Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Kwa sheria ya uraia ya Tanzania haijalishi uraia wake wa kwanza wa nchi gani.
Kama alianza kuwa muingereza akaja kuomba utanzania alitakiwa aukane uraia wa Uingereza kwanza.
Kama alianza kuwa raia wa Tanzania akaomba wa Uingereza hapo moja kwa moja sheria y Tanzania ameshakana uraia wake wa Tanzania.
Tanzania haina uraia pacha wa Aina yeyote Ile.

Siyo kweli kabisa kwamba Tanzania haina kabisa Uraia Pacha wa aina yoyote ile, huu ni uwongo mkubwa Sana.

Ukweli ni kwamba, Wapo waTanzania wengi Sana ambao Kwa mujjbu wa Sheria za Tanzania, hususani Sheria ya Uraia, wana Uraia Pacha (Dual citizenship). Hawa waTanzania wenye Uraia Pacha ni Watoto wote kabisa ambao wamezaliwa Tanzania lakini mzazi mmojawapo siyo Raia wa Tanzania, au watoto wenye umri chini ya Miaka 18 Waliozaliwa nje ya Mipaka ya Nchi ya Tanzania ambapo Mzazi Mmojawapo wa Watoto hao ni Raia wa Tanzania. Watoto wenye sifa hizi automatically wanahesabika kuwa Wana Uraia pacha kwa Sheria za hapa Tanzania, na wanaruhusiwa kabisa na Sheria za Tanzania pamoja na Sheria za Kimataifa kujitambulisha kuwa Wana Uraia wa Nchi Mbili tofaufi, hadi wanapofikia umri wa miaka 18 ndipo Sheria hizo zinaweza kuwabaka katika kujitambulisha kuwa Wana Dual citizenship. Mimi binafsi Ninayo mifano hai kabisa kuhusiana na suala hili.
 
wabongo bana, munatakiwa muwe munatofautisha resident permit na uraia
Huenda wewe ndiye ambaye unajichanganya kuhusiana na masuala haya ya Resident Permit na Uraia. Suala hili la International Migration ni Mada Pana Sana, kuna mambo mengi Sana ambayo yapo humo.
Mathalani:-
1. Kuna Resident Permit, Temporary Resident Permit and Permanent Resident Permit, hivi ni vitu tofaufi.
2. Resident Permit and Citizenship.
3. Visa And Denied Entry, n.k n.k.
 
Nchii watu hukurupuka tu kusema mambo.
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Rostan hana time na mitandao ya kijamii. Yeye mitandao yake ni kutengeneza utajiri.
Wewe unaekereketwa na uraia wake ndio poteza muda wako utafute ushahidi.
 
Siyo kweli kabisa kwamba Tanzania haina kabisa Uraia Pacha wa aina yoyote ile, huu ni uwongo mkubwa Sana.

Ukweli ni kwamba, Wapo waTanzania wengi Sana ambao Kwa mujjbu wa Sheria za Tanzania, hususani Sheria ya Uraia, wana Uraia Pacha (Dual citizenship). Hawa waTanzania wenye Uraia Pacha ni Watoto wote kabisa ambao wamezaliwa Tanzania lakini mzazi mmojawapo siyo Raia wa Tanzania, au watoto wenye umri chini ya Miaka 18 Waliozaliwa nje ya Mipaka ya Nchi ya Tanzania ambapo Mzazi Mmojawapo wa Watoto hao ni Raia wa Tanzania. Watoto wenye sifa hizi automatically wanahesabika kuwa Wana Uraia pacha kwa Sheria za hapa Tanzania, na wanaruhusiwa kabisa na Sheria za Tanzania pamoja na Sheria za Kimataifa kujitambulisha kuwa Wana Uraia wa Nchi Mbili tofaufi, hadi wanapofikia umri wa miaka 18 ndipo Sheria hizo zinaweza kuwabaka katika kujitambulisha kuwa Wana Dual citizenship. Mimi binafsi Ninayo mifano hai kabisa kuhusiana na suala hili.
Upo sahihi.
Kwa muktadha wa habari ya Rostam Azizi haiwezekani uraia wa hivi sababu amevuka miaka 18.
 
Siyo kweli kabisa kwamba Tanzania haina kabisa Uraia Pacha wa aina yoyote ile, huu ni uwongo mkubwa Sana.

Ukweli ni kwamba, Wapo waTanzania wengi Sana ambao Kwa mujjbu wa Sheria za Tanzania, hususani Sheria ya Uraia, wana Uraia Pacha (Dual citizenship). Hawa waTanzania wenye Uraia Pacha ni Watoto wote kabisa ambao wamezaliwa Tanzania lakini mzazi mmojawapo siyo Raia wa Tanzania, au watoto wenye umri chini ya Miaka 18 Waliozaliwa nje ya Mipaka ya Nchi ya Tanzania ambapo Mzazi Mmojawapo wa Watoto hao ni Raia wa Tanzania. Watoto wenye sifa hizi automatically wanahesabika kuwa Wana Uraia pacha kwa Sheria za hapa Tanzania, na wanaruhusiwa kabisa na Sheria za Tanzania pamoja na Sheria za Kimataifa kujitambulisha kuwa Wana Uraia wa Nchi Mbili tofaufi, hadi wanapofikia umri wa miaka 18 ndipo Sheria hizo zinaweza kuwabaka katika kujitambulisha kuwa Wana Dual citizenship. Mimi binafsi Ninayo mifano hai kabisa kuhusiana na suala hili.
Kwahiyo Rostam mzazi wake mmoja sio Mtanzania?
 
Rostan hana time na mitandao ya kijamii. Yeye mitandao yake ni kutengeneza utajiri.
Wewe unaekereketwa na uraia wake ndio poteza muda wako utafute ushahidi.
Kama hivyo alimsikiaje Polepole?
Sababu jamaa hutoa maoni yake kupitia mitandao ya kijamii.
Sijui ulitumia uwezo wako wa kufikiria angalau 30% kabla hujaandika hivi?
 
Tafuta ushahidi usilete longo longo hapa
 
Ushahidi wa Rostam kufuatilia mambo ya kwenye mitandao ya kijamii nimeshakupa. Au akeshakupa Rostam mwenyewe kwa kitendo Cha kujibu au kuchangia hoja ya mtu aliye toa hoja mitandaoni.
Unataka ushahidi gani tena?
 
Back
Top Bottom