Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

Mbona hujiulizi wa Kikwete unaofunga barabara ni wa nini?!

Kikwete ni kiongozi wa dini gani hapa tanzania? Nimeuliza ulinzi wa viongozi wa dini kina papa,mwingira na wengine, ukienda huko uarabuni, komein wa iran anatembea na ulinzi mkubwa sana,kiongozzi wa washia vile vile, wa wasuni na wenngine kina al bagdad wa isis wanalindwa kwa ulinzi mkali sana.
Je kama wao ni viongozi wa dini ulinzi wa kazi gani? Tena kwenye maeneo yao ya kujidai, kwenye wafuasi wengi wa dini zao.
 
Haya mambo ya mungu nadhani hayako sawa sawa. Mfano eti huko meka kila mwaka mahujaji wanakufa kwa kukanyagana kama wanyama kwa kumrushia shetani mawe, kwani shetani anaishi meka? Sasa wakishamrushia mawe anawakimbiza wanakanyagana wanakufa u inakuaje,kwa nini kila mwaka wanamrushia mawe,je hajafa kwa kipiggo cha mawe miaka yote hiyo wanayompiga mawe?

Haha mkuu unanifanya kidogo nicheke lakini imeandikwa katika biblia kuwa Maarifa ya Mungu ni kama upumbavu kwa mwanadamu and vice versa is true hivyo ni kwa neema tu twaweza kugundua jinsi Mungu alivyo na si kwa akili zetu
 
Huyo ni kiongozi wa kidini na kiserikali. Ana kofia 2 so ulinzi x 2

Ila alinishangaza sana aliposema eti anaedit amri 10 za Mungu.

Alafu ni free manson mkubwa thats why kapewa nafasi ya kuhutubia congress kama cleric kwa mara ya kwanza Amerika.

Why mkutano wake aufanye tarehe ya ki-free mason 23/9? Ukiwa na uwezo mzuri wa kufikiri hutapata wsws he is a genuine Fm

Binafsi siamini hizo nadharia za free manson sijui iluminat na nyingine zote.
 
Unajua tena kanisa katoliki na freemasoni ni kama mafuta na maji kuna chuki kubwa sana kati yao so ulinzi ni muhimu wasije wakamuua free masoni wanaelewana na makanisa yote lakini sio kanisa katoliki ilianza enzi hizo mpaka leo uhasama huo unaendelea kila MTU anasheria yake inayomuongoza inasemekana wakatoliki wanajiendesha wenyewe tofauti na makanisa mengine ambayo yamejiunga au wana uhusiano wa moja kwa moja na freemasoni
 
Haya mambo ya mungu nadhani hayako sawa sawa. Mfano eti huko meka kila mwaka mahujaji wanakufa kwa kukanyagana kama wanyama kwa kumrushia shetani mawe, kwani shetani anaishi meka? Sasa wakishamrushia mawe anawakimbiza wanakanyagana wanakufa u inakuaje,kwa nini kila mwaka wanamrushia mawe,je hajafa kwa kipiggo cha mawe miaka yote hiyo wanayompiga mawe?

Ni hekima na busara kunyamaza kama hukielewi kitu. Naomba nikuulize na usitoke povu, je tunapoadhimisha siku ya kuzaliwa kwa sherehe huwa tunarudi katika hali ya uchanga?
 
I always feel proud to be nearby these clergies. Yaani ni raha sana. Long live Pope Fransis.

Ulinzi c lazima uwe na maadui, ni protocal tu. Kisheroa Vatcan haina jeshi, so nchi yoyote aendayo Pope inalo jukumu la kumlinda. Hata alipoenda Syria na kutembelea maeneo hatari tena akikataa kuvaa bullet proof, Assad alilazimika kutoa ulinzi. C kila mahali anazungukwa na Swiss guards.
 
My friend kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya Vatican utakuwa umesha-raise eyebrows mara nyingi. Hata hilo ulilo liona ni jambo linaloshangaza kidogo.Ni kwamba Papa ni zaidi ya mkuu wa nchi na mkuu wa kanisa la Roma kama wengi tunavyomjua.Kumbuka kwamba Vatican haina ukubwa wa zaidi ya sq.km.1,na haina zaidi ya watu 1,000.Sasa itakuwaje nchi mpaka kufikia kiwango cha kuwa na balozi katika karibu kila nchi dunia?Cha kushangaza ni kwamba wakuu nchi na wafalme duniani wanamsujudia.Upo ushahidi tayari kutoka kwenye vikao vyao vya siri kwamba hili linafanyika.Obviously there is something wrong.Sasa nadhani kwa usalama wangu niishie hapo,mengine utatafuta mwenyewe if you are interested.
Nimekua nikijiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa kanisa katoliki na viongozi wengine wa kidini wana ulinzi mkubwa sana.

Kwa mfano, ulinzi wake nchini marekani ambapo yupo kwa sasa unademekana ndio ulinzi mkubwa kuwahi kutokea katika nchi hiyo toka imeumbwa,walinzi binafsi,swiss guards, secret service,fsderal guards,na walinzi wengine wa majimbo,walenga shabaha,wategua mabomu,mbwa wa kutegua mambomu na mambo mengine.

Sasa najiulza kwa nini kiongozi wa kidini anakua na ulinzi mkubwa hivyo, je ana maadui wengi au nini? Na kama ni maadui wengi wanatoka dini gani kwa maana nchi nyingi anazotembelea kama marekani wengi ni wakristo wenzake.

Je viongozi wa dini kwa nini wanakua na ulinzi mkubwa hivyo, hapa tanzania kuna kina gwajima,mwingira,geo davie na wengine ambao wanatembea na security team kubwa sana. Je mungu kashindwa kutoa ulinzi au ni nini?

http://www.washingtonpost.com/politics/popes-visit-will-produce-largest-security-operation-in-us-history/2015/09/18/642ca250-5d47-11e5-b38e-06883aacba64_story.html
 
Ni hekima na busara kunyamaza kama hukielewi kitu. Naomba nikuulize na usitoke povu, je tunapoadhimisha siku ya kuzaliwa kwa sherehe huwa tunarudi katika hali ya uchanga?

Nitoe povu kwani nimekua sabuni?

Huwa sisherehekei siku ya kuzaliwa jwa hiyo swali lako kwangu halina maana.

Pili swali lako halijajibu swali langu, ulinzi wa viongozi wa dini wa nini?
 
I always feel proud to be nearby these clergies. Yaani ni raha sana. Long live Pope Fransis.

Ulinzi c lazima uwe na maadui, ni protocal tu. Kisheroa Vatcan haina jeshi, so nchi yoyote aendayo Pope inalo jukumu la kumlinda. Hata alipoenda Syria na kutembelea maeneo hatari tena akikataa kuvaa bullet proof, Assad alilazimika kutoa ulinzi. C kila mahali anazungukwa na Swiss guards.

Papa alienda lini syria? Alutembelea maeneo gani?
 
Nimekua nikijiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa kanisa katoliki na viongozi wengine wa kidini wana ulinzi mkubwa sana.

Kwa mfano, ulinzi wake nchini marekani ambapo yupo kwa sasa unademekana ndio ulinzi mkubwa kuwahi kutokea katika nchi hiyo toka imeumbwa,walinzi binafsi,swiss guards, secret service,fsderal guards,na walinzi wengine wa majimbo,walenga shabaha,wategua mabomu,mbwa wa kutegua mambomu na mambo mengine.

Sasa najiulza kwa nini kiongozi wa kidini anakua na ulinzi mkubwa hivyo, je ana maadui wengi au nini? Na kama ni maadui wengi wanatoka dini gani kwa maana nchi nyingi anazotembelea kama marekani wengi ni wakristo wenzake.

Je viongozi wa dini kwa nini wanakua na ulinzi mkubwa hivyo, hapa tanzania kuna kina gwajima,mwingira,geo davie na wengine ambao wanatembea na security team kubwa sana. Je mungu kashindwa kutoa ulinzi au ni nini?

http://www.washingtonpost.com/politics/popes-visit-will-produce-largest-security-operation-in-us-history/2015/09/18/642ca250-5d47-11e5-b38e-06883aacba64_story.html

Kwani hujui kuwa papa ni rais wa dunia?
 
Anasimamia big issues nyuma ya pazia,hata nikisimulia hatutaelewana,time will tell,..
 
Haya mambo ya mungu nadhani hayako sawa sawa. Mfano eti huko meka kila mwaka mahujaji wanakufa kwa kukanyagana kama wanyama kwa kumrushia shetani mawe, kwani shetani anaishi meka? Sasa wakishamrushia mawe anawakimbiza wanakanyagana wanakufa u inakuaje,kwa nini kila mwaka wanamrushia mawe,je hajafa kwa kipiggo cha mawe miaka yote hiyo wanayompiga mawe?

Huna akili
 
Msijitoe ufahamu, USA yenyewe ina wakatoliki zaidi ya 70M, na kanisa katoliki lina mchango wa kipekee sana katika nchi nyingi sana Duniani, ikiwepo Tanzania na USA, hivyo kwa merit aliyonayo mbele ya jamii ana credibility ya kupokelewa kwa heshima, hayo mambo mengine ya ulinzi wa hali ya juu ni Protocol za wamarekani tu, sio za papa... Alipokuwa CUBA mbona ulinzi haukuwa mkubwa hivyoo!! Bilble inaelezea pia kuhusu kuwapokea watumishi wa Mungu na kuwatunza.
 
Hata Yesu alikua na ulinzi, mmoja alimfyeka sikio aliyejipendekeza.
 
Huna akili

Wewe unaona hilo jambo linaingia akilini? Eti kila wakimpiga shetani na mawe wanakufa kwa kukanyagana, najiuliza wakimrushia mawe anawatisha wanakimbia wanaanguka wanakanyagana au inakuwaje, je miaka yote hiyo wanampiga mawe hagi tu?

Na kama wakimpiga mawe hafi kwa nini mwaka unaofuata wasiende na mabomu kumuangamiza kabisa?

Hizi dini zinafanya watu wanakua hawana akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom