Kwanini Papa ana ulinzi mkubwa namna hii?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Nimekua nikijiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa kanisa katoliki na viongozi wengine wa kidini wana ulinzi mkubwa sana.

Kwa mfano, ulinzi wake nchini marekani ambapo yupo kwa sasa unademekana ndio ulinzi mkubwa kuwahi kutokea katika nchi hiyo toka imeumbwa,walinzi binafsi,swiss guards, secret service,fsderal guards,na walinzi wengine wa majimbo,walenga shabaha,wategua mabomu,mbwa wa kutegua mambomu na mambo mengine.

Sasa najiulza kwa nini kiongozi wa kidini anakua na ulinzi mkubwa hivyo, je ana maadui wengi au nini? Na kama ni maadui wengi wanatoka dini gani kwa maana nchi nyingi anazotembelea kama marekani wengi ni wakristo wenzake.

Je viongozi wa dini kwa nini wanakua na ulinzi mkubwa hivyo, hapa tanzania kuna kina gwajima,mwingira,geo davie na wengine ambao wanatembea na security team kubwa sana. Je mungu kashindwa kutoa ulinzi au ni nini?

http://www.washingtonpost.com/politics/popes-visit-will-produce-largest-security-operation-in-us-history/2015/09/18/642ca250-5d47-11e5-b38e-06883aacba64_story.html
 
Ukiisha kuwa mtu maarufu tu basi automatically lazima uwe na ulinzi au hata ukiwa tajiri au kama kazi yako ni ya mazingira ya kisasi kama jaji, mkuu wa majeshi, mkuu was polisi na kadhalika.
 
Mungu hawezi kushindwa kumlinda mtumishi wake. Hii ni ishara ya wazi kuwa ni watumishi wasio mtumikia wala kumuamini Mungu wa kweli.
Mungu wa kweli ni yupi..??

Papa ni kiongozi wa nchi ndogo ya Vatican..(Vatican City State)
 
Kwani kuna mtu anamtumikia Shetani? Hata Rais wa nchi anamtumikia Mungu
 
Umesema vizuri macho_mdiliko ina maana kama una mwamini Mungu hutakiwi hata kuweka ma grill kwenye madirisha.
 
Last edited by a moderator:
mbona Yesu NA mitume wake hawakuwa NA ulinzi ? hapo kuna walakini.
 
Kama hujui kitu nyamaza wakati wale askari wanakuja kumkamata yesu petro alchomoa kisu kwenye ala na kumkata sikio MTU hii yote ilikua kumtetea yesu .muwe mnasoma bible sio mnakazana kujibu tu ulinzi ni muhimu huku ukiuomba kwa mungu pia
 
Huyo ni kiongozi wa kidini na kiserikali. Ana kofia 2 so ulinzi x 2

Ila alinishangaza sana aliposema eti anaedit amri 10 za Mungu.

Alafu ni free manson mkubwa thats why kapewa nafasi ya kuhutubia congress kama cleric kwa mara ya kwanza Amerika.

Why mkutano wake aufanye tarehe ya ki-free mason 23/9? Ukiwa na uwezo mzuri wa kufikiri hutapata wsws he is a genuine Fm
 
Nimekua nikijiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa kanisa katoliki na viongozi wengine wa kidini wana ulinzi mkubwa sana.

Kwa mfano, ulinzi wake nchini marekani ambapo yupo kwa sasa unademekana ndio ulinzi mkubwa kuwahi kutokea katika nchi hiyo toka imeumbwa,walinzi binafsi,swiss guards, secret service,fsderal guards,na walinzi wengine wa majimbo,walenga shabaha,wategua mabomu,mbwa wa kutegua mambomu na mambo mengine.

Sasa najiulza kwa nini kiongozi wa kidini anakua na ulinzi mkubwa hivyo, je ana maadui wengi au nini? Na kama ni maadui wengi wanatoka dini gani kwa maana nchi nyingi anazotembelea kama marekani wengi ni wakristo wenzake.

Je viongozi wa dini kwa nini wanakua na ulinzi mkubwa hivyo, hapa tanzania kuna kina gwajima,mwingira,geo davie na wengine ambao wanatembea na security team kubwa sana. Je mungu kashindwa kutoa ulinzi au ni nini?

http://www.washingtonpost.com/politics/popes-visit-will-produce-largest-security-operation-in-us-history/2015/09/18/642ca250-5d47-11e5-b38e-06883aacba64_story.html

Mbona hujiulizi wa Kikwete unaofunga barabara ni wa nini?!
 
Mungu wa kweli ni yupi..??

Papa ni kiongozi wa nchi ndogo ya Vatican..(Vatican City State)

Ukisoma historia na ukisoma biblia utagundua jinsi gani Roman catholic ilianzishwa na lile baraza la NICEA mwaka 325 lilipo declare order mpya na kuuawa kwa wakristo qa kanisa la kwanza la mitume. Sasa basi Mungu wa kweli aliyewalinda mitume wake na manabii katika biblia hawezi kuwa Mungu mwingine leo yeye habadiliki ni yule yule ila sisi tunaweza kubadilika. Hivyo hakuna Mungu pale ndio maana papa anategemea ulinzi wa mwanadamu
 
Yule ni kiongozi mkubwa wa dunia ana serikali yake pia serikali yake inamatawi dunia nzima
 
Wewe unapotosha. Mungu hafanyi kazi namna hiyo. Huwezi kulala mlango wazi eti unamwachia Mungu akulinde. Unajilinda wewe huku ukiweka imani kwa Mungu.
Mkuu Mungu anafanya kazi tofauti na akili zetu. Tukiziweka akili zetu mbele Mungu hutuacha na tutamkosa. Mungu anapaswa kuwa wa kwanza kabla ya chochote. Angalia jinsi Mussa na wana wa Israel pale katika bahari ya sham wakati wamisri wanakuja Mussa alimweka Mungu mbele hakujali jinsi walivyokuwa na hofu ya wamisri waliokuwa wanakuja kwa kasi kuwaangamiza. Mungu alijitokeza kati na kumwambia Mussa atumie fimbo yake na akajipatia utukufu.
 
Ukisoma historia na ukisoma biblia utagundua jinsi gani Roman catholic ilianzishwa na lile baraza la NICEA mwaka 325 lilipo declare order mpya na kuuawa kwa wakristo qa kanisa la kwanza la mitume. Sasa basi Mungu wa kweli aliyewalinda mitume wake na manabii katika biblia hawezi kuwa Mungu mwingine leo yeye habadiliki ni yule yule ila sisi tunaweza kubadilika. Hivyo hakuna Mungu pale ndio maana papa anategemea ulinzi wa mwanadamu

Haya mambo ya mungu nadhani hayako sawa sawa. Mfano eti huko meka kila mwaka mahujaji wanakufa kwa kukanyagana kama wanyama kwa kumrushia shetani mawe, kwani shetani anaishi meka? Sasa wakishamrushia mawe anawakimbiza wanakanyagana wanakufa u inakuaje,kwa nini kila mwaka wanamrushia mawe,je hajafa kwa kipiggo cha mawe miaka yote hiyo wanayompiga mawe?
 
Huyo ni kiongozi wa kidini na kiserikali. Ana kofia 2 so ulinzi x 2

Ila alinishangaza sana aliposema eti anaedit amri 10 za Mungu.

Alafu ni free manson mkubwa thats why kapewa nafasi ya kuhutubia congress kama cleric kwa mara ya kwanza Amerika.

Why mkutano wake aufanye tarehe ya ki-free mason 23/9? Ukiwa na uwezo mzuri wa kufikiri hutapata wsws he is a genuine Fm
Nimesikia anaenda kutangaza AN INTERNATIONAL YEAR OF LIGHT. a very close step to an end of time
 
Mkuu Mungu anafanya kazi tofauti na akili zetu. Tukiziweka akili zetu mbele Mungu hutuacha na tutamkosa. Mungu anapaswa kuwa wa kwanza kabla ya chochote. Angalia jinsi Mussa na wana wa Israel pale katika bahari ya sham wakati wamisri wanakuja Mussa alimweka Mungu mbele hakujali jinsi walivyokuwa na hofu ya wamisri waliokuwa wanakuja kwa kasi kuwaangamiza. Mungu alijitokeza kati na kumwambia Mussa atumie fimbo yake na akajipatia utukufu.
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaaa
 
Haya mambo ya mungu nadhani hayako sawa sawa. Mfano eti huko meka kila mwaka mahujaji wanakufa kwa kukanyagana kama wanyama kwa kumrushia shetani mawe, kwani shetani anaishi meka? Sasa wakishamrushia mawe anawakimbiza wanakanyagana wanakufa u inakuaje,kwa nini kila mwaka wanamrushia mawe,je hajafa kwa kipiggo cha mawe miaka yote hiyo wanayompiga mawe?

Ajabu zaidi Ngozi nyeusi nayo inajitoa ufahamu na matamaduni ya waarabu wacha wafw tu kwa ujinga wa kuahidiwa pepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom