JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Ndo maana nimekuambia as long as huna tatizo kwenye kuzitii sheria bila shuruti za hao majambazi hakuna tatizo. Endelea kuwa mwaminifu katika hilo.Definition ya Serikali ni group la watu waliochaguliwa na watu kwa ajili ya kutetea maslahi ya watu hao.(Government of the people, by the people, for the people)
Sasa hiki kikundi cha majambazi kinachoongoza watu hapa Tanzania kimekosa sifa zote kuu mbili:
1.Hiki kikundi cha ugaidi hakijatokana na watu.Hakina kibali cha wananchi.
2.Hakitetei maslahi ya wananchi.
Kwa sababu kikundi hiki cha ugaidi kimekosa sifa kuu mbili za kuitwa Serikali hakiwezi kuitwa ni Serikali.