Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Kwanini siku hizi Bar hazina watu?

Baa ni maskani ya ibilisi na washirika wake. Watu wapo kwenye nyumba za ibada
 
Wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama Rozlsi Garden,Corner bar, Break point, Igo bar watu , Uhuru Peak bar,Masai club, Jakalanda pub,.MK bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi Dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia Mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.

Unasena Baa hazina WATU?!
Kwani kuna VIUMBE gani siku hizi huko Baa?!
 
Sijakuelewa..

Mbona Gwajima anashinda kanisani lakini kavunja ndoa ya mtu na kuzini na Flora...

Ibilisi na washirika wake wapo kwenye fikira za mtu, na sio bar, unaweza ukawa kwenye nyumba ya ibada na bado ibilisi akacorrupt fikira zako, muhimu ni kutambua fikra za ibilis
 
wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama rozlsi garden,corner bar, break point, igo bar watu , uhuru peak bar,masai club, jakalanda pub,.mk bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.
SEMA WATU WANAOINGIA BAR NI WACHACHE SIO HAKUNA WATU. INAMAANA
kwahiyo wewe unaeingia huko bar ni nyani au?
 
wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama rozlsi garden,corner bar, break point, igo bar watu , uhuru peak bar,masai club, jakalanda pub,.mk bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.

kwa taarifa yako tembelea maeneo yenye baa za police kwa wingi huko bia ni tsh 1300/= kwahiyo bar za uswazi lazima zidode.
 
Nilienda Bar moja Njombe nilivyogombewa na wahudumu nilishangaa sana.
 
Mameneja wanatembea na wahudumu siku hizi waziwazi kwa hiyo tumeamua na sisi kunywea nyumbani. Ila cha kushukuru inapunguza gharama vibia iwili tu mtu unalala.
 
Ungeuliza kwa nini siku izi Bar za Arusha mjini hazina watu.

1. Sababu za kiusalama kua chini, kutokana na matukio yaliyofanyika hapo nyuma kidigi. Urushwaji wa mabomu ya mikono.
Watu wameogopa ba kuharibu kabisa soko la utalii ikiwa ni pamoja na Hizo Bar
 
Kutokana na uchumi chechefu, kunywa kumeonekana kuwa siyo matumizi ya lazima.
 
watu wamehamia kwenye zinaa ambayo ndo mbaya zaidi kuliko pombe ,ndio maana siku hizi full kujenga mahotel i.e manzese na ubungo.NA ZINAA INACHUKUA WOTE WALEVI WANADINI NA WASIOKUNYWA PIA.
 
Wanajamii mimi ni mnywaji mzuri sana wa bar tofauti tofauti, lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni nikienda bar watu wamepungua sana kwa kiasi kikubwa.

Anzia bar kubwa kama Rozlsi Garden,Corner bar, Break point, Igo bar watu , Uhuru Peak bar,Masai club, Jakalanda pub,.MK bar kote huko watu hamna na bar nyingine nyingi Dar.

Swali, je ni uchumi umeyumba au ni bar zimekuwa nyingi?

Swali la pili, ni watu wameamua kuokoka na kumrudia Mungu?

Wanajamii naombeni tusaidiane maoni.

hayo yote ni majib
 
Back
Top Bottom