Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
teh teh teh nani anaempotezea muda mwenzake. si unahitaji usaidiwe lilete?

Unanichosha, haya hiyo hapo

"embu chukua mfano huu, mimi na wewe wote tunapata mshahara sawa mi nna mke mmoja na watoto wawili au watatu na wewe una wake wa nne kila mke ana mtoto mmoja (minimum) huo usawa kati yangu na wewe utakuwepo kweli? Au ndo utaurushia mfumo kristo shida zako kusema mimi kuna kiasi cha ziada naongezewa? Mengine mnajitakia wenyewe"
 
Who cares if you are a galatian or kolosais!

Knock yourself out!

you! yes you!
kutwa kuhangaika na wagalatia, mwisho wa siku utalala na mgalatia ataendelea kuwa mgalatia! kama hutaki kajilipue upewe mabikira 70! period!
 
Wakatoliki ndo waliothirika zaidi kwenye eneo la shule kuliko taasisi yoyote ya dini na zisizo za dini hapa Tanzania kwenye zoezi la Azimio la Arusha
 
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Swali jingine kwa nini hakutaifisha makanisa ya kikatoliki?
 
you! yes you!
kutwa kuhangaika na wagalatia, mwisho wa siku utalala na mgalatia ataendelea kuwa mgalatia! kama hutaki kajilipue upewe mabikira 70! period!

Wagalatia lzm tueleze ummah kuwa hawa ni nuksi!
Wanatusababishia tupigwe radi kwa sababu ya mambo yao ya uliberali.

Kama vipi nyie hamieni vatican mkafe pamoja!
Huku bongo mtatuua wengi na virusi!
Manake naskia mliberali aliye athirika akipiga chafya tu kakuua na wewe!

Kaeni mbali.
 
Unanichosha, haya hiyo hapo

"embu chukua mfano huu, mimi na wewe wote tunapata mshahara sawa mi nna mke mmoja na watoto wawili au watatu na wewe una wake wa nne kila mke ana mtoto mmoja (minimum) huo usawa kati yangu na wewe utakuwepo kweli? Au ndo utaurushia mfumo kristo shida zako kusema mimi kuna kiasi cha ziada naongezewa? Mengine mnajitakia wenyewe"

teh teh teh hako kaswali ndo kanakufanya ukonde

1 Fal 11:1-3,
Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria
300,

Wake wanee mbona wachache sana.sasa kama unakibamia kwanini uongeze mke wa pili.

Vp mke wa yesu unamjua? na yesu hakua hata na mahali pa kulala sembuse mshahara .vp nikupe andiko teh teh teh teh
 
Wagalatia lzm tueleze ummah kuwa hawa ni nuksi!
Wanatusababishia tupigwe radi kwa sababu ya mambo yao ya uliberali.

Kama vipi nyie hamieni vatican mkafe pamoja!
Huku bongo mtatuua wengi na virusi!
Manake naskia mliberali aliye athirika akipiga chafya tu kakuua na wewe!

Kaeni mbali.

Tatzo lako umeharibiwa na mafundisho ya shekhe kundecha std 7 leaver, shehe kipozeo mwenye kupenda ma.kalio makubwa nae pia ni std 7, shehe ponda yeye hakuna anachojua zaidi ya KOROANI... Eeeeh mnyaaaaazi Mungu mfungue rfk yangu kahtaan sometime huwa anamawazo mazuri sanaaa
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh hako kaswali ndo kanakufanya ukonde

1 Fal 11:1-3,
Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria
300,

Wake wanee mbona wachache sana.sasa kama unakibamia kwanini uongeze mke wa pili.

Vp mke wa yesu unamjua? na yesu hakua hata na mahali pa kulala sembuse mshahara .vp nikupe andiko teh teh teh teh

Usiongeze mkuu hilo jibu lako linatosha kabisa, nimeshakuelewa.. saa ivi ni saa 21:00 pm ngoja nilale kesho saa 5:00 am niende kazini
 
Wagalatia lzm tueleze ummah kuwa hawa ni nuksi!
Wanatusababishia tupigwe radi kwa sababu ya mambo yao ya uliberali.

Kama vipi nyie hamieni vatican mkafe pamoja!
Huku bongo mtatuua wengi na virusi!
Manake naskia mliberali aliye athirika akipiga chafya tu kakuua na wewe!

Kaeni mbali.

utaendelea kusikia na kusikia, mwishi wa siku utaondoka na kuiacha hii dunia, utawaacha hao unaowaita wagalatia wakiendeleza ugalatia wao kama vile babu zako walivowaacha! kama wewe uko sahihi ni juu yako, kama sie tumepotoka ni juu yetu, kila mtu atahukumiwa kwa mujibu wa matendo yake! kwa hiyo wewe HAYAKUHUSU. hutaki shauri yako!
 
Usiongeze mkuu hilo jibu lako linatosha kabisa, nimeshakuelewa.. saa ivi ni saa 21:00 pm ngoja nilale kesho saa 5:00 am niende kazini

siongezi mkuu hilo jibu linakutosha kabisa,umenielawa. saa ivi ni saa 21:12pm
ngoja na mimi niandae ratiba ya kazi kesho.nikimaliza nirudi kuokoa kondoo wa bwana.huku hamna traffic jam kesho 6:00 am ntawahi kazini.
 
Padre ni mwananchi naye anapiga kura kwanini asikemee maovu?
Pili wote tunaoanadika humu ukiwemo wewe unayehoji kwani wote tunashughulika na siasa?
Siasa ni jukumu la wapiga kura wote.Na maamuzi yao yanaathiri sekta zote

Matatizo ya kusoma historia uzeeni kwanza vitu zingine zishabadilika
 
Wakatoliki ndo waliothirika zaidi kwenye eneo la shule kuliko taasisi yoyote ya dini na zisizo za dini hapa Tanzania kwenye zoezi la Azimio la Arusha
nadhani utaifishaji ulifanyika miaka ya 70..ila kila mtu akitaka kurudishiwa kilichotaifishwa wakati wa azimio la arusha wahindi watapiga vigelegele.
 
ni biashara inayohitaji mtaji mdogo lakini unapiga pesa ya hatari.Nimeshashuhudia watu wanaanzisha tuition tu miaka michache unakuta imekua english medium hujakaa sawa unakuta imepanuka na kuwa academy,miundo mbinu pekee ambayo ni capital intensive ni majengo,then unatafuta walimu ambao upatikanaji wake pia very cheap,ukiweka na vitabu tayari uko on business,fees unajipangia mwenyewe hakuna control .Ni biashara nzuri sana watu kama mama rwakatale ni mfano mzuri,sijui kama pia wanalipa kodi hawa watu.

....sasa huyo lwakatare ni mkatoliki au ni mfanyabiashara kama nyie mnavyoendesha thaqaafa??
 
Mimi nimesoma college wanayosomeshwa wachungaji na ma priest wa kigalatia.
Na lengo langu ni kuufahamu hasa huu ukafiri! Na kwa kweli nimefanikiwa sana. Manake hakuna mgalatia atanieleza kitu kuhusu hio imani yake ya kipagani!

Kwenye suala la maendeleo. Mbona waislamu ndio matajiri wakubwa ulimwenguni!?
Hata huko bongo mbona wao ndio wanaendesha nchi!?
Na kesho waislamu wakiamua wahame hapo Tz basi nchi INAKUFA JUMLA!
Hapa tunacho oengelea ni hawa wa wanafiki wanao uendeleza mfumo kristo, na nadhani na wewe ni mmoja wapo.
thats all .

....duh, kumbe viazi wengi, hizo kahawa wapelekee babu zako, kama unayoyasema yana ukweli, mbona waislam ndo namba moja kwa kulalamika kukandamizwa, na kama ni ya ukweli basi waislam ni wanafiki kwa kusema vitu vya uwongo.....
...nafikiri wewe mwenyewe hujielewi na wala haujui unachozungumza, ni kama umezinduka usingizini, eti umesoma college ya wagalatia...which one??, na umefanikiwa kwa lipi!??, besides nashukuru kuwa umetambua wakristu hawana ubinasfsi kama mlionao ninyi kiasi kwamba mnalipuana daily, mnakula kitimoto, af mnajidai ni haramu...
...kuna siku nilienda pale billicanas, nikamkuta mdada wa kiislam, nikamkaribisha pombe, aksema ni haramu, nikamuuliza na haya mavazi uliyovaa kwa iman yenu ni sawa, hakuweza nijibu na pia nikamuuliza kuja club ni sawa akabaki anatoa macho, ninachomaanisha hapa ninyi ni wanafiki sana, mnapenda kuoneaha machoni kwa watu kuwa ni wasafi lakini nyuma ya pazia ni wachafu wa tabia na ndio maana laana ya ufirauni inaendelea kuwatafuna.
 
Teh teh teh! Mparoko unamwaga povu ovyo!

Pepo kaisha kunasa!

Unasema waislamu wanalalamika?
Wapi! Na kwa nani!

Au hujui tofauti ya kudai HAKI na kulalamika!

Wanaolalamika ni nyie mnapokuwa kwenye zile ibada zenu za kuabudu picha na sanamu ya mzungu aliyevishwa nepi!

Na mgalatia kama wewe kunikosea mimi adabu ni jambo la kawaida kabisa!

Umeweza kuweka picha ya mungu! Tena kavaa nepi! Na ukaiabudu na kuiomba msaada!

Kama umeshaweza kumkosea adabu Mungu kiasi hicho!.mimi kunitusi ni kama kunywa chai tu!

Na huyo dada yako aliyekudanganya ni muislamu Huyo alitaka kukuibia tu!
Muislamu wa kweli huwezi kumkuta kwenye madanguro ya wagalatia hata AFE!
 
Lindi sec
Tosamaganga
ndanda
Kigoma sec
Moro sec
Songea boys
Kibasila
Iliyokuwa forodhAni

Hizo zilikuwa madrasa au
 
Teh teh teh! Mparoko unamwaga povu ovyo!

Pepo kaisha kunasa!

Unasema waislamu wanalalamika?
Wapi! Na kwa nani!

Au hujui tofauti ya kudai HAKI na kulalamika!

Wanaolalamika ni nyie mnapokuwa kwenye zile ibada zenu za kuabudu picha na sanamu ya mzungu aliyevishwa nepi!

Na mgalatia kama wewe kunikosea mimi adabu ni jambo la kawaida kabisa!

Umeweza kuweka picha ya mungu! Tena kavaa nepi! Na ukaiabudu na kuiomba msaada!

Kama umeshaweza kumkosea adabu Mungu kiasi hicho!.mimi kunitusi ni kama kunywa chai tu!

Na huyo dada yako aliyekudanganya ni muislamu Huyo alitaka kukuibia tu!
Muislamu wa kweli huwezi kumkuta kwenye madanguro ya wagalatia hata AFE!
kahtaan jibu post #227
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom