tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,677
- 19,206
Thubutu watu watapata vifafa kuwaleta hpa wakt wahusika ni watu wasiojulikana ila wamejulikana kma wasiojulikanaSitaweka maelezo mengi ila kwa nini tunajidharirisha kiasi hiki na kuendelea kuudhihirishia umma kuwa upande wetu unawezakuwa unahusika kwa namna moja au nyingine?
Kama kweli Chadema wanahusika kwa nini upande qetu ndio unaopata kigugumizi kuwaleta Wachunguzi huru kutoka nje? Kana kwamba hiyo haitoshi hadi Leo hakuna chochote kinachoitwa dalili za kuweza kuwabaini wahusika ili hali majeshi yote yako chini yetu!!!!
Katika hili bora tunyamanze kimya maana hakuna namna tunayoweza kukimbia tuhuma hizi maana sisi wenyewe tunaonesha kutokujiamini katika hili