Nimecheki bajeti ya znz 2014
Oman wanachangia ZeRo kwenye bajeti yao
70% ya bajeti ya Znz inatoka EU na USA
Angalia ukivyokuwa muongo wa kutupwa! Mwanzo ulijitia upofu juu ya jawabu la suali lako la kichovu! Mwishowe umekubali kuangalia majibu sahihi ya suali lako.
Na sasa unatuletee UONGO WA MCHANA KWEUPE eti ulaya na america ndio wahisani wa bajeti ya Zanzibar na unawaponda waomani eti hawatowi shilling.
Ushauri wangu usilazimishe jambo ambao halipo maana utaonekana mwehu.
Wapi ulipoona katika hutuba ya waziri Wa fedha Wa Zanzibar kaitaja EU na USA kuwa wanamchango katika bajeti ya Zanzibar!??
Angalia vizuri na Kama huoni tumia miwani ili ikusaidie kuona, katika bajeti ya Zanzibar wanaotoa shilling yao ni ÀFDB, UNDP na WORLD BANK.
Unajua hii pia ni moja wapo ya kero kubwa ya muungano! Zanzibar haipati msaada Kama nchi maana kimataifa inajulikana TZ ambayo imevaa koti LA utanganyika hivyo misaada yote ya kibajeti inaliwa na mbwa mwitu wa kitanganyika na Zanzibar wanaachiwa takataka ya 4.5% ambayo pia hawapewi.
Umetoa mfano airport na China hatukatai jee imeorodheshwa katika jeduali la bajeti ya Zanzibar!!!?? Hukuiona, basi vivyo hivyo ni sawasawa na Omani ambayo inatoa msaada katika mambo ya elimu afya, biashara n.k hivyo huwezi kuikuta katika jaduweli la bajeti ya ZNZ.
Norway ni mmoja wapo wanaoisaidia Zanzibar katika mambo ya miundo mbinu ya umeme jee wameorodheshwa kuwa ni mmoja wapo Kati ya wahisani wa bajeti ya Zanzibar? Jawabu ni kuwa hapana.
Hivyo tumia akili na wala usiwe na akili za KIBUKU.
Msaada wa Omani kwa Zanzibar ni mkubwa mno na hadi dunia hii itaisha wazanzibar hawawezi kuulipa.
Ni waomani ambao waliwapiga wareno na kuwatoa Zanzibar baada kuitawala Zanzibar kinyama na utesaji mkubwa.
Ni waomani walioipa Zanzibar zao la karafuu ambalo tokea wakati huo ndio namba moja linaipa Zanzibar pesa za kigeni.
Leo hii mungu akaujaalia huu muungano kuvunjika basi misaada kwa Zanzibar kutoka kila pembe ya dunia itakuwa mikubwa na mingi mno! Si unakumbuka kabla ya huu uchafu wa muungano namna Zanzibar ilivyokuwa inapata misaada mikubwa kutoka Quba, China Urusi n.k
Ilifika wakati Zanzibar ilikuwa inatoa misaada kwa nchi nyengine! Au umesahau njaa ilipowazidi watanganyika nyerere alimtuma Amir Jamal kuja Zanzibar kuomba msaada? Si alipewa???? Wacha Pakistani iliyopewa dola 2000 na Zanzibar baada ya kupata janga la mafuriko.
Huu umasikini tulionao wazanzibar japo hauzidi wa watanganyika unatokana na laana ya kuungana na Tanganyika ambayo ina MANYANG'AU "Odinga's words" yasiojua kipi kibaya kipi kizuri.