Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

Kwanini Oman wamewatosa Wazanzibari?

oman ni moja ya nchi maskini duniani labda ni hao wazanzibar wanaodhan kua kila mwarabu ni tajiri au kila nchi ya kiarabu ni tajiri, kuna nchi za kiarabu maskini sana kama hao oman na yemen!!!

tembea bwana mdogo ujionee, nadhani huijui vizuri Oman!
 
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.

N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?

Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?

Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
Mkuu,historia ya Zanzibar huwezi kuizungumza bila mwarabu wa Oman,nusu ya wazanzibar wamechanganya damu na mwarabu wa oman,,

Kweli kulikuwepo makabila ya kiafrika kabla mwarabu kuja hapo Zanzibar,makabila ya pwani ya afrika mahariki kama vile wazaramo,wasegeju,wazigua.wandengereko,wagunya,wakomoro nk

Ukweli mengi ya hayo makabila ya kiafrika yalikuwa ni makabila ya yanayovua kando kando mwa hivyo visiwa,wanakuja kulala "dago" na kuondoka kurudi mwakao...,Ujue kuwa kabla Zanzibar haijakuwa kituo muhimu cha biashara mako makuu ya mwarabu yalikuwa Kilwa...

Baaada ya mwarabu kuhamia hapo Zanzibar kutoka Kilwa na kuifanya Zanzibar kiwe kituo muhimu cha biashara ndio makabila hayo yakaanza kufanya hivyo visiwa ndio maakazi yao...,wakubali wazanzbari kama walivyo,acha ubaguzi...

kwa mantiki hiyo wengi wa makabila ya kiafrika yanayoishi Unguja na Pemba na wao walikuwa wanajiona wageni..Mwarabu kaishi miaka mingi hapo visiwani kuliko makabila mengi ya kiafrika,Mzanzibari halisi lazima japo tone moja la damu yako iwe imechanganya na mwarabu...

Mwarabu kakaaa miaka mingi Zanzibar kuliko makabila mengine ya kiafrika yaliopo hapo Unguja na Pemba(Zanzibar),makabila mengi ya kiafrika walikuwa kwa kutafuta kazi na kurundi makwao,wengine wakabakia wakachanganyika na kuoana na warabu na makabila mengine ndio utamaduni wa Kiswahili ukazaliwa

Mkuu kumbuka kuwa mpaka Zanzibar inaungana na Tanganyika wakaazi wa Zanzinbar walikuwa wanafikia laki tatu(300,000) na wengi wao ni machotara...,ni tabia ya kila kisiwa kuwa watu wake wamechanganyika damu..

Usiwashangalie wazanzibari,huo ndio ukweli wenyewe,hawawezi huwezi kuzungumzia Zanzibar bila ya mwarabu...

Imeiona ile meli ya Qabusi iliyoitembela Tanzanzia mawaziri wengine walizaliwa na kupata masomo yao Zanzibar,sio kweli kama mzanzibari anaonekana kama nyani Oman....
 
Yakhe, huyu mleta mada hakusema wazungu hawana ubaguzi ati! Yeye kasema waarabu na wazanzibar sasa kisa cha kuwaleta wazungu huku ni nini? Ukitaka anzisha mada ya ubaguzi wa wazungu tuchangie! Usiwe kama yule n'nyama wa kule kwenu ma-------chi!
Kawakomesha eeenh? ha ha ha mlichamba waarabu kwa mbwembwe ha ha ha.
 
Pia usisahau mambo ya waarabu na tigo za weusi kule walikopita - yaani Zanzibar, Tanga, Mombasa na Dar. Hadi leo utamaduni huu upo maeneo haya!
Huko Ulaya na Amerika ndio wanaoana kabisa makanisani
 
Ukijifanya mwarabu wakati wewe ni mweusi, ukivaa kanzu, ukivaa kilemba kichwani ukidhani kuwa ni matakwa ya dini wakati ni desturi ya watu wa mashariki ya kati, basi wewe unakwenda mbinguni ukifa
kama zile wanazovaa wakina mwanya sijui pango?
 
Wewe kweli ni wa kupuuzwa, wazanzibari walio wengi tuu wana udugu tena wa karibu sana kutoka Oman. Hii haiwezi kupuuzwa kama umesoma historia vizuri pia utagundua wazanzibari hawajahi kufanywa watumwa.Kwa hio suala la utumwa halina kipaumbele kiasi hicho kwa wazanzibari (thats by nature).

Mie niko huku ughaibuni huwa naona sana waafrika wenzangu kama kama waliotoka marekani za kusini wakiwa sensitive sana na suala la utumwa kutokana na wao wenyewe ni waathirika wa utumwa. Lakini mie huwa nawaunga mkono kwa kulazimisha tuu kwa vile natoka afrika lakini kiukweli siko sensitive sana kutokana na kuwa si muathirika wa moja kwa moja.

Muathirika wa moja kwa maana sina family ties kama ya mababu zangu au jamaa zangu walichukuliwa utumwani.Tofauti sana na wale ambao mtu mweuzi aliotoka Marekani atakavyokuwa sensitive na subject ya slavery.

Labda nikujibu kwa kifupi Oman hawashiriki sana kama ilivyotarajiwa, hayo yanaweza kuwa ni maamuzi yao binafsi not much to do in that. Ninachoweza kufikiria labda inawezekana sana Mapinduzi na watanganyika kuizonga Zanzibar na muungano ndio sababu ya msingi ya maamuzi yao. Kuna hadi mabango ya kuonyesha chuki yakitembezwa na CCM hadi hii leo.

Nyerere pengine atakuwa na jibu huko kaburini yeye ndio alifanya utaratibu mzima wa kupeleka jeshi la Tanganyika kupitia Tanga kwenda kufyeka vichwa vya wale wote waliokuwa na sili ya Oman. Sidhani kama hata wewe unajua ni muafrika gani wa mwanzo aliefika Zanzibar kwa kuogelea kutoka Tanganyika!

Mie mzanzibari nina asili na watu Oman (very very close), na vile vile niko karibu tuu na watu wa Tanganyika very very close.....Life goes on!
 
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.

N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?

Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?

Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
Ngoma usoijua usiicheze.
Jumba la baraza la wakilishi limejengwa na waarabu
Chuo cha manasi waarabu
Misikiti mikubwa waarabu
Scholarship za kusoma waarabu
Ukarabati jengo la beit Al ajaib waarabu
Hotel pack hayyatt waarabu


Na mengi tuu . ila muarabu kila leo anatukanwa na CCM .
Kila ikifika January 12 muarabu hivi muarabu vile.
Ukija uchaguzi CUF watawarudisha waarabu, CUF ni chama cha waarabu.

Back door CCM ndio inayo kwenda kuomba huko kwa waarabu.

Haya ni Zanzibar mbona bara hatusiki kama wa jarumani wametesa au waingereza wamafanya hivi au vile.Hizi ni siasa mbovu sana hii ni kukujibu wewe tuu.

Hoja.
 
wenyewe wanakuambia kuwa kulikuwa hakuna mtu kwenye hivyo visiwa kabla hajaja mwarabu

unbelievable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom