Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,446
- 29,853
Ukisoma historia na ukisoma biblia utagundua jinsi gani Roman catholic ilianzishwa na lile baraza la NICEA mwaka 325 lilipo declare order mpya na kuuawa kwa wakristo qa kanisa la kwanza la mitume. Sasa basi Munguh wa kweli aliyewalinda mitume wake na manabii katika biblia hawezi kuwa Mungu mwingine leo yeye habadiliki ni yule yule ila sisi tunaweza kubadilika. Hivyo hakuna Mungu pale ndio maana papa anategemea ulinzi wa mwanadamu
Hivi unaongea nini..??? Unajua lengo la Mtaguso wa Nicea..??
Hao wakristo wa kwanza ni kina nani..?? Waweza wataja..??? Au unakurupuka kama nguruwe jike..??