Kipindi kile General PK alipomwambia JK kwamba anaijua vuziri TZ na hata rangi za mashuka ya Ikulu anazijua, ulifikiri hiyo kejeli ilitokea hewani tu, he meant it na viongozi wetu wapo tu kufurahia connection na mafisadi kumbe they are being exposed to even potential enemies like Gen PK , ambaye already pia amepenetrate system zetu kwa kutumia Twiga wake ambao viongozi na wakubwa wengi wamenaswa nao. Lugumi could be one the facilitating agents, na hili hata current CDF aliwahi kumuonya bibie kuwa watu wa nje wamepentrate system zetu, he was right.