twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,793
Ndio vijana wa ufipa hao. Kazi majungu tu na kupandikiza chuki.hii inahitaji elimu kidogo tu ya ufahamu
1-Tuna institution zinazojitosheleza na kamwe hazijasema zimeshindwa.
2-mtoa wazo hajaishia hapo kaenda mbele kwa kupendekeza *uingereza* sisi tunahoji kwanini uingereza??
3-Anapokuja kutajwa kwenye hili huoni tayar anaandaa mazingira ya kusema hana imani na uchunguzi wa vyombo vyetu??anatuandaa psychological mapema!