Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,849
- 10,966
Ndio CCM ilivyo niguze ninukeWatanzania wanafiki sana! We hizi habari umejua lini mbona ulikuwa kimya? Kwann useme sasa baada ya kukorofishana na HP? Kwahiyo mnajuana maujinga na madhambi yenu ila mnakaa kimya hadi mgombane sio?