Sante umenena
Mkuu hawa watu wananchekesha sana, wengi wao ata Dar hawajafika kisha wanaizungumzia zenjy kama wanaijua. Bahari wakivuka wanashangaa. Nawaona wakija zenjy katika boti dah, wanaona kama wanakuja ulaya kumbe apo tu.
Sante umenena
Tambua Wazenji ni Mabingwa wa Ulalamishi Duniani hawana mpinzani ,pili ni wajuaji Hakuna mfano, Ni Nchi gani itaweza kuwavumilia? Oman wao ni wachapa kazi, hawakai vibarazani kupiga soga, kunywa Gahawa na kucheza bao,Oman hawawezi kuwataka Zenji hata kwa nini kwani Zenji inalishwa na Tanganyika kwa 96% pesa zinatoka hazina kuendesha Serikali na huduma za jamii, Tanganyika ina rasilimali nyingi ikiwemo rasilmali watu, hata wazenji wengi wanaishi Tanganyika wanapata pesa huku wanawahudumia ndugu zao wa zenji, Zenji ni ka-Nchi kadogo sana lakini cha ajabu kana Wabunge Utitiri ! Eneo la mbunge Zenji ni sawa na eneo la m/kiti wa kitongoji huku Tanganyika,Wabunge wa zenji wanatafuna Posho Dodoma, lakini wabunge wa Tanganyika ni marufuku kusogea baraza la wakilishi ( yaani ni Changu ni changu chako ni cha wote ) Tanganyika ni koloni la Zenji Pia ni buzi inachunwa na zenji mpaka haijitambui ! Wazenji ni wabaguzi kule zenji Myanganyika ni marufuku kumiliki kiwanja, lakini huku Tanganyika ni ruksa mzenji kumiliki kiwanja. Siku Muungano ukifariki kila mtu aludi kwao hakika watanganyika watafaidi Mali za wapemba mpaka basi, kule unguja wataambulia patupu kwani watanganyika hawana viwanja wala Mali nyingi zenji. Tanganyika ni Nchi Tajiri sana nje ya muungano, lakini ndani ya muungano ni Nchi masikini kutokana na Mzigo iliobeba wa kuilea na kuitunza Zenji kwa mapesa mengi .
Tanzania nchi tajiri nje ya muungano? Hahahaa acha utani, zanzibar ilikuwa tajiri mpaka ikikopesha mataifa kabla ya muungano. Miji ya pwani yenyewe mmejengewa na zanzibar. Eti 96% mnatulisha. Kwa kipi? Vitu viko jirani tu apo ghali kuliko tunavoenda kuchukua india uko. Zenjy bila ya muungano itafika mbali sana, muhimu isiongizwa kutoka dodoma tu. Kujenga hamjui, nyie wenyewe mna njaa, walimu wenu mnashindwa kuwalipa mtaweza wapi kuhudumia smz serikali yenu?
Sawa sisi tunakaa katika migahawa lakini tunamazungumzo ya busara, nyie mnaokesha mabaa na kuziacha familia zenu vipi? :-D
Mkuu hawa watu wananchekesha sana, wengi wao ata Dar hawajafika kisha wanaizungumzia zenjy kama wanaijua. Bahari wakivuka wanashangaa. Nawaona wakija zenjy katika boti dah, wanaona kama wanakuja ulaya kumbe apo tu.
Ni znz ndiko nilikoona mwanaume anamtongoza mwanaume mwenzie. the way mwanaume anavyomtongoza mwanamke. Nilishangaa sana siku hiyo.
oman ni moja ya nchi maskini duniani labda ni hao wazanzibar wanaodhan kua kila mwarabu ni tajiri au kila nchi ya kiarabu ni tajiri, kuna nchi za kiarabu maskini sana kama hao oman na yemen!!!
uarabu ni uarabu na uislam ni uislaam , uarabu hauwezi kuwa uislaamu na uislaam hauwezi kuwa uarabu? sasa kuna mjinga mmoja hapa anachanganya uislaamu wake na uarabu mpaka anakera
swali la msingi liko pale pale
kwa nini serikali ya Oman haijawasaidia ZNZ hata kujenga infrastructure za maana ?
Hivi Oman kwa mwaka inawapa ZNZ kiasi gani na wameinvest kiasi gani?
Leteni facts toka records za wizara ya fedha ya znz
ndio maana pesa yao ni km shilingi ya tz,pumbafff
swali la msingi liko pale pale
kwa nini serikali ya Oman haijawasaidia ZNZ hata kujenga infrastructure za maana ?
Hivi Oman kwa mwaka inawapa ZNZ kiasi gani na wameinvest kiasi gani?
Leteni facts toka records za wizara ya fedha ya znz
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///
Najikomba kwa nani? Kwa wa Oman au Wazanzibar? By the way, uongo upi hapo? Au ndo zile Division Five za Mulugo ambazo haziwezi hata kuwa specific???muongo ,acha kujikomba
Waznz ni watumwa. Watabakj kuwa watumwa na wanalilia utumwa. Utunwa wa akli,utumwa wa dini, utumwa wa ujinga.
Pamoja na watumwa hawa,Tanganyika haiwezi kuwaachia kwaajiii ya stability. Pia ua!!
Mnyamwezi atakayesema 2pac mjomba wake, hana tofauti na atakayesema mabruki wa omani ami yake, wote watumwa wa akili.
Waarabu walifuata meno ya tembo na watumwa ila wale waliopenda tende zao wakaomba undugu kwao.
Hapa hamna suala la udini hata kidogo.
Inakuwaje mama sijui wa nani asili yake Zenji wakati Zenji hamna mwenye asili ya hapo.
Sio kweli. Hii mada umeileta kwa malengo yako binafsi na lazima udini unakusumbua. Nipo Zanzibar hapa wiki ya tatu sasa. (Njoo hapa Golf hotel karibu na Gymkhana club/bar jirani na ofisi za UWT utanikuta)
Wazanzibari hawana mawazo hayo. Tena wanajiona ni Watanzania hasa. Nimeenda maskani ya CUF kidoooogo wao wanausifia uzanzibari wao ingawa nao wanajiona ni watanzania. Pale maskani ya kisonge penyewe ni utanzania umeshamiri. Wazanzibar wenyewe kwa wenyewe wanaishi kwa upendo sana kama Watanzania. Hawajatubagua sisi Wanyakyusa wala wale wasukuma. Sote ni watanzania. Na hata ukiwasoma ndani ya mioyo na sura zao ni WATANZANIA. Hakuna u-oman wala uarabu.
Ukweli ni kwamba oman imeshindwa kuisaidia zanzibar kifedha kutokana na mkono wa buyu Tanganyika lazima fedha zipite kwake katika bank kuu.
Hivyo fedha hizo kufika zanzibar ni asilimia 4.5 japokuwa fedha ni mradi wa zanzibar.
Kama mtakumbuka ile ishu ya fedha bilioni 200 kutoka emirate ambazo za ujenzi wa airport ya zanzibar, zilitakiwa kutiwa saini na waziri wa mambo ya nje zije zanzibar, membe alikataa na serikali ya muungano, na walitaka fedha hizo zingie bank kuu tanzania, zanzibar ilikataa hilo,kwani fedha ni za zanzibar, hivyo suala hilo liligonga ukuta.
Ndio ukaona wazanzibari wanataka mamlaka kamili, moja ya mambo ambayo yanarudisha nyuma ni hilo.
Badala ya kumpuuza ungejibu hoja. Ulichozungumza mtoa nada ni kweli tupu.wew itakua una matatizo, mtu kama wew ni wa kupuuzwa
Issues mbili hapa unazungumzia
1. Msaada
2. Investments (FDI)
Siamini kuwa Wahisani hawapeleki misaada znz kwa sababu haifiki kwenye miradi husika ingekuwa hivyo USA, INDIA, CHINA, UK na znginezo wasinge kuwa wanapeleka misaada ya maendeleo znz Kama unazo fact based evidence kuwa Oman walitaka kujenga hospital ya 10MILLION USD na serikali ya Tanganyika ikakataa tulee tuone hapa
Kuhusu FOREIGN DIRECT INVESTMENTS (FDI) kwenda znz siamini kuwa serikali ya ZNZ inakatazwa kusign bilateral au multilateral agreements za investment projects na serikali ya OMAN kwa sababu Membe kawakataza
ingekuwa hivyo mbona wa CHINA wametoa finance ya airport znz na kazi inaendelea? sasa Oman wameshindwa vipi hilo?
tusipeane majibu mepesi
kama una document yoyote ya kuback up hija zako plse tuleteee