Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Hujui kitu wewe, mbona Wanaume wengi Wa Zanzibar wameolewa Oman? Hata Wanawake, japo baada ya talaka Wanawake hao wakirudi Zanzibar Cha ajabu wote wanakuwa Ma Bikra bado.
Mnajua mmeulizwa maswali lakini bado hamjaleta official data toka wizara ya fedha ya SMZ.
Sasa nitamsaidia muuliza swali.
Je SMZ kwa mwaka huu wa fedha ilikusanya kiasi gani? Nipe tuu round figure in USD
Bajeti yake ilikuwa kiasi gani?
Na je katika hiyo bajeti, je wanapata kiasi gani toka kwa nchi wahisani?
Ambayo ni sawa na asilimia ngapi?
Hizo nchi wahisani zinazoisaidia bajeti ya SMZ ni zipi?
Je Oman inatoa kiasi gani kwenye budget support basket ya SMZ?
Tuje kwenye Investments:
Tutajie 5 major infrastructure projects in Znz
Kila project ina worth kiasi gani?
Nani katoa financing ya hizo projects?
Kati ya hizo zipo ziko financed na Oman?
Naomba utuletee data za Wizara ya Finance ya SMZ
Ukishaleta then tuendelee na mjadala wetu kuchambua pumba ni zipi na mchele ni upi.
Na kama mleta mada katu mialead then dawa yake ni ku counter na facts zenye ushahidi.
Kama mkiweza mnaweza kuichukua hii mada mkaipeleka kwenye forum ya wazanzibari ya mzalendo.net perhaps mnaweza kupewa data zaidi kisha njooni nazo huku tuzichambue.
It's simple, wahisani hutupa misaada mikubwa kwa jina la muungano, ambayo sisi tunapewa 4.5 katika budget.
Misaada mengne midogo midogo iko nje ya budget, kama scholarships, ujenzi wa school na university kuboreshwa. Sijui wataka jibu gani.
Misaada yote na investment kwa wakezaji, lazima wapate kibali kutoka kwa mkoloni Tanganyika, hivyo Ndio chachu ambayo inarudi sha maendeleo.
Hujui kitu wewe, mbona Wanaume wengi Wa Zanzibar wameolewa Oman? Hata Wanawake, japo baada ya talaka Wanawake hao wakirudi Zanzibar Cha ajabu wote wanakuwa Ma Bikra bado.
Pointless, Baseless, Useless (lugha ina maana yake na uhalisia wake) kila Kabila/Ukoo/taifa/nchi huwa lina wanyonge wao kwa wakati wao !! kwa mfano ututsi na wa hutu !! wanyamwezi na waha, !! wa Yao na wa goni !! wa Haya na Wa hangaza ! nk nk !! sasa nini la ajabu ! Japan iliwatawala wa china kwa mataifa yote ya Asia na kuwafanya watumwa karne zote !
Kaka
Hijajibu maswali yangu un detail.
Tafadhali rejea kisha nipe majibu ya kila swali.
I dint want toa dwell on politics hizo zitafuata baadae kwanza lete supporting data frm Znz ministry of finance
Labda waletwe askari wa kujibu toka Mzalendo.net
Zanzibar haiwezi kuingia mikataba na mataifa ya nje kwani haina mamlaka kamili, hivyo ile mikataba ambayo ilikuwa ingie zanzibar imechukuliwa na Tanzania/Tanganyika.
Hivyo oman haiwezi kuchangia misaada mikubwa hasa ya budget, ispokuwa mikataba yake ni midogo kama mfadhili.
Oman husaidia zanzibar nje ya budget tu, ambayo kama kuboresha elimu, chuo vikuu vya zanzibar, scholarships, kujenga misikitini, na n.k
Unahitaji majibu yepi tena.
lakini bado hamjaleta official data toka wizara ya fedha ya SMZ ku support arguments zenu. Maswali ni haya:
Je SMZ kwa mwaka huu wa fedha ilikusanya kiasi gani? Nipe tuu round figure in USD
Bajeti yake ilikuwa kiasi gani?
Na je katika hiyo bajeti, je wanapata kiasi gani toka kwa nchi wahisani?
Ambayo ni sawa na asilimia ngapi?
Hizo nchi wahisani zinazoisaidia bajeti ya SMZ ni zipi?
Je Oman inatoa kiasi gani kwenye budget support basket ya SMZ?
Tuje kwenye Investments:
Tutajie 5 major infrastructure projects in Znz
Kila project ina worth kiasi gani?
Nani katoa financing ya hizo projects?
Kati ya hizo zipo ziko financed na Oman?
Naomba utuletee data za Wizara ya Finance ya SMZ
Ukishaleta then tuendelee na mjadala wetu kuchambua pumba ni zipi na mchele ni upi.
Na kama mleta mada katu mialead then dawa yake ni ku counter na facts zenye ushahidi.
Kama mkiweza mnaweza kuichukua hii mada mkaipeleka kwenye forum ya wazanzibari ya mzalendo.net perhaps mnaweza kupewa data zaidi kisha njooni nazo huku tuzichambue.
Hao binamu limbukeni kweli, kazi kukaa chini ya miti na kanzu zao kuhesabu magari, kunywa gahawa, kwenda madrasa, au kufikiria kumwagia watu tindikali kama sio kutega vibomu ucharwa..
Wapo wapo tu, barabarani ukipishana nao ni kama wanatambaa, wavivu mpaka wanatia kinyaa, kazi hawapendi wala kilimo..Kichekesho wengi wao ambao wanajifanya asili yao ni Oman utakuta ni weusi kama rangi nyeusi ya viatu-kiwi!
Wanamawazo mgando sana mkuu, kuna tetesi nilisikia jamaa zao ulaya huwa wanatuma mchele, mafuta ya kupikia, sukari, unga wa ngano, chumvi na maji ya kunywa! Amini usiamini..
Hawa binamu ni mzigo tu, tena ingekuwa bomba kweli wangepewa uhuru wao, labda vichwa vyao vingeamka na kuchangamka...bure kabisa..
Nasikia mmoja wapo alieolewa omani ni wewe na sasa umeachika baada ya aliekuowa kukuta valvu zote zimechoka hivyo sasa breki ni pumbu.
Pole kwa hilo labda sasa utafute ya punda ndio itafiti hiyo round yako
Hebu soma mwenyewe bajeti ya serikali ya Zanzibar 2014/2015 hapa utapata kuelewa kila kitu wapi mapato ya Zanzibar yanapatikana na nani anaeisaidia Zanzibar kufanikisha bajeti yake.
http://www.zanzibarassembly.go.tz/budget/2014/ministerial/HOTUBA-WIZARA-FEDHA-2014.pdf
Kuhusu omani kutoa mchango kwenye bajeti ya Zanzibar hiyo haiko na wala sio omani tu ambayo haitoi mchango kwenye bajeti ya Zanzibar kwababu muungano huu wa kijinga umeifanya Zanzibar kukosa misaada Kama nchi kutoka kwa nchi marafiki.
Hata hao Norway, Denmark, Quba, Omani na nyenginezo zinaisaidia Zanzibar misaada kidogo midogo tu na ndio maana hata kulipokuwa na mgogoro Zanzibar basi iliyozuiliwa misaada ilikuwa Tanzania kwa ujumla.
Labda wewe ungetupa mfano nchi ya ulaya au america ambayo inaisaidia Zanzibar katika bajeti yake ili ionekane Omani haitoi msaada wa bajeti ya Zanzibar.
Mnajua mmeulizwa maswali lakini bado hamjaleta official data toka wizara ya fedha ya SMZ.
Sasa nitamsaidia muuliza swali.
Je SMZ kwa mwaka huu wa fedha ilikusanya kiasi gani? Nipe tuu round figure in USD
Bajeti yake ilikuwa kiasi gani?
Na je katika hiyo bajeti, je wanapata kiasi gani toka kwa nchi wahisani?
Ambayo ni sawa na asilimia ngapi?
Hizo nchi wahisani zinazoisaidia bajeti ya SMZ ni zipi?
Je Oman inatoa kiasi gani kwenye budget support basket ya SMZ?
Tuje kwenye Investments:
Tutajie 5 major infrastructure projects in Znz
Kila project ina worth kiasi gani?
Nani katoa financing ya hizo projects?
Kati ya hizo zipo ziko financed na Oman?
Naomba utuletee data za Wizara ya Finance ya SMZ
Ukishaleta then tuendelee na mjadala wetu kuchambua pumba ni zipi na mchele ni upi.
Na kama mleta mada katu mialead then dawa yake ni ku counter na facts zenye ushahidi.
Kama mkiweza mnaweza kuichukua hii mada mkaipeleka kwenye forum ya wazanzibari ya mzalendo.net perhaps mnaweza kupewa data zaidi kisha njooni nazo huku tuzichambue.
Watu wanajiona waarabu vipi wakati ni kweli Zanzibar kuna Waarabu tena kibao tu??!! Mwarabu atabaki mwarabu hata kama atakuwa amezaliwa bara la Antarctica! Na-assume wewe ni mswahili pure (black). Sasa je, tuseme babu wa babu yako angehamia Uingereza na wewe ukzaliwa Uingereza, unataka kuniambia ungejiita Mzungu?? Uarabu ni uasili/ethnicity na sio utaifa... kutokana na hilo, Mwarabu atabaki kuwa Mwarabu bila kujali kwamba amezaliwa wapi au taifa lake ni lipi... kitakachobadilika ni utaifa wake na sio asili yake! Aidha ni kweli kwamba kuna maingiliano makubwa sana ya kifamilia kati ya wa-Zanzibar na wa-Oman!Ndugu nadhani umeenda kama mtalii wiki tatu hazitoshi kuyajua yaliyo kwenye mioyo ya watu.
Binafsi nimetembelea visiwa vya unguja na Pemba na nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya mitatu alichosema mleta uzi kina ukweli kuna matabaka yanajiona kama wao ni waarabu na kuna wengine wao wapo wapo tu hasa ngozi nyeusi wao wanafuata ipepo.
Kilichonishangaza wanakuwa tayari kumshambulia mwanamke mweusi aliyevaa suruali ya kubana na kumshangilia mzungu aliyevaa kichupi?????!!
Pia siasa za CCM na CUF zimewaharibu wengi akili
Hizi ni kashifa za kijinga... hivi Tanzania hii ni mkoa gani unaweza kujitapa kwamba watu wake ni matajiri? Hivi huku bara kuna shule ngapi hazina hata vyoo? Kama watu wasingekuwa wavivu tungekuwa na shule zisizo hata na vyoo? Huku bara ni mara ngapi watu wa maeneo mbali mbali wamekuwa wakikumbwa na baa la njaa? Mtu asiye mvivu inakuaje tena anakumbwa na njaa? Hivi huku bara ni wangapi hata uhakika wa kesho hawana?? Hivi huku bara watu wameacha lini kuishi kwenye matembe? Hivi huku bara kuna malaki mangapi ya watu ambao hata nguo za kubadilisha hawana? By the way, kule Igunga ambako mtu alimwagiwa Tindikali ni Zanzibar kule? What about yule mfanyabiashara ambae alimwagiwa tindikali pal Msasani? Au Msasani nayo ni Zanzibar?Hao binamu limbukeni kweli, kazi kukaa chini ya miti na kanzu zao kuhesabu magari, kunywa gahawa, kwenda madrasa, au kufikiria kumwagia watu tindikali kama sio kutega vibomu ucharwa..
Wapo wapo tu, barabarani ukipishana nao ni kama wanatambaa, wavivu mpaka wanatia kinyaa, kazi hawapendi wala kilimo..Kichekesho wengi wao ambao wanajifanya asili yao ni Oman utakuta ni weusi kama rangi nyeusi ya viatu-kiwi!
Wanamawazo mgando sana mkuu, kuna tetesi nilisikia jamaa zao ulaya huwa wanatuma mchele, mafuta ya kupikia, sukari, unga wa ngano, chumvi na maji ya kunywa! Amini usiamini..
Hawa binamu ni mzigo tu, tena ingekuwa bomba kweli wangepewa uhuru wao, labda vichwa vyao vingeamka na kuchangamka...bure kabisa..
Hizi ni kashifa za kijinga... hivi Tanzania hii ni mkoa gani unaweza kujitapa kwamba watu wake ni matajiri? Hivi huku bara kuna shule ngapi hazina hata vyoo? Kama watu wasingekuwa wavivu tungekuwa na shule zisizo hata na vyoo? Huku bara ni mara ngapi watu wa maeneo mbali mbali wamekuwa wakikumbwa na baa la njaa? Mtu asiye mvivu inakuaje tena anakumbwa na njaa? Hivi huku bara ni wangapi hata uhakika wa kesho hawana?? Hivi huku bara watu wameacha lini kuishi kwenye matembe? Hivi huku bara kuna malaki mangapi ya watu ambao hata nguo za kubadilisha hawana? By the way, kule Igunga ambako mtu alimwagiwa Tindikali ni Zanzibar kule? What about yule mfanyabiashara ambae alimwagiwa tindikali pal Msasani? Au Msasani nayo ni Zanzibar?
Sawa sisi malimbukeni nyinyi ni wapumba.vu na wajinga mnaokesha mabaa mkiwaacha wake zenu na watoto wenu nyumbani. Nyie mnachapa kazi asubuhi mpaka jua linazima lakini pesa ulopata unaenda baa kueka heshima wenzako wakikucheka! Sisi wazanzibari malimbukeni ndo mana tukawajengea magorofa Dar ili mkija Dar muumie shingo zenu kwa upumba.vu wenu. Sisi wavivu wakufanya kazi lakini wazanzibari hao wavivu wamewapa ajira ndugu zako wakitumwa kila kona. Wewe bila shaka saivi unapiga soga kijiweni kwako Bar na kitu cha Safari lager pembeni. Lakini kwa vile leo weekend utakuwa coco beach ukichana mfuko kwa pombe!
Huoni ungekuwa umefanya jambo la maana endapo ungejibu maswali yangu? Kwa upande mwingine, hudhani huo ushauri ulionipa ungeutekeleza wewe mwenyewe ili ujionee ni namna gani huku bara tulivyo na umaskini wa kutisha? Narudia, ni ujinga Tanzania hii watu wa upande mmoja kujiona wapo juu wakati si lolote si chochote na kuwaona watu wa upande mwingine ndio hoe hae wasio na mbele wala nyuma wakati karibu wote hali zao zinafanana!! Watu wa bara (Tanganyika excluding mikoa ya pwani) ni hodari sana kuwasemanga watu wa Pwani na Zanzibar kwamba wanakesha vibarazani kunywa kahawa huku wao wakisahau kwamba wanakesha kwenye vilabu vya komoni, mbege, wanzuki, ulanzi na n.k... what's the difference!? Nafahamu, wengi wenu mnasumbuliwa na chuki, tena wengine chuki za kidini... nothing else! Kuna wengine wanakosa ujasiri wa kuelezea chuki zao za kidini wazi wazi na badala yake wanaamua kutumia mgongo wa Zanzibar au watu wa Pwani!Ila kazi mnayo visiwani ebu tembea ujionee mwenyewe ukweli wauma..