Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

Upo sahihi sana mkuu..yatupasa kushukuru kwa kila jambo,tuwe na mioyo iliyojaa shukrani mbele za Mungu. Tena mzaburi anatuambia "ATOAE DHABIHU YA KUNISHUKURU NDIE ANAENITUKUZA."Ukifanikiwa jambo lolote ukamtolea Mungu sadaka ukamwambia asante kwa kunifanikishia jambo flan hakika Mungu atakubariki na kukuongezea maradufu.
Umenena vema mkuu...
 
Sio lazima tufanikiwe mambo makubwa sana ndipo tumshukuru hapana. Tukishukuru hata kwa mambo madogo madogo anayotujalia tunakua tumejiongezea nafasi ya kubarikiwa na kuongezewa zaidi.
Amen mkuu. Asante sana kwa busara zako.
 
Umesema kweli lastborn, shemejio siku moja katika stories akazungumzia maendeleo ya ujenzi wa nyumba yake mbezi, lakini hakuiita nyumba namnukuu;,"kakibanda kangu nilikojenga pale inabidi kabadilishwe maana wanaonizunguka wote wameweka nyumba za kisasa Sasa nimebaki katikati na pagale langu",
Daaah, wife wako alijishusha too much mkuu...
 
IMG_20220912_092410_055.jpg
 
View attachment 2354435
Hii ndio nini sasa mkuu?
 
Hata ukienda toilet ukajisaidia vizurii na kutoka unatakiwa kumshukuru Mungu
 
Ukisema kwa kujishisha ndo unampa ahueni anaekusikiliza af na yy ndo atajudge kua ni kibanda au ni nyumba
 
uzi upi mzalendo? leta title hapa
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
 
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
kila lenye heri ndugu yangu, tupo pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom