Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Mtu yeyote anayetaka kuiongoza Tanzania kwa udi na uvumba, ujue ana hila.Kiongozi anayetufaa ni yule atakayeombwa na kubembelezwa awe rais wetu. Ikulu si mahali pa kukimbilia hata kidogo!!
 
Lowassa hatakuwa Rais wa Nchi hii hata mfanyeje.
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu na sasa amekuwa muuaji. Anaua maadui zake kisiasa kwa kuwalisha sumu,

Akiwa utaficha wapi uso wako? Jamani mengine tuyaache kama yalivyo!
 
Huyo ni mwizi. Viongozi wengi wanashindwa kuusema ukweli ambao nyerere aliusema.
 
Lowassa ni mwizi, mbadhirifu, fisadi, mchafu na sasa amekuwa muuaji. Anaua maadui zake kisiasa kwa kuwalisha sumu, sijui hizi mbinu za kigaidi kajifunzia Nigeria ama Israel alikoenda kuhiji?

kwani alikuibia mkeo? mbona wengine hatujui aliiba nini!
 
Hilo la uuaji linatisha zaidi kuliko hata wizi, akianza kuua kabla hajawa Rais akiwa je ataua wangapi? hii ni hatari akina Said Kubenea na magazeti ya aina ya mwanahalisi watakua wakimbizi wa kisiasa nje ya nchi kama watafika hata hiyo 2015!
 
Nyerere alimkataa kikwete mpaka akabadilisha kanuni za uchaguzi wa CCM. Mbona hatimaye Kikwete aliukwaa Urais?
 
Hajamuibia mtu wala kumuua yeyote ila yuko kwenye chama kilicho choka na kinachoendeshwa kwa ufisadi na ubazazi!
 
At least ninachokijua ni kwamba angekuwa rais bora kuliko Juha Kalulu!!!
 
Kwan nyerere ni nan? Akimkataa m2 inakuwa ndio msimamo wa kumjudge m2. Acheni fikra za kizamani, lowassa ndio anastahili kupewa nchi hii , mpeni mchawi amlee mtoto km ajamkuza,huu msemo tafakari. Acheni upinzani wa kihehere, ccm hakuna anaweza kuwa rais wa ukwel km e l over
 
hayo ni mawazo yako binafsi.
ktk research ndogo niliyoifanya mijini 80 % walikua na mawazo hayo.Kwahiyo sio kitu cha kubuni.Kama huna cha kuchangia ni vema ukakaa kimya na kusoma posts za watu kuliko kuchangia PUMBA,
 
wakati EL akiwa bado PM, serikali ilikuwa ina dare kufanya maamuzi, lakini sasa mambo yako kama vile hakuna serikali!!!! Natamani nchi yangu iongozwe na Rais mchapa kazi, ila sitaki Rais wangu atoke ktk chama kilicho choka, kisichokuwa na mawazo mapya
 
Kikwete hakuweza kuwa rais mpaka alipofariki Mwl. Kusema ukweli laiti mwalimu angilikuwa hai mpaka leo,Kikwete angeishia kuwa waziri wa mambo ya nje na Lowassa angebakia kuwa mbunge kwa sababu mwalimu aliwafahamu vizuri sana hawa jamaa.
 
Hivi hawa hawana upeo wa kufikiri, eti mchapakazi, mzee wa maamuzi magumu, watetezi wa huyu E L ni wavivu wa kufikiri, mchapakazi bila maadili ya uongozi kwenye nchi imaskini ni sawa na 1+1-3=-1
 
Nadhani yeye ni afadhali kwa hizo Plus plus unazokubali kuliko hawa wa sasa wenye minus. Suppose your arithmetics were 1 + 10 - 3!! ?
 
nyerere alikuwa na wivu tu

Duh!!! Mkuu hiyo ni kali ya siku!!! Wivu upi huo? alitaka kurudi tena madarakani? Mbona haijawahi kusemwa hiyo? Nyerere was a great visionary leader of his and our time.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Similar Discussions

Back
Top Bottom