Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,327
- 7,807
Jibu swali, kwa nini ana ulinzi mkubwa hivyo?
Hata kama ni head of state, stste yake ni ya viongoxi wa dini walio chini yake, cardinals, sasa ulinzi wote wa nini,swiss guard,personal body guards, bullet proof cars nk
Yeye maadui wake wanatoka wapi?
Acha story yako za kusadikika wewe, Papa ana ulinzi Wa kawaida tu Wa Swiss guard, ila kwa Marekani Kaongezewa ulinzi kama ilivyo kwa kila taifa kutoa ulinzi kwa Kiongozi anapoitembelea nchi husika. Ukubwa Wa ulinzi unaongezeka kulingana na vastness ya mtu mwenyewe.
Elimu Elimu Elimu. Source E. Lowassa.