Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,893
Usitufokee wengine tunaumwa kifafa kitatibukaNinyi Wote ni Wambea na mm nimo
Nan alimtuma asikilize?
Nan alimtuma amseme boss?
Nan alimtuma apeleke Vn?
Nan alimtuma mleta mada atuambie?
Nan alikutuma uangalie hii thread?
Ni Umbea😎 (alf msinishambulie)
😅😅Usitufokee wengine tunaumwa kifafa kitatibuka
Wapelekwe kwa Mwamposa😅Usitufokee wengine tunaumwa kifafa kitatibuka
Labda kwa tibjoshuaWapelekwe kwa Mwamposa😅
Ze marehemuLabda kwa tibjoshua
Ahahha we jau 😂😂🤣🙌Ze marehemu
Hamna 😎Ahahha we jau 😂😂🤣🙌
Nikiwatunishia hogo langu watalegeza misimamo na kunisihi niwasimikie dushe langu kwa nyuma.Urijali unaishia kwenye mbunye, ukija huku nje unakutana na virungu vya ugoko mpaka segerea.
Nani kamjaza?Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Inside10Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti.
Asante mkuu
KaribuAsante mkuu
Ni KARMA.Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti.
Acheni uzushi,ummy ana kitumboNi KARMA.
ALIKUWA ANAMFITINI SANA MAJALIWA IKAFIKA WAKATI MAMA AKATAKA KUMLA KICHWA MAJALIWA.
MWISHO WAKE YEYE KALIWA.
Mbona alivomteua hukuuliza??Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.
Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!
Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Hana kitumbo, alitumbuliwa kama wengine wanavyotumbuliwa na bungeni na kwenye shughuli za siasa aliendelea kama kawaidaAcheni uzushi,ummy ana kitumbo
So miaka 51 hushiki mimba?..naomi campbell ana miaka mingapi na anabeba mimba!?Hana kitumbo, alitumbuliwa kama wengine wanavyotumbuliwa na bungeni na kwenye shughuli za siasa aliendelea kama kawaida
Ummy ana miaka 51, usifikiri ni below 40 au early 40