Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,869
- 37,639
Ungefika Breeze Beach Club iliyoko Bwejuu ndo ungeishiwa pozi,wafanyakazi asilimia 80 ni Wakenya. Wazenj wengi wanaamini ni wa Oman ndo maana wengi wao wapowapo tu kama yule mbuge wao ASHA BAKARI
Mi nimefika zenj
Na si kuwa huko kwenye mahotel ya kitalii, nilikuwa tu mtaani kwenye maisha ya kawaida.
Bt nimeshindwa kuishi kule aiseeeee
Kunataka moyo.
Wanaofanya kazi kwenye hizo hotel asilimia kubwa sio wa zanzibar, nilipouliza nikaambiwa wengi wanaona km kazi za hotel hazina maadili...
Eti kwa wanaojua ni kwanini wanyeji hawafanyi kazi za hotel?