kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
Tatizo hamridhiki Mwinyi kashawaambia jengeni vyenu na muende shule na wewe mwenyewe umeshawah kusema umesoma shule ya kikristo, ulienda kufanya nini kwa makafiri?kwa hilo la kuachiea laana kutoka kwa nyerere haina shida naikubali kama mudi alivyowaachia majini mkayakubali
Mimi nimesoma college wanayosomeshwa wachungaji na ma priest wa kigalatia.
Na lengo langu ni kuufahamu hasa huu ukafiri! Na kwa kweli nimefanikiwa sana. Manake hakuna mgalatia atanieleza kitu kuhusu hio imani yake ya kipagani!
Kwenye suala la maendeleo. Mbona waislamu ndio matajiri wakubwa ulimwenguni!?
Hata huko bongo mbona wao ndio wanaendesha nchi!?
Na kesho waislamu wakiamua wahame hapo Tz basi nchi INAKUFA JUMLA!
Hapa tunacho oengelea ni hawa wa wanafiki wanao uendeleza mfumo kristo, na nadhani na wewe ni mmoja wapo.
thats all .