Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Kinakuwa evoked ukikaa nje zaidi ya miaka miwili...
Inategemea nchi na nchi.
Kuna baadhi ya nchi fulani fulani Raia wa kigeni ukishapata Permanent Resident (PR) Permit, hata ukae nje ya nchi hiyo kwa kipindi kirefu Cha miaka kumi au zaidi, bado hadhi yako ya Ukaazi wa Kudumu haiwezi kufutwa Wala kutenguliwa. Katiba na Sheria zao kwenye nchi hizo, wanamhesabia Mtu/Raia wa Kigeni aliyepata hadhi na Kibali Cha Ukaazi wa Kudumu kama Mtu ambaye Ametimiza Vigezo vyote vya kuwa Raia Halali wa nchi hizo kwa takribani Asilimia Sabini na Tano (75%), anakuwa amebakiza 25% tu ili Awe Raia Kamili katika Nchi hiyo aliyopata PR Permit. Mara nyingi sana hali hii hutokea kwa Raia wa Kigeni ambao wanamiliki Mali Zisizohamishika kwenye hiyo Nchi ambayo amepata Kibali Cha Ukaazi wa Kudumu. Nina mifano hai kabisa ya Watu wangu wa karibu wenye scenario kama hii ambao nawafahamu.
 
Nani atakuamini kwa porojo hizo?
Ni juu yako kuamini au kutoamini,mimi nimezaliwa bukene bapo ndio ilikuwa makao makuu ya wabulushi,baba yangu allikuwa mtumishi wa serikali ya uingereza na ndipo alipokutana na mbantu nikazaliwa mimi,baba yangu alikuwa na urafiki na wabulushi wengi na ndipo akajenga urafiki na baba yake rostam ambae alikuwa na duka huko mwisi,jirani na hospitali ya nkinga na kila mara tunapoenda nkinga maana ndio hospitali kubwa kwa mkoa mzima wa tabora nyakato hizo,ilikuwa ni lazima tuende mwisi kwa baba yake rostam na ndipo tulipofahamiana na rostam tukicheza pamoja,sihitaji mtu yoyote aniamini lakini wanaomjua rostam wanajua nisemayo
 
Wadanganye Wajinga wenzio
 
Labda ana indefinitely leave to remain au Permanent residency kama inavyojulikana huku.
Anaweza akawa na Tz passport na kuwa na sheria ya kuishi bila kuwa na British passport
Ila hilo ni uhamiaji ndio wanajua zaidi.
Sisi tutakuwa wapiga ramli tu
Huyo jambazi Rostam azizi yupo juu ya sheria zote na haki zote .....
 
Akanushe nini? Kwamba umesema ana Uraia wa UK bila ushahidi wowote?

Haya sasa na wewe njoo ukanukushe kuwa mimi sio babaako niliyempa mimba mamaako tukiwa field mwaka wa pili chuoni!!!!!
Ukishakuwa kapuku unajikuta unashabikia hata usiyoyajua ili tu ulipwe!

Poor you!
 
Ni juu yako kuamini au kutoamini,mimi nimezaliwa bukene bapo ndio ilikuwa makao makuu ya wabulushi,baba yangu allikuwa mtumishi wa serikali ya uingereza na ndipo alipokutana na mbantu nikazaliwa mimi,baba yangu alikuwa na urafiki na wabulushi wengi na ndipo akajenga urafiki na baba yake rostam ambae alikuwa na duka huko mwisi,jirani na hospitali ya nkinga na kila mara tunapoenda nkinga maana ndio hospitali kubwa kwa mkoa mzima wa tabora nyakato hizo,ilikuwa ni lazima tuende mwisi kwa baba yake rostam na ndipo tulipofahamiana na rostam tukicheza pamoja,sihitaji mtu yoyote aniamini lakini wanaomjua rostam wanajua nisemayo
Ponjoro ndio nyie sasa
 
uraia wake wa kwanza ni wa nchi gani?
Kwa sheria ya uraia ya Tanzania haijalishi uraia wake wa kwanza wa nchi gani.
Kama alianza kuwa muingereza akaja kuomba utanzania alitakiwa aukane uraia wa Uingereza kwanza.
Kama alianza kuwa raia wa Tanzania akaomba wa Uingereza hapo moja kwa moja sheria y Tanzania ameshakana uraia wake wa Tanzania.
Tanzania haina uraia pacha wa Aina yeyote Ile.
Rostam kayachokoza mwenyewe hakujua haya mambo ya Polepole awamu hii ni maji ya kina kirefu.
Never underestimate your enemy.
Alichukulia mazoea hakujuiuliza kwanini Polepole anasema anawataka wakubwa wenyewe wajitokeze kumjibu siyo kutuma wadogowadpgo?!
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.

Huyo si ni mwana CCM mwenzetu!
 
Sawa mkuu,
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ikitokea kuwa haya ni kwel, basi yeye si raia wa Tanzania. Tufanye utafiti na uchokonozi zaidi ili tuwe na hakika.
 
Back
Top Bottom