ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,638
Kuna watu duniani ambao ni kama walikuwapo kabla yako kuzaliwa, upo nao mpaka leo, halafu unajiuliza hawa watu wanaishi maisha gani? Unaweza kuzaliwa ukawakuta kina George W. Bush, Bill Gates, Vladimir Putin, bado wanaonekana kwenye habari, mikutano, interviews na dunia inaendelea kuwazungumzia.
Mpaka wakati mwingine unafanya masihara ukisema “hawa watu hawafi?” kwa sababu miaka inaenda lakini bado wapo kwenye mfumo wa dunia. Wewe unazeeka, wengine wanaondoka, viongozi wanabadilika, trend zinabadilika, lakini kuna majina yanaendelea kuwepo tu.
Inaonyesha jinsi gani nguvu ya fedha, afya bora, teknolojia, ulinzi, na mifumo ya mataifa makubwa vinavyoweza kufanya baadhi ya watu waonekane kama sehemu ya kudumu ya dunia. Watu hawa wana access ya hospitali bora, maisha yenye uangalizi mkubwa, lishe, security, na mazingira tofauti kabisa na watu wengi duniani.
Na wakati mwingine unaweza hata kufikiria:
“Huenda nikafa mimi kwanza kabla ya hawa watu niliowakuta tangu utoto