mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Lowasa atagombea urais kwa chama kipi, maana mpaka sasa kashavunja miiko na maadili ya chama chake, sasa kama wewe hata chama chako tu hakikutaki, unang'ang'ania nini, hizo fedha anazogawa misikitini na makanisani na kwa vijana wa bodaboda, zitarudi vipi, kama kafikia hatua ya kuchafua nyumba za ibada kwa pesa chafu, itakuwaje akipewa nchi, tutapona kweli, akija kusema hamkunichagua ninyi, zilinichagua fedha tutakataa, na nyinyi mashehe na wachungaji mnaokubali pesa chafu za Lowasa na kuwarubuni waumini wenu wamuone Lowasa ni mzuri, mutawaeleza nini pindi machafuko yatakapoanza, muogopeni Mungu, na kumbukeni yaliyowakuta wenzenu Kenya.
Wewe inaelekea historia ktk akili yako.Nyerere hakumkataza Lowassa asiwe Rais wa TZ.jikumbushe vizuri.alihoji pesa aliokuwa nayo.na kumbuka wagombea walikuwa wengi hivo ilibidi apatikane mmoja na sio lazima Lowassa kipindi kile.mbona hata kikwete aliambiwa asubilie?kwani alitengua kauli yake kabla ya kufa?Lowassa huu ndio muda wake wa kuwa rais wa nchi hii kuanzia 2015.suala la utajiri sio ishu kwa vile hata hao maskini viongozi hawajasaidia lolote zaidi ya kujitajirisha wakiingia madarakani.na pia ufisadi wa lowassa anaotuhumiwa juu ya richmond kumbuka maamuzi hayo asingeweza kuyapitisha peke yake bila boss wake kujua.Ebu mwacheni lowassa awe rais na lazima awe.
Akiwa basi ujue mwisho wa ile kauli ya ''TANZANIA KITOVU CHA AMANI'' utakua umewadia,
Is it fair to say Mwalimu was right about Lowassa being power hungry and corrupt?
kwani alikuibia mkeo? Mbona wengine hatujui aliiba nini!
si unaona olivyo na upeo mdogo wa kufikiri? Unathubutu kuhoji kuwa nyerere alikuwa nani? Kama hjui uliza wakubwa zako au hata mwanafunzi wa primary atakusaidia ili ujue cha kuchangia. Taizo unadandia gari kwa mbele ndugu utagongwa, oohkwan nyerere ni nan? Akimkataa m2 inakuwa ndio msimamo wa kumjudge m2. Acheni fikra za kizamani, lowassa ndio anastahili kupewa nchi hii , mpeni mchawi amlee mtoto km ajamkuza,huu msemo tafakari. Acheni upinzani wa kihehere, ccm hakuna anaweza kuwa rais wa ukwel km e l over
big up ndugu. Hafai hata kulumangiafisadi huyu hafai kuwa rais wa tanzania.
tujifunze kutokana na makosa. Tukumbuke kuwa mwl alimkataa kikwete sisi tukampitisha, leo hii yako wapi. Tusirudie kosanyerere ni kiongozi mwenye maono mapana na ndio maana kauli zinajadilika, lowasa hawezi kua rais coz ameonwa mapungufu yake, nyerere alimkataa jakaya mapungufu yakeunayaona, watu walitizama sura na nyerere aliliona akasema kama mzuri pelekeni posa, mbona hamsemi, tungepeleka posa asinge kua rais!
kwahiyo?kile kizazi cha wazalendo wa africa akina nyerere kimeshapita. Kizazi kilichopo sasa ni cha wachumia tumbo, tutake tusitake. Sikubaliani na ufisadi unaofanywa na mtu yeyote, lakini wakati mwingine afadhali ya zimwi unalolijua kuliko usilolijua. Kwa kizazi cha sasa sitarajii kupata kiongozi ambaye si fisadi, mwizi, au mnafiki. Jambo la msingi ni kuangalia utendaji wake. Tunaelekea kwenye kutengeneza katiba mpya, nadhani no fursa muhimu kuwa na vipengele vinavyombana rais aliyepo madarakani dhidi ya ufisadi, ugaidi, matumizi mabaya ya madaraka.
Ni mawazo yangu turn wadau.