Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Hebu tuwekeee evidence hapa tujadili vizuri. Hasa doc ya huo uraia wa Uingereza. Hili ni jukwaa makini, napenda hoja ziwe scientific kwa maana zenye evidence.
 
upi? basi hata salim kikeke itoe ufafanuzi,hata mie ambae nimezaa na mwingereza mtoto wa kiume analelewa uingereza na mama yake nayo itoe ufafanuzi?
Hebu fafanua vizuri, umezaa na mwingereza au umezalishwa na mwingereza, just get it clarified so that we can determine correctly what citizenship status of your kid would be.
 
Hebu tuwekeee evidence hapa tujadili vizuri. Hasa doc ya huo uraia wa Uingereza. Hili ni jukwaa makini, napenda hoja ziwe scientific kwa maana zenye evidence.
Kwa nini basi wewe usimuombe rafiki yako RA atuwekee documents zake hapa kuondoa huu utata juu yake. Najua mko beneti kwa hili pofu lote unalotoa kwa ajili yake
 
Wewe ndio umegusa panapohusika kabisa!
Ni kama vile walivyokuwa watu wa aiana yake akina Pablo Escobar, na Caros the, great Global Mafia gang members of all time. Walikuwa wanaishi na Passport za zaidi ya mataifa 20 duniani. Hili pekee la kuwa na possport zaidi ya 5 linamuweka huyu mwarabu koko kwenye same group. Ndo maana anachezea kwingine, but hawezi kanyaga USA kule wako makini na watu wa aian yake wanakuwa kwenye radar zao muda mrefu. Na kwa vile ana vinasaba vya Ayatollah, hawezi thubutu wala kukubaliwa kupata passport yao
 
Fisadi zaidi ya Lugumi
Lugumi siyo fisadi bali ni ntu ya fursa. Anatumia fursa kula na wakubwa. Sema hana adabu kujionesha nadhani watakuja kumu eliminate tu sababu ana wa expose wakubwa
 
Pia Uraia wake Lugumi unatiliwa mashaka, pamoja na kuwa syphon ya kufyonzea Hazina yetu kwa ajili ya wakubwa.
 
Inawezekana aisee ni Mnyarwanda/Mtusi? Au? Kweli unajua yule jamaa nikimuangalia matendo yake siyo ya Kitanzania na hata huo Uislam wake ni kama hafananii kabisa. Ila anawadhalilisha sana wakubwa.
 
Hebu fafanua vizuri, umezaa na mwingereza au umezalishwa na mwingereza, just get it clarified so that we can determine correctly what citizenship status of your kid would be.
Tumezaa na mwanamke mwingereza na mtoto ni kijana na kwa sasa anaishi chicago akifanya kazi
 
Kweli sisi tunalipwa kwasababu chama kina fweza na kinatambua mchango wetu. Poleni nyie huko ambao hamlipwi pamoja na kuwa na tone tone! Ahahahahaha!!!!
Unalipwa kwa uchawa kwa hao unaotetea siyo Chama, wewe ni chawa kwenye mwili wa individual anayekubebeba, kama chawa wabebwavyo, hapo kuna Symbiotic relationship, in biological term.
 
Inawezekana aisee ni Mnyarwanda/Mtusi? Au? Kweli unajua yule jamaa nikimuangalia matendo yake siyo ya Kitanzania na hata huo Uislam wake ni kama hafananii kabisa. Ila anawadhalilisha sana wakubwa.
Sijui lakini mimi namjua sana mpaka alipozaliwa huko magu mkoani mwanza na tuna urafiki nae ambao ulianza miaka mingi wakati bado ni mesenja kwa amran batenga
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Weka picha ya Passport hapa acha hadithi
 
Sijui lakini mimi namjua sana mpaka alipozaliwa huko magu mkoani mwanza na tuna urafiki nae ambao ulianza miaka mingi wakati bado ni mesenja kwa amran batenga
Oh sawa. Ila sema jamaa akili zake hazipo sawa, kitu hichi cha kujionesha kimewaharibia sana akina Kikwete na na kundi lake na kuishia kuona wanamtuma kuiibia serikali.
 
Back
Top Bottom