Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ni muhuni wa kutupwaa huyu
 
Watanzania wanafiki sana! We hizi habari umejua lini mbona ulikuwa kimya? Kwann useme sasa baada ya kukorofishana na HP? Kwahiyo mnajuana maujinga na madhambi yenu ila mnakaa kimya hadi mgombane sio?
Wewe utakuwa mgeni wa Rostam ila baada ya huyu mwingine alikuwa Yusuf Manji mafisadi wa kubwa na wametafuna nchi na huyu anaendelea
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Wana mtandao ni pamoja na yeye
 
Labda ana indefinitely leave to remain au Permanent residency kama inavyojulikana huku.
Anaweza akawa na Tz passport na kuwa na sheria ya kuishi bila kuwa na British passport
Ila hilo ni uhamiaji ndio wanajua zaidi.
Sisi tutakuwa wapiga ramli tu
 
hivi ni kweli vyombo vya usalama hawajui hilo?
kuna muda nafikiri ndiyo maana nchi zingine zinakuwa na waasi
kisa?
ujinga tu kama huu
 
RA ndio kampa TL kesi ili anyongwe?Yaani RA yupo uraia na mzalendo namba Moja,TL,yupo gerezani?
 
uraia wake wa kwanza ni wa nchi gani?
Rostam ni cIA agent wa siku nyingi. Hawa wajinga wakina Kikwete na Samia wake Rostam anawatumia tu kuiba mali za nchi kutokana na ujinga wao!
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
huyo jamaa na akili sana, acha atunyooshe tu, usikute hata iyo Chadema pia mfadhili wao mkubwa wa hela
 
Moja kati ya mafisadi papa yaliyotajwa na mzee mengi amebakia yeye na yule jamaa wa msoga ili tu install file jipya.
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Wewe ni hatari!
 
Usiumize kichwa kutafuta jibu la swali lako. Baada ya miaka 2 baada ya Uchaguzi Mkuu, huyo ataondoka nchini si kwa kupenda
 
Back
Top Bottom