepungua. But kuna mademu wakareeee ndo maana huwa cpakoci

Nmekunywa sana hapo meridian.
 
Wana jamii mm ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lkn cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa, anzia bar kubwa kama rozi gaden, kona bar brek point, igo bar watu , uhuru peak bar masai clabu jakalanda pub, mk bar, kote huko watu hamna,na bar nyingine nyingi dar, swali je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi? Swali la pili ni watu wameamua kuokoka na kumedia mungu? Wana jamii naombeni tusaidiane maoni

kama hela ya bia unayo na bia zipo hata kukiwa na wahudumu na wewe peke yako we kunywa bia tu au unaenda baa kupiga umbeya??
 
Nmekunywa sana hapo meridian.

Mkuu hapo meridian pa ukweli sana ukizingatia huduma zao+mademu wakareee +wenye makalio km mchina yaani me na enjoy nkienda pale nasafisha na macho.
 
Mrudie Mungu kuna siku utaenda bar umkose hata wa kukuhudumia ukijashtuka watu wote wameshatwaliwa sijui itakuwaje ndugu. Fanya uamuzi leo..
 
kizazi cha sasa kinabadilika.zamani kuwa bar ilionekana mtu ana hela so ilikuwa ni sifa.siku hizi ni tofauti,watu wanapenda kukaa na familia zao zaidi.
n
pia hofu ya MUNGU imeingia kwa watu zaidi.
 
Dah mimi sijui nimekua? Nina mwezi sijagusa kinywaji na hata hapo awali ilikua nakunywa mwenyewe. Kwa sasa yani idea ya kwenda bar imentoka kabisaaaa! Imekua pointless kiaina. Sijui mamii kanipiga pingu kijanja. sababu ni job, gym, home. Fullu stopu! Weekend kucheki miradi na kutulia tu.
 
grocery na vipub vya mtaani ndo habari ya mjini cause kule ata ukikwama unapiga vyombo km kawaida, na ukipata mambo yanaenda tu, baa kubwa siku hizi shaba nnje,nnje!
 
Back
Top Bottom