mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Mmmh! watu wengi ni wagonjwa wa maradhi mbalimbali kuanzia malaria, pressure, figo, uhanithi, kisukari, HIV na ugumba. Hivyo, baadhi ya masharti wanayopewa na madaktari wao kutibu maradhi yao ni kuacha kunywa pombe, hence low attendance. Acha mwenyewe leo kunywa pombe kabla hujaambiwa na dk. wako uache kunywa pombe. Watu wamegeukia kunywa Tanga fresh na mlonge, na kula matunda tu.
Daaaaaaaaahhhh!!!
Wewe unahamasisha watu waache kunywa POMBE!!!!!!
SErikali inapata mapato makubwa sana katika vinywaji vikali na sigara. Siku hizi hakuna Kodi ya Maendeleo (Kodi ya kichwa)
Hivyo moja ya njia serikali inapata mapato ni kwa watu kunywa POMBE (Simaanishi pombe za kienyeji ingawa nazo ni muhimu kwani zimeongea ajira nchini)
Hivyo licha ya mapato yaserikali pia unywaji wa pombe umeongeza ajira kwani watu tumeajiriwa katika makampuni ya vinywaji vikali (Breweries), kuajiriwa katika maduka na bar zinazouzwa pombe.
Hivyo pombe ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa letu ikizingatiwa Tanzania bajeti yetu kwa asilimia kubwa ni kuongeza kodi katika vinywaji na Sigara kila mwaka.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!