Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

My friend kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya Vatican utakuwa umesha-raise eyebrows mara nyingi. Hata hilo ulilo liona ni jambo linaloshangaza kidogo.Ni kwamba Papa ni zaidi ya mkuu wa nchi na mkuu wa kanisa la Roma kama wengi tunavyomjua.Kumbuka kwamba Vatican haina ukubwa wa zaidi ya sq.km.1,na haina zaidi ya watu 1,000.Sasa itakuwaje nchi mpaka kufikia kiwango cha kuwa na balozi katika karibu kila nchi dunia?Cha kushangaza ni kwamba wakuu nchi na wafalme duniani wanamsujudia.Upo ushahidi tayari kutoka kwenye vikao vyao vya siri kwamba hili linafanyika.Obviously there is something wrong.Sasa nadhani kwa usalama wangu niishie hapo,mengine utatafuta mwenyewe if you are interested.

Ha ha haaaaa, eti kwa usalama wako!!!umeona umeongea kitu kikuuuuubwa. Nani akufuatilie ww kwa habari ya kizushi na ya kitoto kama hii? mengi yako wazi best. Papa ukimkompliketi utaishia kuzeeka na sumu kichwani. Ni normal person ila ni mkubwa according to vastness ya kanisa aliongozalo. Acha kujazwa mauongo ya wapinzani
 
Wewe unaona hilo jambo linaingia akilini? Eti kila wakimpiga shetani na mawe wanakufa kwa kukanyagana, najiuliza wakimrushia mawe anawatisha wanakimbia wanaanguka wanakanyagana au inakuwaje, je miaka yote hiyo wanampiga mawe hagi tu?

Na kama wakimpiga mawe hafi kwa nini mwaka unaofuata wasiende na mabomu kumuangamiza kabisa?
Hizi dini zinafanya watu wanakua hawana akili.

Ha ha haaaaa. We jamaa ungekuwa Chibok Nigeria ungechezea kichapo na mkewe angepigwa mawe hadi kufa
 
Take things as they really are. Story za kusadikika za sijui anasimamia big issues nyuma ya pazia Ni story za kusadikika na low lives ndio zinawabamba

Jibu swali, kwa nini ana ulinzi mkubwa hivyo?
Hata kama ni head of state, stste yake ni ya viongoxi wa dini walio chini yake, cardinals, sasa ulinzi wote wa nini,swiss guard,personal body guards, bullet proof cars nk

Yeye maadui wake wanatoka wapi?
 
Papa ni head of state just like JK

Yeah a state of cardinals. Sasa yeye maadui wake wanatoka wapi maana nchi yake haina jeshi wala mawaziri,yeye ndie kila kitu, hana vita wala ugomvi na nchi yoyote duniani, hana wapinzani wa kisiasa,hana fedha.

Huo ulinzi wote ni wa nini?
 
Ha ha haaaaa. We jamaa ungekuwa Chibok Nigeria ungechezea kichapo na mkewe angepigwa mawe hadi kufa

Au wewe unaonaje mkuu, kama mawe hayamuui,waende na mabomu au kwa kua shetani ndio analaumiwa na wakazi wa dunia hii kwa kulete shida, kwa nini wasiombe msaada kwa dini nyingine waende kwa pamoja wampige mawe hadi afe ili tuishi bila matatizo.

Nashangaa dini zinaomba mungu awaepushe na shetani kumbe shetani location yake pamanenti inajulikana,kwa nini tusiungane next time tukaenda wote kumuua hata kwa mabomu ya nyuklia.
 
mbona Yesu NA mitume wake hawakuwa NA ulinzi ? hapo kuna walakini.

wale mitume 12, walikuwa Ni kama walinzi wake na pia wasaidizi wake. Hata baada ya kufa wale mitume waliandika mengi kuhusu yeye.
 
Binafsi siamini hizo nadharia za free manson sijui iluminat na nyingine zote.

Ni bora ukajishughulisha ukasoma kwa sababu sio nadhalia ni vitu vipo na sio siri hata kidogo ila wanachofanya ndio siri.
 
Nimekua nikijiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa kanisa katoliki na viongozi wengine wa kidini wana ulinzi mkubwa sana.

Kwa mfano, ulinzi wake nchini marekani ambapo yupo kwa sasa unademekana ndio ulinzi mkubwa kuwahi kutokea katika nchi hiyo toka imeumbwa,walinzi binafsi,swiss guards, secret service,fsderal guards,na walinzi wengine wa majimbo,walenga shabaha,wategua mabomu,mbwa wa kutegua mambomu na mambo mengine.

Sasa najiulza kwa nini kiongozi wa kidini anakua na ulinzi mkubwa hivyo, je ana maadui wengi au nini? Na kama ni maadui wengi wanatoka dini gani kwa maana nchi nyingi anazotembelea kama marekani wengi ni wakristo wenzake.

Je viongozi wa dini kwa nini wanakua na ulinzi mkubwa hivyo, hapa tanzania kuna kina gwajima,mwingira,geo davie na wengine ambao wanatembea na security team kubwa sana. Je mungu kashindwa kutoa ulinzi au ni nini?

Pope’s visit will produce largest security operation in U.S. history - The Washington Post

Wamarekani ni washenzi sana mpango wao ni kulazimisha dini zote zionekane kuwa na mizizi toka Kwao hivyo dini ambazo hazina mizizi toka Marekani kama RC-(Vatcan) na Uislam uarabuni kwao ni maadui na wamekuwa na propaganda chafu dhidi ya dini ambazo hazitoki Marekani
 
Jibu swali, kwa nini ana ulinzi mkubwa hivyo?
Hata kama ni head of state, stste yake ni ya viongoxi wa dini walio chini yake, cardinals, sasa ulinzi wote wa nini,swiss guard,personal body guards, bullet proof cars nk

Yeye maadui wake wanatoka wapi?

Papa ana ulinzi kama kiongozi yeyote wa nchi. Sasa anapokuwa marekani, ulinzi unaongezeka kwa sababu marekani ina mahasimu wengi kutokana na msimamo wake wa sera za mambo ya ndani na nje ya nchi. Chukulia mfano ugaidi, ujasusi na pia ugaidi wa ndani. Kumarisha ulinzi ili kuzuia mbinu zozote za kuiaibisha marekani kwa kumdhuru mwalikwa. Ni jukumu la nchi mwenyeji kutoa ulinzi huo. Jambo ingine ni kwamba ziara ya Papa imejumuisha ziara kwenye maeneo ya kumbukumu kama Sept.11 na pia kumtangaza Mtakatifu Dorothy mwenye ujasiri wa kupinga vita!.
Pengine bofya hapa kwa kujiridhisha na umuhimu na uhasimu wa ziara yake.
Welcome to Catholic Church
 
Open ur eyes,he's more than a Pope
 
Kuwa kiongoz wa dini haimaanishi usijilinde, Mungu ametupa maarifa ya kuunda zana mbalimbali za ulinzi sasa kwa nini tusizitumie tuseme Mungu atatulinda kimiujiza? Hao wanaomoinda ni watu wa Mungu so ni ulinzi wa Mungu pia. .. Mungu anajudhiirisha kupitia binadamu wa kawaida.
 
Nafikiri bado wanadunia hatujamtambua 'the real creator/ maker' wa yale yote tunayoyaona yanaendelea kwenye planet Earth na universe kwa ujumla. Nasema hivi kwa sababu 'explanations' zote juu ya Mungu zimejaa walakini hasa kuhusu 'form' na 'nature' yake. Lakini main source ya haya yote tunayoyaona na yanayotukia kwenye universe ipo kwa sababu hayawezi kuwepo by chance.
 
kumbuka PAPA, hajawahi kuomba ulinzi, ila serikali ya USA ndio imempa ulinzi! Kote alipotembea Papa duniani, hakuwahi kuwa na ulinzi kama huu wa USA. Papa huyu anaishi maisha ya kimaskini sana, hana makuu.... Walinzi wa Papa ni swiss guards tu...
 
wale mitume 12, walikuwa Ni kama walinzi wake na pia wasaidizi wake. Hata baada ya kufa wale mitume waliandika mengi kuhusu yeye.
Kama??? Na alipouliwa msalabani mbona hawakumlinda??? Dont joke with God please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom