Kauli yoyote Ile inaweza kutafsiriwa vibaya. Mfano kauli Kama hiyo ya kutobeba Mabango mtu yeyote mwenye akili timamu anakuwa ameelewa maana yake maana rais alisema bango litaondoka na mteule wake maana yake wananchi wasikilizwe na kutatuliwa Kero zao na viongozi wa chini.Rais inabidi awe muangalifu sana katika kauli zake ili zisitafsiriwe vibaya.
Mathalani, kauli hii inaweza kutafsiriwa kama anaminya uhuru wa wananchi kujieleza.
Ingefaa kama angefafanua kuwa wananchi wana haki ya kikatiba kueleza matatizo yao kwenye mabango, ila, anachotaka ni kuona watendaji wanatatua matatizo kabla hayajafika kwenye mabango.
Hii nchi ngumu sana.Rais inabidi awe muangalifu sana katika kauli zake ili zisitafsiriwe vibaya.
Mathalani, kauli hii inaweza kutafsiriwa kama anaminya uhuru wa wananchi kujieleza.
Ingefaa kama angefafanua kuwa wananchi wana haki ya kikatiba kueleza matatizo yao kwenye mabango, ila, anachotaka ni kuona watendaji wanatatua matatizo kabla hayajafika kwenye mabango.
Bango litaondoka na mteule wa rais hata kama mbeba bango ana kisasi binafsi na mteule ambacho hakihusiani na utendaji wa mteule?Kauli yoyote Ile inaweza kutafsiriwa vibaya. Mfano kauli Kama hiyo ya kutobeba Mabango mtu yeyote mwenye akili timamu anakuwa ameolewa maana yake maana rais alisema bango litaondoka na mteule wake maana yake wananchi wasikilizwe na kutatuliwa Kero zao na viongozi wa chini.
Kuna watu hubeba bango wakitaka rais awasaidie kumuondoa mtendaji wao wa kijiji.
Naomba tuweke thread moja kubwa ya kurekodi kwa video maneno yote ya rais.Hii nchi ngumu sana.
mbona rais kayaeleza hayo kwa kirefu sana kwenye hutba yake ile ya kua kwann hataki kuona mabango,
Hii nchi kubwa sana kuna maeneo rais hawez kufika so hao nao watatatuliwa lini kero zao na kuna mkuu wa wilaya huko,mkurugenz,mtendaji kata na wote wanalipwa mishahara kwa kodi zetu.
Ukituongoza wabongo fanya uwezalo t hatuna jema sisi.
Ukitaka yote hayo uwekwe wazi basi jua Rai's anaweza maliza masaa sita akifafanua Jambo mojaBango litaondoka na mteule wa rais hata kama mbeba bango ana kisasi binafsi na mteule ambacho hakihusiani na utendaji wa mteule?
Hujajibu nililouliza na ulilojibu sijauliza.Ukitaka yote hayo uwekwe wazi basi jua Rai's anaweza maliza masaa sita akifafanua Jambo moja
True.You picked on her out of context.
Sasa hawa wanaoanzisha thread misleading ni kwa ajili ya tongotongo za kawaida za wabongo wasiojua kusoma na kusikiliza au wapo katika kazi maalum?
Naona pattern, siku hizi kabla ya kujadili ripoti za alichosema rais, inafaa kuuuliza video au audio. Mara ya pili wiki hii naona habari ya rais inapotoshwa.
naongezea alaisem mabango yawe kwa hishu za kitaifa tu sio kero.kero inaenda na mtuMimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Mimi ninachoona hapo ni wananchi kuminywa Uhuru wa kutoa kero zao, viongozi wengi ngazi ya mkoa au wilaya hawana kawaida ya kwenda vijijini kusikiliza kero za watu wao, kwa hiyo Kama amezuia mabango inamaanisha viongozi hawa watafanya juu chini Rais asione mabango ya wananchi.Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Sawa.., hatuwezi kukuzuia kuona. Hayo ni maono yakoMimi ninachoona hapo ni wananchi kuminywa Uhuru wa kutoa kero zao, viongozi wengi ngazi ya mkoa au wilaya hawana kawaida ya kwenda vijijini kusikiliza kero za watu wao, kwa hiyo Kama amezuia mabango inamaanisha viongozi hawa watafanya juu chini Rais asione mabango ya wananchi.
Rais asingetoa tamko la kuzuia mabango ili ajue Kama kero za wananchi zinasikilizwa au hazisikilizwi.
Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Sahihi kabisa. Ukiangalia uongozi wa awamu ya tano hata kama hakukuwa na bango mkuu alikuwa bado anauliza kuna kero gani hapa na kwa kweli kero hazikosekani kwa hiyo alitumia mabango au kero kwa kuzitatua papo kwa papo akiamini kuwa ndicho kwake kilikuwa kipimo cha uwajibikaji kwa wananchi sasa mama si mtu wa hulka hiyo yeye huenda na mfumo wake ndiyo maana ameona ili thamani ya uteuzi wa wawakilishi wake kwa wananchi ni pamoja na kutatua kero zao lakini sina shaka bado mabango tutayaona tu pamoja na angalizo alilolitoa... Rais alituma ujumbe kwa wateule wake kwamba wananchi wakibeba mabango maana yake wateule/mteule anayehusika ameshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuwaondolea wananchi kero zao hadi kufikia hatua ya kubeba mabango!
Hivyo hataki kuyaona means wateule wakatekeleze ipasavyo majukumu yao kero za wananchi ziishe mabango yasionekane! Hakumaanisha kwamba amezuia mabango au demokrasia kama unavyotaka kupotosha. Umeelewa?
Hivi unaijua Tanzania hii? MA DC, Wakurugenzi na viongozi wengi ni Miungu watu, hawatatui mambo ya watu. Mnamkumbuka Yule DC kule Sumbawanga alishindwa maliza tu mgogoro wa mtu kuibiwa Ng'ombe. Mabango ni sehemu ya Wananchi kufikisha ujumbe kwa Mkuu wa Nchi.Alichoongea ni sahihi katika jamii zetu ambapo shida zinatokea kuna wasaidizi kama watendaji mitaa/vijiji, wa kata, mkurugenzi, mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa watu lazima wakae na watu wao kusikiliza na kutatua kero za wananchi sio mpaka Raisi aje hii nchi ni kubwa sana kusema MH. Raisi ataenda kusikiliza shida kote ni kazi ndio maana anateuwa wasadizi ambao ni wakurugenzi, wakuu wa Wilaya, makatibu tawala, wakuu wa mikoa na wengine hao kazi ni kusimamia na kutekeleza sera za maendeleo na kusikiliza shida za wananchi na kwenye yale mabango kuna kero na shida za wananchi sasa hao wateule wanafanya nini, huyo wa Mwanza hayo mabango anayotaka wananchi waje nayo hayana pongezi yana masikitiko kwanini asiwatembelee wananchi akatatue shida zao.
Wewe kama kiongozi utapata feedback wapi kama watendaji watendaji hawafanyi vyema? Mimi ofisini kwangu nikifanya kazi lazima mteja atoe feedback na ana wa copy wakubwa wote. Kiukweli imesaidia kuinua utendajiHii nchi ngumu sana.
mbona rais kayaeleza hayo kwa kirefu sana kwenye hutba yake ile ya kua kwann hataki kuona mabango,
Hii nchi kubwa sana kuna maeneo rais hawez kufika so hao nao watatatuliwa lini kero zao na kuna mkuu wa wilaya huko,mkurugenz,mtendaji kata na wote wanalipwa mishahara kwa kodi zetu.
Ukituongoza wabongo fanya uwezalo t hatuna jema sisi.
Hata mimi nilimwelewa hivyo.Mimi nilimsikiliza na nikamuelewa. Alisema hataki kuona mabango akifanya ziara wilayani au mikoani kwa sababu kero za wananchi wa mkoa au wilaya husika zinatakiwa zishugulikiwe na wanaosimamia jukumu hilo kwa niyaba yake ambao ni Mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa.
Hivyo aliyasema hayo ili kuwahamasisha watendaji husika kusimamia ktk kutatua kero za wananchi, kwani kuibuka kwa mabango ya kero za wananchi kunaashiria wahusika hawajitumi ipasavyo ktk kusimamia lero zao.
Mkuu tunazungumzia li nchi hili la tanzania sio office hii mkuu hii nchi kubwa mno,,Wewe kama kiongozi utapata feedback wapi kama watendaji watendaji hawafanyi vyema? Mimi ofisini kwangu nikifanya kazi lazima mteja atoe feedback na ana wa copy wakubwa wote. Kiukweli imesaidia kuinua utendaji