Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Hivi ufanye kazi vizuri na INTERPO inabidi uweje eti?
 
Watanzania wanafiki sana! We hizi habari umejua lini mbona ulikuwa kimya? Kwann useme sasa baada ya kukorofishana na HP? Kwahiyo mnajuana maujinga na madhambi yenu ila mnakaa kimya hadi mgombane sio?
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Nadhani Jibu lake liko wazi, ana Uraia wa UK kwa sababu siyo raia wa Tanzania.
 
Na pia ana uraia wa Iran kwa kuzaliwa.
Hii nchi imaharibiwa na kuwa na Viongozi walafi wa mali na madaraka, ambao wako tayari kuuza hata nchi kwa wageni ili mradi wanapata fedha kwao na kuwawezesha kuingia madarakani kwa kutumia fedha zao chafu.
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Ni kwa7bu mahakama na majaji wa Tanganyika ni wa kufuata malekezo kutoka kwa wakubwa tu na siyo kufuata sheria.
 
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha?

Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK

Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati uo uo ni raia wa TANZANIA?

Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
Huyu Rostam Aziz (Iran) natakiwa asagiwe sumu ujambazi wake pamoja na masaiba wake wanapora rasilimali za nchi baada ya kufanya 'state capture'. Diaspora wanazungushwa kupewa uraia pacha lakini yeye anao halafu anajidai eti yeye ni ccm damu damu na HP ni mvamizi!!!

Huyu akilengeshwa kwa wazayuni ataingia shimoni haraka akitumiwa demu tu na mchongo wa mkataba wa kuingiza mabiliani anaingia kingi haraka sana.
 
Back
Top Bottom