Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
Siamini hii thread ya kipum.bavu namna hii imefika page 12...

Biblia, Mhubiri 7:9 "Usifanye haraka
kukasirika rohoni mwako, maana hasira
hukaa kifuani mwa mpuumbavu
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Sababu walikuwa wanasomesha mapadre tu
 
Andiko linasema

Methali 26
11-Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpu.mbavu afanya upu.mbavu tena.-

12-Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpu.mbavu kuliko yeye.-

Ukirudia maneno BILA USHAHIDI basi andiko limeshakupa sifa yako!

Na ukiandika kitu ambacho ni wewe mwenyewe unakihimiza kuwa KIPO bila ushahidi!
Basi andiki linasema bora ya mpu.mbavu kuliko wewe!

Mi NAKUPA ushahidi!

We unanipa mipasho!
Ajeeb!

We ndo unaleta mipasho bado kidogo utaanza kutokwa povu na kutaja mauno, huo ni ukweli nimekupa hint tuu fuatilia watu wengi wanaojishughulisha na madawa hapa bongo utajua ukweli huu,

Ila kama unataka mimi nikawapige picha wakiwa wanaingizwa kete kwenye vinyeo, au niwafate huko oman walipoolewa haitawezekana ila kama unataka story za kwenye blogs kama zako tafuta utapata tuu mi huwa sifanyi reference za kwenye forum nyingine

kahtaan nimekuuliza swali hapo juu kwa kutumia mfano naomba ujibu ukiongozwa na Allah wako
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo unataka kuuaminisha uma kwamba nyerere alitaifisha seminari za kiislam au madrasa.
 
hawa majamaaa ni machiziiiiu kweliii mm siwezi argue nao hta siku moja kwasababu ni waathirika wa propaganda za kishuuuzi! !! poleni mnaotumia nguvu nyingi kuargue nao.
 
ha ha ha nakufa kucheka huku.

wewe uliyeelimika ungeabudu picha ya mzungu
aliyelaaniwa na Paulo(satan in flesh) kwa kuwa na nywele ndefu kama mwanamke.

Ungeendelea kuungama dhambi kwa wabanjuliwa visoda.

Assistant Intellectual apply u theory here! teh teh teh!

We nawe umetokea wap? Yesu wa Nazareth myahudi, unajua asili ya wayahudi? Picha isikuchanganye na kukutia kiwewe ile ni depiction tuu, kuna depiction za watu walioexist even before Christ sasa we unashangaa ya Yesu, I wonder how come hamumjui mudi alikua ana muonekano gani, yote ni kwa sababu mlikua too primitive to do anything zaid ya looting and laundering
 
...siyo madharau, gharama za huduma hizo unaweza kuzilinganisha na gharama kwenye taasis za kawaida
ni biashara inayohitaji mtaji mdogo lakini unapiga pesa ya hatari.Nimeshashuhudia watu wanaanzisha tuition tu miaka michache unakuta imekua english medium hujakaa sawa unakuta imepanuka na kuwa academy,miundo mbinu pekee ambayo ni capital intensive ni majengo,then unatafuta walimu ambao upatikanaji wake pia very cheap,ukiweka na vitabu tayari uko on business,fees unajipangia mwenyewe hakuna control .Ni biashara nzuri sana watu kama mama rwakatale ni mfano mzuri,sijui kama pia wanalipa kodi hawa watu.
 
mada nyingine bwana ni za uchokozi kweli kweli wa kidini. Nyerere alitaifisha shule zote za wakatoliki isipokuwa seminari zao. Seminari ni tofauti kwani ni mwanzo au daraja la kwenda upandri na ukitaifisha seminari ni jambo ambalo halitaeleweka. Lakini shule nyingine zote za wakatoliki zilitaifishwa. Nyerere alikuwa anona miaka 100 mbele. Asingetaifisha shule hizo hapana shaka waislamu waliosoma wangekuwa hawafiki hata 1000. Nyerere kwa kutaifisha shule za katoliki aliepusha balaa la mapambano kama yale ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).
 
We nawe umetokea wap? Yesu wa Nazareth myahudi, unajua asili ya wayahudi? Picha isikuchanganye na kukutia kiwewe ile ni depiction tuu, kuna depiction za watu walioexist even before Christ sasa we unashangaa ya Yesu, I wonder how come hamumjui mudi alikua ana muonekano gani, yote ni kwa sababu mlikua too primitive to do anything zaid ya looting and laundering

Nimetokea kwa Adam na Hawa.

Yule sio yesu wewe yule ni mzungu wa ulaya na mpaka sasa yupo. ha ha ha ha

So mnaabudu Depiction ya mungu.Huyo mungu gani aliyeshindwa kuwa na mega pixel ya 13 X 13 na kujiphotoa aache kumbukumbu ili mumuabudu vizuri.Mungu anadepend on depictions ili aabudiwe . WHAT A NONSENSICAL LOGIC ?!!!!!.

Hivi YESU nae alifanya Laundering?
 
Mudi ndo aliyekua tycoon wa looting and laundering huko mashariki ya kati(refer source zenu za kwenye blogs utapata hii taarifa). Nani kakuambia tunaabudu picha sisi tinamuabudu Yesu kristo mwana wa Mungu aliechukuliwa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, akazaliwa, akafa, akazikwa, akafufuka na akapaa mbinguni....yupo hai picha no kama pambo tuu
 
Msaidie ndugu yako kahtaan kujibu post #227
 
Last edited by a moderator:
ni biashara inayohitaji mtaji mdogo lakini unapiga pesa ya hatari.Nimeshashuhudia watu wanaanzisha tuition tu miaka michache unakuta imekua english medium hujakaa sawa unakuta imepanuka na kuwa academy,miundo mbinu pekee ambayo ni capital intensive ni majengo,then unatafuta walimu ambao upatikanaji wake pia very cheap,ukiweka na vitabu tayari uko on business,fees unajipangia mwenyewe hakuna control .Ni biashara nzuri sana watu kama mama rwakatale ni mfano mzuri,sijui kama pia wanalipa kodi hawa watu.

Mkuu, Kuendesha Hizi Taasisi Sio Biashara Kama Wewe Ufikiliavyo, Mbona SAUT Serikali Ilishindwa Kukiendesha Mpaka Wakaludisha Kwa Kanisa?
 
Mudi ndo aliyekua tycoon wa looting and laundering huko mashariki ya kati(refer source zenu za kwenye blogs utapata hii taarifa). Nani kakuambia tunaabudu picha sisi tinamuabudu Yesu kristo mwana wa Mungu aliechukuliwa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, akazaliwa, akafa, akazikwa, akafufuka na akapaa mbinguni....yupo hai picha no kama pambo tuu

mungu alishindwa hata kuji SELFIE,what a shame!??!!

mungu then akafanyiwa ugaidi wa kusulubiwa.hapa nimekubali aliyesulubiwa ni depiction ya yesu sio yesu.

mwana wa mungu, mungu kaoa lini tena,hebu nitoe kizani?
 
Usinipotezee muda jibu post #227 mwenzako limemshinda
 
mada nyingine bwana ni za uchokozi kweli kweli wa kidini. Nyerere alitaifisha shule zote za wakatoliki isipokuwa seminari zao. Seminari ni tofauti kwani ni mwanzo au daraja la kwenda upandri na ukitaifisha seminari ni jambo ambalo halitaeleweka. Lakini shule nyingine zote za wakatoliki zilitaifishwa. Nyerere alikuwa anona miaka 100 mbele. Asingetaifisha shule hizo hapana shaka waislamu waliosoma wangekuwa hawafiki hata 1000. Nyerere kwa kutaifisha shule za katoliki aliepusha balaa la mapambano kama yale ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).
sidhani kama ni kweli,pamoja na kua shule ya misheni zilitaka wanafunzi wafuate imani ya kikristo ila kuna shule zingine hazikua na masharti hayo.na kuna waislamu wengi tu walitoboa na kusoma kama akina prof babu,haroub othman,kina dr shein,bilali,marehemu omary ally juma n.k.

Kuna link fulani nimeipoteza inasema kipindi hicho cha uhuru,nyerere alikua na watoto wawili akataka kuwaingiza the best school,ikatokea kuwa ikawepo mizengwe kwani hiyo shule ilikua ni european school ,ndicho hasa kilipelekea sera ya shule ziwe mchanganyiko bila kujali rangi ,na shule zote zikatakiwa kuwa registered hapo 1962.Nadhani wazungu hawakupenda kuintergrate ,wakaanza kuhamishia watoto wao shule za kenya kwani bado mfumo wa white only schools ulikuwepo.idadi ya wanafunzi wa kizungu ikapungua sana hadi zingine zikafungwa kwani tayari Tanganyika ilishakua jamhuri chini ya waziri mkuu nyerere kwahiyo wazungu walikua wakirudi kwao kwa makundi.Then ile Grant in Aid iliyokua ikitoka ulaya kuja kufinance mashule ikasitishwa,so mashule yakajikuta hayana funding ,kulikua hamna namna zaidi ya kufanya ila kuyataifisha.
 
Mkuu, Kuendesha Hizi Taasisi Sio Biashara Kama Wewe Ufikiliavyo, Mbona SAUT Serikali Ilishindwa Kukiendesha Mpaka Wakaludisha Kwa Kanisa?
unakua kama mgeni nchi hii,a deal is a deal.

Yaani serikali iweze kuendesha Udsm,UDOM,ishindwe SAUT?.
 
mkuu.
Nyerere alikuwa mbinafsi sana na alikuwa mnafiki mkubwa.

Alikuwa akijifanya yeye ni good actor! Anadanganya wananchi kuwa ni mtenda haki. Wakati huohuo analiinua kanisa lake kwa nguvu zote!

Mungu amuadhibu sana huko aliko!
Amen.

acha povu!haikusaidii kupotosha ukweli, waarabu waliwachelewesha kwenye madrasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom